Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
tetesi , sixgates kurudi cdm wiki ijayo ! swali , je nafasi yake bado ipo ?
"Kiongozi Mkuu yuko too local" - waraka
Hata sijaona picha, nlichosikia amesema alilipa nauli ya Kabouru kutoka marekani ili aje awe mwanachama wa chadema. Hii ni akili au matope. Zaid ya watanzania mil 40 unalipia mtu nauli aje kuwa mwanachama?
nmesikia akisema Bob makane na Mtei walikuwa wanagombana wote wakitaka wagombee nafasi ya urais.. Nashangaa, hivi mzee mtei anadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kwaya, ama hii succos?

Uongo mtupu unachosema. Labda kama ni kanda ya Ziwa Manyara!Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Mbowe amezidi kuimarisha msingi imara wa Chadema Kanda ya Ziwa. Kuna mambo ya msingi namna ya kuwashirikisha wadau mbalimbali ambao ni committed and competent ili kuendelea kuhakikisha kuwa chama kinakuwa imara zaidi.
Mkakati wa kuhakikisha Kanda zinakuwa imara ni kuwa na watu wawajibukaji zaidi ambao wataweza kusimamia sera na mikakati ya chama. Leo kuna watu wengi sana hapa Goldcrest Hotel Mwanza wenye professionals mbalimbali waliotoa muda wao kuja kukijenga zaidi Chama. Ni dhahiri Chama ni imara sana.
Hivi Brigedia Nyakarungu kaishia wapi na mkwala wake wa nyuma ya keyboard.Eti six gates na wenzake walimpiga Mbowe marufuku kwenda Mwanza........eti akienda atakutana nao chini ya amiri jeshi wao Brigedia Nyakarungu ....tehe tehe.....
taarifa zinaonyesha kwamba amekimbilia MAPANGONI , amevuliwa cheo hivi sasa anaitwa KONSTEBO NYAKARUNGU !Hivi Brigedia Nyakarungu kaishia wapi na mkwala wake wa nyuma ya keyboard.