Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

Shida kubwa ya makanisa hawana umoja, wamesoma vizuri lkn hawana umoja, Mbowe amesema kwa sababu yeye pia ni muumini. Ndugu zetu waswahili mnataka nchi hii mbaki ninyi bila dini nyingine?

Nchi gani inayoongozwa kidini yenye amani hata chembe? Sheria za dini yenu zinaweza kumaliza uhuni wote? Mtazamo wa kidini hautaleta suluhu ya umaskini wala kuondoa magonjwa kwa taifa hili, mtazamo wa kidini utahalalisha mambo dhaifu yanayofanywa na watu kwa kutazama dini zao kama wa Dini ya Kiarabu wataonekana hawana hatia kwa sababu ya dini yao! hili ni janga kubwa linalonyemelea taifa letu.

MUNGU IPONYE TANGANYIKA, Mungu Ibariki Tanganyika
 
Kuwataka waislam wadhbitiwe kwa kuwa wanasema vibaya makanisa huku akizitaka redio na magazeti ya kiislam yakionywa. Kwani Mbowe ni msemaji wa kanisa?
ni katika hotuba yake kwa ofisi ya waziri mkuu

Mbowe hakusema hayo unayoyasema. Acha kuleta uchonganishi na uchochezi. Nchi ikiingia katika machafuko hakuna atakayesalimika
 
Wala hajataja dini yoyote, bali ameonya kuhusu kutumia dini kwa malengo ya kisiasa kutawagawa wananchi katika misingi ya kidini, jambo ambalo litapeleka Taifa hili pabaya.

Kwani mpaka sasa hamjui ni chama gani kinapakazia vyama vingine masuala ya udini ili vichukiwe na waumini wa dini nyingine? Hajakosea chochote katika hili.
 
Kuwataka waislam wadhbitiwe kwa kuwa wanasema vibaya makanisa huku akizitaka redio na magazeti ya kiislam yakionywa. Kwani Mbowe ni msemaji wa kanisa?
ni katika hotuba yake kwa ofisi ya waziri mkuu

Inaonekana watu wenye imani ya kidini kama yako wanauwezo mdogo sana wa kuelewa ISSUES.
 
kama umetumwa na ccm kuharibu amani nenda uamsho kwani hao ndio washirika waoni kuwa ccm +bakwata=uamsho
 
halahala haya mambo ya udini yatatupeleka pabaya Tanzania tuachane nayo kabisa tuishi kama ndugu.
 
Kuwataka waislam wadhbitiwe kwa kuwa wanasema vibaya makanisa huku akizitaka redio na magazeti ya kiislam yakionywa. Kwani Mbowe ni msemaji wa kanisa?
ni katika hotuba yake kwa ofisi ya waziri mkuu

Naamini katika uhuru wa mtu kuongea but vitu vya uongo na ambavyo vipo out of Context nadhani MODERATOR ni vizuri kuvi strike off sio kuvipa priority kwa stars kama ulivyofanya....
 
Nilikuwa sijui kama MALUMBANO ni Mwana-UAMUSHO nimejua tu kwa fikra zake maana hazina Mshiko kabisa ziko na Udini-dini tu.

Jaribu kuelewa watu wanavyosema si kulazimisha na kupakazia wengine mambo ya Udini, licha ya hivyo chama kinachotumia la U-DINI kinafahamika na wote wenye kuelewa.
 
Hivi mara nyingi ukweli mnaupinga na kutetea vitu vya kijinga eti kwa kuwa kafanya kiongozi wenu nani asie juwa kama CDM ni tawi la kanisa hata kama ukweli mnauficha ipo cku ukweli utacmama kama atakavyorudi nabii issa
 
wewe ndo unachemka, hajataja kanisa wala msikiti bali alitoa rai kwa taasisi zote za kidini kutojihusisha na matukio, umenifanya nipitie hansard yenye hotuba yake though niliangalia bunge siku ile.
 
Hivi mara nyingi ukweli mnaupinga na kutetea vitu vya kijinga eti kwa kuwa kafanya kiongozi wenu nani asie juwa kama CDM ni tawi la kanisa hata kama ukweli mnauficha ipo cku ukweli utacmama kama atakavyorudi nabii issa

haya yako ya kufikirika hayana haja ya kupingana nayo coz ni hisia na mtazamo wako, ila ilo swala la hotuba ya mbowe na kuzungumzia misikiti ni uongo wa kitoto kwani wote tumetizama bunge na hansard ipo.
 
Hivi mara nyingi ukweli mnaupinga na kutetea vitu vya kijinga eti kwa kuwa kafanya kiongozi wenu nani asie juwa kama CDM ni tawi la kanisa hata kama ukweli mnauficha ipo cku ukweli utacmama kama atakavyorudi nabii issa
Sure, ni kama tu CUF ilivyo tawi la Waislam! I think your level of appreciating issues is diminishing!
 
Back
Top Bottom