Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

Ni kweli kiongozi makini ingekemea sana mambo ya ukabila, Dini, Ukanda, na Ubinafsi, matokeo yake yanatumiwa kupata viongozi
Habar wakuu!
Kutokana na vuguvugu la udini ambalo linazidi kusambazwa na baadhi ya viongozi wa kidini hapa nchini pamoja na vyombo vya habari, mhe Mbowe amesema haya yote yanatokana kutokana na serkali dhaifu ambayo inashindwa kukemea mambo kama hayo ambayo madhara yake ni makubwa kwa nchi pia amekemea vikali tabia ya viongozi wa CCM kuwagawa watu kidni na kiukanda na kikabila kwa maslahi mafupi ya chama chao.

Source Mbowe mwenye kwenye hotuba yake bungeni.
 
Watu wengine vichwa vyao sijui vinafikilia nini, usiwe kama UAMSHO bana au wale akina Shekh Ponda wanaotaka 50/50 kila sehemu bila kufuata vigezo.
Bora waseme walioko jikoni kina Mkigoma, Tuntemeke na wengineo hayo Majimbo sio Ukanda huo yaani Kigoma haiwezi kwenda jimbo la Kaskazini au Kusini

NCCR ya Mrema ilikosa ushindi hivihivi kwa sababu ya wakaskazini KUJISHEBEDUA kutaka kutawala mtoa mada hajatabiri kasema kweli
 
Mpaka Kieleweke,umemjibu sawia,huyu anaonekana kuwa na umbeya wa vijiweni,anauleta huku Jf
Pili hizi propaganda hazina maana,kwa kuwa umma wa Tanzania unaelewa,na upo tayari kwa mabadiliko ambayo hakuna awezaye kuyazuia...

Hata wenyeviti walioshinda Shinyanga mjini wanatoka kanda ya kaskazini.
 
CHADEMA mnapinga nini kuwa chama chenu si cha kikanda?
Tuambieni leo mlifuata utaratibu gani kumpa nafasi ya kipekee ya kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki anaesemekana kuwa ni mmiliki wa kampuni inayochapisha gazeti la Mwana Halisi na Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha wa CDM Bw. Antony Komu? na bado akashindwa kupata hiyo nafasi huku mkiwanyima nafasi vijana makini na waliokipigania na wanaojitolea ndani ya chama chenu kugombea nafasi hiyo ya Uwakilishi bunge la Afrika Mashariki.

madrasa na vibaraghashia vilishakukoroga akili ww
 
Bora waseme walioko jikoni kina Mkigoma, Tuntemeke na wengineo hayo Majimbo sio Ukanda huo yaani Kigoma haiwezi kwenda jimbo la Kaskazini au Kusini
NCCR ya Mrema ilikosa ushindi hivihivi kwa sababu ya wakaskazini KUJISHEBEDUA kutaka kutawala mtoa mada hajatabiri kasema kweli

Mpaka Kieleweke,umemjibu sawia,huyu anaonekana kuwa na umbeya wa vijiweni,anauleta huku Jf
Pili hizi propaganda hazina maana,kwa kuwa umma wa Tanzania unaelewa,na upo tayari kwa mabadiliko ambayo hakuna awezaye kuyazuia...

Hata wenyeviti walioshinda Shinyanga mjini wanatoka kanda ya kaskazini.
 
Chief Fundikira RIP alipoanzisha chama na kikaanza kuwa popular tukaanza kusikia chama cha Fundikira ni cha Wanyamwezi!

Tuwe positive - Chadema hivi sasa imeelekeza nguvu katika kupata wanachama wengi kuliko huenda ilivyo tegemewa miaka 5 iliyopita. ni juu ya chama hiki kuandaa mazingira ya kuwapokea wananchi hawa na kuwa na sura ya ushindani wa sura na chama tawala ambacho kina kauchovu ka aina fulani.
 
