Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Peleka chuki na fitina zako kwa wapumbavu wenzako!
Habar wakuu!
Kutokana na vuguvugu la udini ambalo linazidi kusambazwa na baadhi ya viongozi wa kidini hapa nchini pamoja na vyombo vya habari, mhe Mbowe amesema haya yote yanatokana kutokana na serkali dhaifu ambayo inashindwa kukemea mambo kama hayo ambayo madhara yake ni makubwa kwa nchi pia amekemea vikali tabia ya viongozi wa CCM kuwagawa watu kidni na kiukanda na kikabila kwa maslahi mafupi ya chama chao.
Source Mbowe mwenye kwenye hotuba yake bungeni.
hao hawafai hata kupewa nchi, wakipewa nchi wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, mawaziri wote watatoka kaskazini. tenda zote za serikali zitapelekwa kaskazini, makabila mengine mtabaki watazamaji.
FJM
Mi nilidhani rais anapokuwa mgeni rasmi kwenye hafla za dini, na hasa dini tofauti na yake, hii inaleta balance nzuri ya speech zake, na kusignify unity.
afadhali wewe alopewa macho na ubongo ulotambua haya