Mhe. Lembeli - Mtanganyika!

Rangi 2

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
334
234
Jana usiku Mhe. Lembeli akiwa katika Klabu ya Villa Park - Mwanza ambapo alishirikiana na Bendi ya Super Kamanyola katika nyimbo za Marehemu Marijan Rajabu (Jojina na Mzee Said) pamoja na Rangi ya Chungwa (Tabora Jazz?). Lembeli aliuambia umati wa watu katika maneno yake ya utangulizi kuwa ' Kwanza mimi ni Mtanganyika.'
Hongera Mheshimiwa kwa kukiri uTanganyika wako...
 
Acha ungese; utanganyika wake na baraza hili wapi na wapi? Ungesema alikuwa villa park akila vyake, ukaweka pix sawa
 
Jana usiku Mhe. Lembeli akiwa katika Klabu ya Villa Park - Mwanza ambapo alishirikiana na Bendi ya Super Kamanyola katika nyimbo za Marehemu Marijan Rajabu (Jojina na Mzee Said) pamoja na Rangi ya Chungwa (Tabora Jazz?). Lembeli aliuambia umati wa watu katika maneno yake ya utangulizi kuwa ' Kwanza mimi ni Mtanganyika.'
Hongera Mheshimiwa kwa kukiri uTanganyika wako...

Unalijua vizuri jukwaa hili?
 
Invisible toa huu uchafu huku chumbani....
 
Jana usiku Mhe. Lembeli akiwa katika Klabu ya Villa Park - Mwanza ambapo alishirikiana na Bendi ya Super Kamanyola katika nyimbo za Marehemu Marijan Rajabu (Jojina na Mzee Said) pamoja na Rangi ya Chungwa (Tabora Jazz?). Lembeli aliuambia umati wa watu katika maneno yake ya utangulizi kuwa ' Kwanza mimi ni Mtanganyika.'
Hongera Mheshimiwa kwa kukiri uTanganyika wako...
Bunge linaendelea dodoma yeye mwanza alifuata nini? au kawekeza?
 
moderators hii ni post/thread ya siasa au mchanganyiko lakini wadau wameshachangia kikubwa hivyo ondoa huu uzi tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom