Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Ni jambo la ajabu kabisa ajabu kweli kwa Tv ya taifa kushindwa kurusha live matangazo ya bunge kwasababu yoyote ile, ili wananchi waone ni kwa jinsi gani wabunge wao wanawawakilisha.
Wenzetu mbona wanafanya hivyo UBC, KBC, BBC 2, hata nchi nyingine why TBC?
Nilidhani huyu angekuwa mtumishi wa kwanza kufukuzwa kabisa na wala si kusimamishwa.
Wenzetu mbona wanafanya hivyo UBC, KBC, BBC 2, hata nchi nyingine why TBC?
Nilidhani huyu angekuwa mtumishi wa kwanza kufukuzwa kabisa na wala si kusimamishwa.