Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

N
Hiki ndicho alichokisema Mhe. Nape wakati anakabidhi ofisi kuwa hawezi kuhama CCM angalia hapa



Nape mdogo wangu. Nzuri siyo chama bali ni watu. Watu wazuri na wapambanaji wapotolewa kwenye chama, chama hicho hakiweze kuendelea kuwa nzuri kama walipokuwapo hao watu wazuri na wapambanaji. Nafikiri umefanya sehemu yako. Keep low profile maana uliyoyafanya yamekujenga sana na yatakusaidia sana muda si mrefu. Usiendelee kuongea sana usije ukajikwaa kaka.
 
Na ndo maana anachezea mchanga huko aliko:D:D:D:D:D.
Mkuu umenichekesha sana......Afu ndio kwanza Wanacdaema WAMEANZA KUBADILISHA GIA nagani wanataka kumsimamisha LISSU 2020...wanajisahau ya kuwa KUNA MTU ANA HATI YA KUWA MGOMBEA wa urais WA MILELE....ni suala la muda tu...tutegemee kuona CHADEMA VIPANDE VIPANDE...
 
Anatumia kiasi cha maneno kuwaweka mahasimu wake wa kisiasa wakibashiribashiri!
 
Namkalili JF. member mmoja alisema hivi mwanasiasa anachosema kweli ni jina lake tuu. Ila nimegundua wanasiasa tunaofahamu wana majina ya wizi kama Albert Bashite na akina Nchemba na wengine tukitaja kutakucha. nanyamaza sababu naogopa jela uzeeni.
 
Ni wajanja sana hawa watu
Wewe ndo umenena! Hawezi kukata tawi ambalo kwa sasa bado analikalia!
Aisema anaenda kuwatumikia watu wa mtama kama mbunge wa ccm! Hata kama ana mpango wa kukihama chama laklni haiweizi kuwa sasa hata kama ungekuwa wewe!
habari itakuwa nyingine kabisa baada ya bunge kuvunjwa 2020 kuelekea uchaguzi mkuu! Nape si mjinga! Haiwezekani akizire chakula alichokipika mwenyewe halafu awaachie kina Bashite wajichane!
 
Back
Top Bottom