Mhe Nyalandu usisingizie CCM jichunguze tabia zako mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe Nyalandu usisingizie CCM jichunguze tabia zako mwenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chachana, Apr 19, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lawama ambazo mhe nyalandu amekuwa akizitupa kuwa anafanyiwa fitina na chama (ccm) si za kweli. Tabia za mbunge huyu za majidai na majigambo kuwa yeye ni mtawala na kuwa wamarekani wamekuwa wanamtaka awe rais wa Tanzania ndio chanzo cha yote haya na zimemfanya kuwa na kiburi kibaya sana.
  Shutuma nyingi zinamgusa, hamaki ya kutumia bastola hivi karibuni, majidai yasiyo na maana anapokuwa na wanawake na mengine mengi.
  Kama unajiona upo misfit tuachie ccm yetu kama alivyoondoka lyatonga na mizoga mingine kuliko kushutumu kwa vitu ambavyo vinaendana na tabia na maisha yako.
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unawaita watu mizoga?
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Ina maana anachoongea Nyalandu anasingizia CCM? Chama kilivyochafuka hiki kina mauchafu ya kila namna kwa hiyo huna haja ya kumshutumu Nyalandu au ulitaka mpaka wa mfanye kama Mwakwembe ndo uamini? Kila mtu CCM ana majidai na kutaka misifa pamoja na matabia ya uzinzi kama mweka hazina(Mwigulu Mchemba) ana hizo tabia si zaidi sana kwa walio na vyeo vya chini CCM kama Nyalandu
   
 4. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Mwayego Nyalandu wasikuzingue hao, tena kama ningekuwa mimi nisingewatishia tu bastola bali ningewachapa risasi kabisa! Kwasababu hawataki kuamka kwanini? Wanakaa kututega kamba barabarani kutafuta ushuru wa shilingi ngapi? Zinatusaidia nini hizo mia mia wanazokusanya hapo kama sio kutusababishia ajali za kijinga? Nchi hii ina vitega uchumi vikubwa kwenye sekta ya madini, kwanini wananchi wasiamke kuilazimisha serikali yao ichukue kodi yetu kule ambayo inakidhi mahitaji yetu yote kabisa? Washenzi sana. Mh. Nyalandu, ukiwakuta this time uwatandike kwanza fimbo za makalioni ili akili zao zipevuke.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kama ccm ndio tatizo lake atoke basi....
   
 6. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu bwana nyalandu aliwahi kuwa mwenyekiti wa ukwata mkoa pale arusha kipindi anasoma ilboru.alikuwa mkristo.mwaka jana alikuja mbeya pale MIST.chuo cha sayansi na teknolojia.akiwa yeye .mwakyembe,ole sendeka,na samwel sita.wakiwa na msafara wao.miongoni mwa hao kulikuwa
  na msichana mmoja hivi.mdogo. Wanne hao walikuja kusain kwenye daftari la wagen kwa serikali ya wanachuo.walipoingia tukabaki na wengine walioongozana nao akiwepo msichana yule.ok.
  Nikamsalimu.basi nikamuuliza kazi yake.ama yupo wizarani ama vipi.kasema mimi nasoma mzumbe morogoro.kichwa kimoja kirefu.cheupe.(kwa sasa kipo mwaka 3).kwa waliosoma hapo watakuwa wanakifahamu.ambao wapo humu jamvini wataungana nami.kuelezea usafi/uchafu wa huyu bwana.walipotoka akakuta msichana wake anaongea na mimi mwanakidagu.akamchimba mkwara.nanukuu'unaongea ongea na nani huyo,?.kwa hofu msichana wa watu akasema nilikuwa namuulizia kozi za hapa chuoni. Sory.twende huku.'.lo nilijisikia vibaya sana.unaongea na nani huyo.!.huyu hana usafi wowote. Ni sherati.ajitokeze humu akanushe hilo.pia kuhusu ndoto zake za kuwa president itakuwa bomu kubwa kuliko tulio naye.anapenda totoz kama nini.iliniuma sana.siandiki hv kwa chuki.laa! Ni kwa kuwa mtoa uzi amegusia kuwa anapokuwa na wanawake.huwa anajitapa sana.ajitokeze humu apinge haya nimfowadie na picha za kichwa chake.nawasilisha.
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  CCM endeleeni kushutumiana,kutishia watu bastola,kupeana sumu,kuporomosha matusi kwenye kampeni ila mkijakuzinduka tu tayari CHADEMA wameisha chukua nchi.
   
 8. I

  Irizar JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa namuona huyu Nyalandu kama ni GAY au ni biasexual maana hayuko straight kama mwanamume, nilishawahi kusafiri nae safari moja USA, nikajuwa ni GAY, nilipokuja kusikia AMEOA nilishangaa..

  Huyu alikuwa ni mshauri / msaidizi wa mama Anna Mkapa kwenye ule mfuko/ NGO yake akipewa URAISI twafaaaaaaaa, ataiba mpaka tukomeeeeeeeeee.

  Anajuwa mbinu zoteeeeeeee za kuiba, alishafundishwa na Anna Mkapa, hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! hata kidogo
   
 9. Mzalendo39

  Mzalendo39 JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2017
  Joined: Apr 17, 2015
  Messages: 414
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 80
  mmmmh
   
Loading...