Mkuu wangu, acha kuwaonea chadema, Mbowe amempa lema nafasi ile kwa kuwa lema hana mshahara tokea atimuliwe ubunge kwa kukashifu mgombea mwenzake baada ya kueleza sera. Hivyo mkuu sababu kuu ya kumuona lema front ni ugumu wa maisha na kujitafutia riziki, ndipo katika kikao cha siri kisicho rasmi pakakubaliwa awe anapata pesa zitokanazo na michango ya sadaka walioipa jina la M4C.

Pia mkuu ukumbuke kuwa utaratibu wa kuwasaidia kiuchumi wananchama waliopoteza nafasi la ulaji haukuanza kwa lema, slaa nae pia ni miongoni mwao, ndio maana unaona pamoja na kudhoofika kwa afya yake bado inabidi azunguke mitaani kujustify kupata mshahara mnono.

Mkuu ni hayo tu, hakuna ukabila ila bahati mbaya by coincidence wote wanaokula michango yetu wanatoka kaskazini.

kahawa na mihadhara vilishakuchanganya ubongo ww na hiyo degree uliopata zanzbar university basi ushakuwa mwehu.
 
Huyu mleta mada inaonekana ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano huo na kunyimwa fursa ya kuzungumza kwa sababu hana wadhifa wowote ndani ya chama na ndio maana analalamika hivyo.

Pili , kuhusu mafunzo kwa madiwani ni kweli yalifanyika kwa madiwani wote wa nchi nzima 578 na yaliendeshwa kwa kanda tatu tofauti, moja ilikuwa na wakufunzi wafuatao, Silivester Masinde, Antony Komu, Josephat Isango,Alex Kasurura ,Kunty ....nyingine ilikuwa na Benson Kigaila,Lazaro Maasay,Jaffar Michael,na wengine na ya tatu ilikuwa na Nyangaki Shilungushela,John Mrema,Shaba, Basil Lema ,Anna Mghwira, Dadi Kombo .

Sasa huyu yeye anapaswa kufanya utafiti kuwa hao watu walitokea kanda gani na wengine walienda kwa sababu ya nafasi zao kwenye chama .

huyu inawezekana ni msaidizi wa Tuntemeke.......
kwani ulio wataja hao huoni wengi wao wanatokea kaskazini hivi unaweza kumwambia nani kwamba benson kigaila hana tabia za ukaskazini?kuna uraia wa kuzaliwa na uraia wa kuomba sasa mtu kama benson kigaila au john heche hawa ni wakaskazini wa kuomba.
 
Nikimnukuu baba wa Taifa aliwahi kusema mtu akifilisika kiasisa atanza kutumia udini na ukabila mwisho wa kunukuu, na ndiyo wanachokifanya CCM wakijua wanaikandamiza CDM kumbe wanaingiza chuki kwa watanzania na kwa Tanzania tulipo fikia huwezi kuingia ikulu kwa kuchaguliwa na dini moja au kabila moja.

Mbowe kasema kama Tz kuna chama kinacho wagawa wanachi kidini au kikabila basi serekali ikifute inasubiri nini?
 
nimejari kukufikiria kwa muda mrefu na kujaribu kuelewa unasema kitu gani, nimeona naumiza kichwa changu bure kwa kuwa we ni mmoja wa mamluki mnaotumwa na watu dhaifu kuja kutusumbua akili zetu, waambie walokutuma kuwa hukuwakuta wenyewe,
 
nimejari kukufikiria kwa muda mrefu na kujaribu kuelewa unasema kitu gani, nimeona naumiza kichwa changu bure kwa kuwa we ni mmoja wa mamluki mnaotumwa na watu dhaifu kuja kutusumbua akili zetu, waambie walokutuma kuwa hukuwakuta wenyewe,

Hii ni ID ya 25 ya Tuntemeke.Kwa hiyo mkuu wangu usijisumbue na hili Tapeli
 
chadema na ukatonto dam dam,na kama si kanisa hata kambi ya upinzani kamwe msingeunda kamwe,kama hali hii itaachiwa kuendelea mpaka mwaka 2015 na mkapewa nchi walau kwa miaka mitano ya kwanza kila kanda itakuwa na dini yake inji hii
 
Sijui labda nikuulize swali dogo zuri, 'hivi mikoa iliyoendelea imeendelezwa na CCM. Ikiwa Kigoma imedumazwa kimaendeleo hivyo Kilimanjaro imeendelezwa na CCM.

