Mhe. Rais amesimamisha wafanyakazi kupandishwa vyeo, mbona yeye anawapandisha?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,152
Ni takribani mwezi na nusu toka mtukufu Rais asimamishe upandishwaji wa vyeo kwa wafanyakazi wa umma mpaka hapo atakapotangaza vinginevyo lakini tumeona yeye akiwapandisha na kuwahamisha wengine tu kama kawaida.

Mfano wale waliokua polisi wanajua kilichotokea cjui kutoka SACP hadi ACP na wale wa chini kupandishwa kuwa SACP. Pia wale wakurugenzi waliopandishwa na wengine kuhamishwa, ni nini hiki kinatokea?

Kweli Nyerere alisemaga ile katiba unaeza kuitumia utakavyo na usiivunje. Nadhani nimeeleweka hapo.
 
Ni takribani mwezi na nusu toka mtukufu Rais asimamishe upandishwaji wa vyeo kwa wafanyakazi wa umma mpaka hapo atakapotangaza vinginevyo lakini tumeona yeye akiwapandisha na kuwahamisha wengine tu kama kawaida, mfano wale waliokua polisi wanajua kilichotokea cjui kutoka sacp hadi acp na wale wa chini kupandishwa kuwa sacp, pia wale wakurugenz waliopandishwa na wengine kuhamishwa ni nini hiki kinatokea. Kweli nyerere alisemaga ile katiba unaeza kuitumia utakavyo na usiivunje nazan nimeeleweka hapo.

Ueleweki
 
Anaweza kuwa kawapandisha, ila mshahara bado haupandishwi..!!! Ila kiutumishi, ukipewa barua rasmi ya kupandishwa, hata usipopewa mshahara wako stahiki pale ulipppandishwa lazima uombe Arrears. Cjui hii imekaaje. Tusubiri utumishi walete ufafanuz
 
Kama yule mwizi wa milioni saba kwa dakika yuko kwenye mikono salama wacheni afanye kazi.
 
pengine hata yeye mheshimiwa hakumbuki kua aliagiza watu wasiajiriwe wala kupandishwa vyeo :D:D:D.
zidumu fikra za wetu mtukufu mfalme.
 
Back
Top Bottom