Mhe. Rais anataka kazi na uwekezaji ili Serikali ipate kodi kwa maendeleo ya nchi. Hili la Ole Sabaya si hujuma kwa jitihada za Mhe. Rais?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,193
25,504
  • Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli ameshajipambanua kama mpenda kazi, uwajibikaji; mchukia rushwa na ufisadi na mwenye maono makubwa kwenye uwekezaji ili Serikali ipate kodi nyingi kwa maendeleo ya nchi yetu.
  • Mheshimiwa Rais amekuwa akitoa maelezo na maelekezo, hasa kwa wateule wao, wahakikishe kuwa kuna utumishi wa kutukuka kwa wananchi na kutatua shida/changamoto zao. Huu ndiyo msimamo wake mwema kwa Taifa hili.
  • Kila kada ya kimaisha ina changamoto zake. Wafanyabishara wana changamoto zao pia. Ni matumaini ya Mhe. Rais kuwa wateule wake watazitatua kero na changamoto hizo ili kuweka mazingira wezeshi na Rafiki kwa wawekezaji lengo kuu likiwa ni kupata walipakodi wa kutosha.
  • Kodi husaidia maendeleo ya miundombinu na huduma nyinginezo za kijamii.
  • Mhe. Rais pia amejipambanua kuwa ni Rais anayechukia rushwa na ufisadi kwa maneno na matendo yake. Hana urafiki wala huruma kwa mafisadi na walarushwa. Napo, wateule wake wanapaswa kuelekea uelekeo huo.
  • Tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai (kama zilivyo kwenye video niliyoiambatisha) si za kuzinyamazia. Kama mwananchi mzalendo, ninawiwa kuomba Mamlaka husika zichunguze tuhuma hizi na kuchukua hatua stahiki kwa Mhusika.
  • Vitendo vinavyodaiwa kutendwa na Mkuu wa Wilaya anayedaiwa kujipamanua kama anayeripoti moja kwa moja kwa Mhe. Rais (nilidhani angeanzia kwa Mkuu wa Mkoa), si vitendo vyema. Vitendo hivyo hufifisha na kusawajisha taswira njema ya Mhe. Rais na Serikali yake kwa wananchi.
  • Hatua stahiki zinapaswa kuchukuliwa kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi yetu pendwa Tanzania. Kwenda kinyume na vision na mission za Mhe. Rais si hujuma kwake?
Rejea:https://www.jamiiforums.com/threads...tumbua-wenyewe-rais-ameshajipambanua.1453163/
 
Attachments

  • VID-20190724-WA0000.3gp
    14.1 MB · Views: 30
Kwa kweli kuna mambo yanafikirisha kiasi kaka msomi Petro, binafsi najiuliza where do these guys get the guts to act in such??
 
nilitegemea mwanasheria kama wewe ungekuwa wa mwisho kulisema jambo hili kwa sababu mwanasheria anaongea panapokuwa na uthibitisho lakini umekuwa wa kwanza kusema bila tuhuma kuthibitishwa
Soma vyema Mkuu, usikurupuke kama nguruwe pori. Nimeziita tuhuma na kuomba ufanyike uchunguzi. Umepaona hapo?
 
Kasema yeye anaripoti juu!sasa kama anaripoti juu ,si kamtuma afanye anachofanya umesikia mtu yoyote kutoka kwa serikali amekemea hicho?so he was blassed to do so na kitu chenyewe kimetokea Kilimanjaro kwa akina MBOWE haaaa mtasubiri sana awajibishwe ni 2nd born wa baba na alikuwa natumia technique za 1st born
 
Uthibitisho seems up,CCTV za hotel,aliyejieleza akibanwa atatoa vielelezo it a matter of government to investigate and clean this person as a leader.
Hakika. Kufanyike jambo la kiuchunguzi kumaliza kadhia hii
 
  • Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli ameshajipambanua kama mpenda kazi, uwajibikaji; mchukia rushwa na ufisadi na mwenye maono makubwa kwenye uwekezaji ili Serikali ipate kodi nyingi kwa maendeleo ya nchi yetu.
  • Mheshimiwa Rais amekuwa akitoa maelezo na maelekezo, hasa kwa wateule wao, wahakikishe kuwa kuna utumishi wa kutukuka kwa wananchi na kutatua shida/changamoto zao. Huu ndiyo msimamo wake mwema kwa Taifa hili.
  • Kila kada ya kimaisha ina changamoto zake. Wafanyabishara wana changamoto zao pia. Ni matumaini ya Mhe. Rais kuwa wateule wake watazitatua kero na changamoto hizo ili kuweka mazingira wezeshi na Rafiki kwa wawekezaji lengo kuu likiwa ni kupata walipakodi wa kutosha.
  • Kodi husaidia maendeleo ya miundombinu na huduma nyinginezo za kijamii.
  • Mhe. Rais pia amejipambanua kuwa ni Rais anayechukia rushwa na ufisadi kwa maneno na matendo yake. Hana urafiki wala huruma kwa mafisadi na walarushwa. Napo, wateule wake wanapaswa kuelekea uelekeo huo.
  • Tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai (kama zilivyo kwenye video niliyoiambatisha) si za kuzinyamazia. Kama mwananchi mzalendo, ninawiwa kuomba Mamlaka husika zichunguze tuhuma hizi na kuchukua hatua stahiki kwa Mhusika.
  • Vitendo vinavyodaiwa kutendwa na Mkuu wa Wilaya anayedaiwa kujipamanua kama anayeripoti moja kwa moja kwa Mhe. Rais (nilidhani angeanzia kwa Mkuu wa Mkoa), si vitendo vyema. Vitendo hivyo hufifisha na kusawajisha taswira njema ya Mhe. Rais na Serikali yake kwa wananchi.
  • Hatua stahiki zinapaswa kuchukuliwa kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi yetu pendwa Tanzania. Kwenda kinyume na vision na mission za Mhe. Rais si hujuma kwake?
Rejea:https://www.jamiiforums.com/threads...tumbua-wenyewe-rais-ameshajipambanua.1453163/
Sasa mkuu hujasikia Ole Sabaya akisema hizo hela za rushwa anakusanya na kureport moja kwa moja kwa Mamlaka ya Juu?
 
Kwa kweli kuna mambo yanafikirisha kiasi kaka msomi Petro, binafsi najiuliza where do these guys get the guts to act in such??
Siku zote ukitegemea kufanya kazi kutokana na nguvu za giza ni tabu sana. Kwa hiyo usifikilie sana jua tu kwamba sio wao ni nguvu za giza ndio zinawaongoza wafanye wanayoyafanya..
 
  • Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli ameshajipambanua kama mpenda kazi, uwajibikaji; mchukia rushwa na ufisadi na mwenye maono makubwa kwenye uwekezaji ili Serikali ipate kodi nyingi kwa maendeleo ya nchi yetu.
  • Mheshimiwa Rais amekuwa akitoa maelezo na maelekezo, hasa kwa wateule wao, wahakikishe kuwa kuna utumishi wa kutukuka kwa wananchi na kutatua shida/changamoto zao. Huu ndiyo msimamo wake mwema kwa Taifa hili.
  • Kila kada ya kimaisha ina changamoto zake. Wafanyabishara wana changamoto zao pia. Ni matumaini ya Mhe. Rais kuwa wateule wake watazitatua kero na changamoto hizo ili kuweka mazingira wezeshi na Rafiki kwa wawekezaji lengo kuu likiwa ni kupata walipakodi wa kutosha.
  • Kodi husaidia maendeleo ya miundombinu na huduma nyinginezo za kijamii.
  • Mhe. Rais pia amejipambanua kuwa ni Rais anayechukia rushwa na ufisadi kwa maneno na matendo yake. Hana urafiki wala huruma kwa mafisadi na walarushwa. Napo, wateule wake wanapaswa kuelekea uelekeo huo.
  • Tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai (kama zilivyo kwenye video niliyoiambatisha) si za kuzinyamazia. Kama mwananchi mzalendo, ninawiwa kuomba Mamlaka husika zichunguze tuhuma hizi na kuchukua hatua stahiki kwa Mhusika.
  • Vitendo vinavyodaiwa kutendwa na Mkuu wa Wilaya anayedaiwa kujipamanua kama anayeripoti moja kwa moja kwa Mhe. Rais (nilidhani angeanzia kwa Mkuu wa Mkoa), si vitendo vyema. Vitendo hivyo hufifisha na kusawajisha taswira njema ya Mhe. Rais na Serikali yake kwa wananchi.
  • Hatua stahiki zinapaswa kuchukuliwa kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi yetu pendwa Tanzania. Kwenda kinyume na vision na mission za Mhe. Rais si hujuma kwake?
Rejea:https://www.jamiiforums.com/threads...tumbua-wenyewe-rais-ameshajipambanua.1453163/
Magufuli baba tunasubiri hatua stahiki.
 
Kama utakuwa umesikiliza hiyo clip vizuri huyo mfanya biashara/muwekezaji anasema Sabaya amekuwa akijitapa kufanya kazi na aliyemteua. Huko ndiko anakopata hicho kiburi!

#JamaaAmechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom