Mhe Mkapa: Tukitaka Mabadiliko Tubebe Mimba?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,794
71,213
Nimekuta haya yanajadiliwa kuwa eti wewe umesema. Kama ni kweli, kwa nini hii tabia ya kutukana Watanzania umeifanya kama jambo LA sifa kwako?
Unatudharau sana sisi tunaokulisha kwa kodi zetu kugharamia pension yako.
Jee uko tayari nawe kukubali kuvunjiwa heshima na wale Waldo kuwa wanakuheshimu sana pamoja na kuwa umewaumiza kwa mambo mentioned ulipokuwa mtawala?
Nasikia unaingia front kwenye kampeni zinazoendelea, use na majibu hizo Mimba wanaotaka mabadiliko watabebeshwa na nani?
 
kwani kasemaje mzee wa mipasho fafanua kidogo kwamba mabadiliko yatakuja tukiwa na mimba kwani wanaume wanabeba mimba au mzee kasha chizika huyo
 
Nimekuta haya yanajadiliwa kuwa eti wewe umesema. Kama ni kweli, kwa nini hii tabia ya kutukana Watanzania umeifanya kama jambo LA sifa kwako?
Unatudharau sana sisi tunaokulisha kwa kodi zetu kugharamia pension yako.
Jee uko tayari nawe kukubali kuvunjiwa heshima na wale Waldo kuwa wanakuheshimu sana pamoja na kuwa umewaumiza kwa mambo mentioned ulipokuwa mtawala?
Nasikia unaingia front kwenye kampeni zinazoendelea, use na majibu hizo Mimba wanaotaka mabadiliko watabebeshwa na nani?
kumbe nawe huna huakika kama amesema, basi ni vema ukanyamaza
 
aendelee kutukana na tunamwomba mungu ampe mdomo mchafu kama alivyompa farao moyo mgumu wakat musa anaomba ruhusa ya kuondoka na wana wa israeli pale misri
 
Hana jipya, tunataka mabadiliko na wala wasituletee siasa zao za kizamani, yeye ni raia kama sisi tu, anachotuzidi ni kulipwa na kupewa huduma za bure bila kufanya kazi, na wala asifikiri alipopata urais alikuwa na akili kuliko watu wengine, huo ni utaratibu tu ambapo mwisho hutokea mmoja tu akapata nafasi hiyo, historia inaonyesha nafasi za urais zimeisha shikwa na mambulula kibao tu,
 
Hivi mkapa ana watoto?hivi anajua garama za kusomesha,garama za hospitali,malezi nk?ndo maaana tunataka mabadiliko
 
mkapa anazidi kupunguza kura za magufuli hii inakwenda kuwagarimu ccm Mungu anazidi kuwapa upofu ili wasielewe wanachokifanya
 
NI kauli chafu, ya dharau, udhalilishaji na umaamuma kutoka kwa huyu mzee Mkapa

Ni kama ana kopo la matusi, ukimgusa tu, anatoa moja, hadi yaishe
 
Mtu asiyejiheshimu hastahili kuitwa mheshimiwa. Tafadhali mkuu Chakaza badilisha heading yako.
 
Hana jipya, tunataka mabadiliko na wala wasituletee siasa zao za kizamani, yeye ni raia kama sisi tu, anachotuzidi ni kulipwa na kupewa huduma za bure bila kufanya kazi, na wala asifikiri alipopata urais alikuwa na akili kuliko watu wengine, huo ni utaratibu tu ambapo mwisho hutokea mmoja tu akapata nafasi hiyo, historia inaonyesha nafasi za urais zimeisha shikwa na mambulula kibao tu,

Kamanda naona umeongea mazito sana, ni ukweli lakini.
 
Mtu asiyejiheshimu hastahili kuitwa mheshimiwa. Tafadhali mkuu Chakaza badilisha heading yako.

nimekuelewa mkuu, ila kabla sijamshukia huyu mzee kipipa nilitaka nimuonyeshe kuwa watu tuna heshima ila yeye ndio anatupeleka kusiko faa.
Amesahau hata huo urais tulimpa na sio kuwa alizaliwa nao
 
Back
Top Bottom