Kwa kuwa Kilimanjaro imeendelezwa na CCM basi Mbowe, Mtei hawana haja ya kujiunga na CHADEMA wabaki CCM.
 
Hata Mitume wote 12 walikuwa Wayahudi, lakini leo injili imetufikia wooote na tunapata neema ileile sawa na wayahudi! Ulitaka wahutubie watu kutoka mtwara wakati ndo kwanza wanatakiwa kuifahamu peoples.

Hoja si mtu anatokea wapi hoja ni merit
 
Katika mkutano huu kulikuwepo viongozi mbalimbali,madiwani na mwenyekiti wa vijana wa kinondoni hawakupewa nafasi kabisa,,pia kulikuwepo na wanaharakati wazoefu wengi tu lakini hawakupewa nafasi licha ya muda kuruhusu nafasi hiyo.

Pia kwenye mkutano wa manzese waliohutubia siku ile ni wakaskazini ,watu amabo si wakaskazini kama Heche alipewa nafasi ile kwa sababu no way out HECHE NI MWENYEKITI WA BAVICHA hivyo ilikuwa si rahisi kumkwepa.

Kubwa zaidi ni kwenye mikutano iliyokuwa inaendelea kusini mwa Tanzania..katika ROSTER ile ni wa kaskazini ndio walipewa nafasi ya mbele katika kwenda na kwenye kuutubia
hapo kwenye red naona unashindana na maelezo yako mwenyewe
kwenye blue huo ni uongo ulio wazi kabisa, nikisema hii post iondolewe kwa kuwa ni uongo utasemaje?
 
mpumbavu w yani unamaana na mimi hapa shardcole wa tabora ni mtu wa kanda ya kaskazini? Nakuuliza tena na mm hapa ni mtu wa kaskazini? Tabora ni kaskazini? Mpuuz mkubwa ww pamoja na wajinga wenzio mnaoleta siasa za kibaguzi, sasa kama mtu ana uwezo asichukuliwe kisa yy katoka kaskazini ilo kuogopa mende kama ninyi? Mnataka chama chetu kiwe na malofa kama nyie mafisadi wakubwa? Mnaboa sana na tabia zenu hizo za kikaha.ba,
OTEVA HATA KAMA CHADEMA NI YA UKANDA SS HATUJALI HILO KWANI NI HERI KUTAWALIWA NA UKANDA KULIKO MAKAHA.BA WANOFUMANIWA UGONI NA MAFISADI KAMA CCM.

Shardcole kwnai na wewe chadema ni yenu wewe ni mshabiki wa chadema na mfuasi wa lema yaani kinachokusumbua wewe shardcole unaijua chadema kwa mikutano ya hadhara na kuitikia peoples powerrrr lakini ndani yake hujui chochote zaidi ya kuongeza ruzuku za chama na wajanja kujilipa mishahara na posho.

wewe unaandamana wenzako wanachukuwa picha za maandamano na wanawapelekea wahisani ili wapate pesa lakini najua hujui2 ikijua utajilaumu sana au kama hutaki kuamini wewe si ni mshabiki wa cdm uchaguzi ujao kagombee cheo cha juu cha cdm taifa halafu ishindane na mkaskazini utaona kitakacho kukuta.

shardcole wewe ni mwanachadema wa kujitolea lakini wewe chama chao hawajitolei wanalipwa maana wao wanatumia umaskini wako kama mtaji wao wa kujipatia ruzuku ndo maana hakuna maandamano jimbo la HAI.
 
Back
Top Bottom