Mhe. Lema: watanzania 'hawaombi' bali 'wanataka' katiba mpya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Lema: watanzania 'hawaombi' bali 'wanataka' katiba mpya!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Gosbertgoodluck, Jan 28, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wazee,
  Kauli hiyo imenikuna sana. Imetolewa na Mhe. Lema wakati wa Mdahalo wa Tanzania Tunayoitaka uliorushwa moja kwa moja na ITV.
   
 2. d

  dreamcatcher Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Egypt is coming to Tanzania soon. So soon!!:clap2::clap2::clap2:
   
 3. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hoja nzuri lakini hakuweza kuiwasilisha ipaswavyo kaongea kama amegutushwa ghafla zungumza au uwezo wake wa kujenga hoja uko chini unahitaji kubustiwa
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimesoma maoni yako na kuangalia jina lako bandia lakini inaonekana kuna uhusiano mzuri sana.
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  :car:
   
 6. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yaani kauli hii ya mpambanaji Lema imegusa umma na imempa Msekwa na CCM yote picha halisi ya nini kitatokea pale watapofanyia mzaha dhamira hii ya umma. hadi Msekwa alionekana kutoa macho sana, kumaanisha msg imemwingia vyema
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haki huwa haiombwi, inachukuliwa!
   
 8. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tanzania inahitaji makamanda tu kwa sasa,ili tudiscipline mwendo hasi wa serikali yetu. hatutaki kufuga papasi na panya teena, its high time that one who resist this move should be out of the system by either way, PERIOD.
   
 9. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Lema ni the best mp fighter mpaka sasa, kwa muono wangu.
   
 10. D

  DENYO JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umenena mh. Lema hawa ccm wasidhani propaganda zao zitatufikisha kokote -mwisho wao umefika katiba is must na tunaitaka sasa na si wakati mwingine wowote. No lazima katiba mpya sasa. Mh.lema keep it up kamanda wa vita na speaker la nguvu ya umma.
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  safi sana. wazee kama mzee Msekwa na wenzake wengine ktk CCM,hawajui watanzania wa sasa wanataka nini. hawana tofauti na akina Hosin Mubarak wa Misri. Mheshimiwa Lema,wananchi wa Arusha wanasubiri tangazo. nguvu ya umma imuondoe meya aliyechaguliwa kihuni hapa Arusha. baadae nguvu ya umma isambae nchi nzima kuwang'oa mafisadi na wahuni wote wanaoiibia nchi yetu.
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  That is the only best language to any dictatorship regime ukiwachekea nyani watazidi kula mahindi yako, ulimona Msekwa alivyobadilika baada ya kuambiwa hivyo akajua kumbe hawa jamaa hawatanii.

  Viongozi wa type ya Mh. Lema ndio tunaowategemea watuongoze kwenye government protests zinazokuja.
   
 13. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  watake wasitake wasahau kilimo kwanza sasa ni KATIBA KWANZA!!!
  Katiba oyeeeee
   
 14. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi naitamani kweli,, maana hata nikiogopa leo bado mtoto wangu na mjukuu wangu wataishi maisha ya kuungaunga kama yangu, na hata nikiogopa kifo ni bora ufe kwa sasa ukiwa na nguvu kuliko kufa uzeeni ambapo ccm itakuwa imekunyonya kikatili.......

  tunisia na egypt imenifundisha kuwa kuwaondoa hawa mafisadi wala hatuhitaji bunduki wala mabomu bali miwani ya kuzuia moshi wa mabomu ya machozi na makoti ya kuzuia maji ya pilipili ya ccm basi kwisha kazi,,maandamano nchi nzima mpaka haya majambazi yasalimu amri kama wenzao.

  na fisadi na wale wanaoneemaeka kupitia mafisadi watakuwa wanachukizwa na kinachoendelea egypt na haya mambo ya katiba yanavyowaka moto.....
   
 15. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  kweli tunahitaji katiba mpya lakini sio katiba yenye lenge la kuondoa uozo wa ccm na kuleta ufatani holiganism...kuna mambo ya msingi ya kujadiliwa ingawa hata huyu lema ukimuuliza katiba iliyopo ina mapungufu gani hana ajuacho ila jazba.....jana msekwa alifahamisha kuna njia mbili za kupata maoni ya katiba mpya moja alotumia rais kikwete..na yapili ni kwa bunge kuunda tume ya bunge ya kukusanya maoni......lakini wengi pale itv walikua kama ni watu waliopelekwa kuharibu mdahalo ...jazba ...pamoja na huyu lema...
  msekwa aliuliza kama ipo njia nyengine ya kudai maoni ya katiba watu wapendekeze hakuna aliyekua na jibu..watu ni jzba tu....kama wametumwa kushinikiza kitu ambacho hakina tija yoyote wala faida katika kupata katiba..
  inaonekana wako watu hawana lengo la kweli la kupata katiba mpya ila ilikua ni njia ya kujaribu kutaka kupata sababu ya kufanya fujo kwa kisingio cha katiba ,,,lakini kikwete ni msikivu...na sio mtu mbishi..anasoma nyakati....akakubali kwa dhati kuwa kweli katiba inatakiwa ili tanzania isonge mbele ..sasa kelele ,,zimeanza ati....watachakachua ...eti wataleta katiba kwa maslahi ya ccm...
  ukweli ni kwamba waloanzisha mjadala huu hawakua na nia ya katiba bali njia ya kufanya fujo...na sasa uhalali huo haupo tena kwani rais amesema wazi katiba mpya lazima....
  tuje kwenye katiba yenyewe jee kuna mambo yanatakiwa kubadilishwa? Jawabu ndio..na kwa maoni yangu yafuatayo lazima yazingatiwe
  1. immunity kwa rais ....kuna suali la kutoshtakiwa rais kwa kosa lolote anapokuwa madarakani....hili linafanya kama nchi itapata rais dictactor ama mpenda vita ama mpenda kuvamia nchi nyengine ama kuingilia nchi jirani ama kufisidi nchi ama kutumia madaraka yake vibaya asishtakiwe.....sasa hili linaweza kubadilishwa....katika katiba...ila kwa makosa ya kibinadaam katika kutekeleza kazi zake kama rais bado kama kiongozi wa nchi anahitaji kupata immunity.
  2. kuna suala la majeshi yetu kushiriki katika mipango ya kulinda amani nje ya nchi ...katiba lazima iweke utaratibu iwe lazima bunge li ridhie kwa kura kuwapeleka majeshi yetu nje....hii inazuia jeshi kutumiwa kulinda maslahi ya ubeberu..rais au waziri wasiwe na uamuzi huu....mfano ni wanajeshi waliopo lebanon si kwa maslahi ya lebanon bali kwa maslahi ya ubeberu wa kizayuni.
  3. suali jengine ni kuhusu muungano....ukweli inatakiwa mtu wa kumfunga paka kengele kwani 1+1 =2 na 1+2=3....kitendaji ukweli kuna seriakali 3 ...ya zanzibar ya muungano na ya tanganyika inayowakilishwa na ya muungano ndani kwa ndani...leo magufuli ukweli sio waziri wa tanzania !!! Hana chochote anafanya kama waziri wa ma 'barabara' kwa upande wa zanzibar yeye kazi yake ni tanganyika tu...hili pia ni kwa mwandosya..., kwa mkullo,...kwa...pinda pia ukweli ni waziri mkuu wa tanganyika...hawezi kutoa directive yoyote kwa zanzibar...umuhimu wa serikali 3 ni lazima..kama kweli tunataka katiba itayotuvusha kwenye karne hii....utaona kwenye kikao cha bunge serikali inajadili suala la maji mfano pale shinyanga sasa hawa wabunge wa zanzibar wana sikiliza tu...wanajua wazi huyu waziri wa maji ni wa tanganyika zanzibar wana waziri wao wa maji na wana mipango yao kuhusu maji...kuna mambo ambayo nyerere alikuwa anayapigania kwa sababu ya ubishi tu lakini hayana msingi wowote na watu waliogopa kumshauri moja ni hili.
  4. jengine ni suali la haki ya binaadamu.....hili limo ndani ya katiba na tanzania ni signatory wa decalration human rights ya united nation ...hapa ina paswa kuwekwa wazi haki za raia kikazi za police naa wajibu wao kwa raia..na ili haki za binaadamu zizingatiwe basi sheria nyengine zibadilishwe ama kufutwa ili zisipingane na katiba ambayo ndio sheria mama..mfano sheria za kuandamana na migomo...sheria ya ugaidi inapaswa kufutwa kwanza ni sheria tuliolazimishwa kuitunga kwa lengo la kuwa target waislam..hivo bila sheria hii kufutwa haki za binaadam hazipo..na ubaya wa sheria hii unaoneka uganga museveni kila anampinga basi anampaakazia gaidi hata akimua basi hakuna mtu anaepiga kelele....na sheria hii inaweza kabisa kutumiwa dhidi ya upinzani tanzania...haifai..ugaidi hauondolewi kwa sheria ya ounevu bali kuzidisha ulinzi na usalama kwa vyombo vyetu kupewa nyenzo muhimu,
  5. kuna suali la tume huru ya ucahguzi....hili ni mtihani mguma kwani kupata tume mabaye itakubaliwa na vyama vyote ni kazi kiweli kweli...lakini tunaweza kuafaanya nini ?? Ni kuweka mipango ambapo uchaguzi ufanywe kwa kutumia technology ya kisasa ya fingure print...ambapo hakutokua na kuchakachua tena....gharama za kuchapisha makaratasi ni kubwa zaidi kuliko gharama za technology hii....nadahni hili ndio sulihisho
  6. tatu ni muda wa kuapishwa rais baada ya matokeo....kuwepo na muda wa kupinga matokeo kama mwezi mmoja hivi kwa wale wenye sababu za msingi kama wamezulumiwa..ingawa tukiwa na technology ya kisasa hakutakuwa na matatizo
  7. haki za minority zinapaswa kulindwa ndani ya katiba
  8. lazima mtanzania awe defined ndani ya katiba
  mengine baadae...lakini fursa inakuja tujipange kama kweli tuna nia ya kupata katiba mpya...na pia namshauri kikwete amchague slaa,mbowe na lisu wawemo ndani ya tume yake ya katiba...
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa hatuhitaji porojo za siasa tunahitaji katiba mpya.lema ni mbunge safi kwani ni muwazi na anamaanisha anachokisema,ni muakilishi wa kweli aliyeonja machungu ya maisha magumu.huhitaji degree kufahamu katiba yetu ni mbovu.
  "tusiwatishe wananchi kwa kuwauliza vifungu vilivyoko kwenye katiba"-GODBLESS CHARLES
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda katiba kwanza..
   
 18. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  hizi za lema ndio porojo na fujo tunataka katiba sio maneno..tunataka katiba mpya lakini uongo wa kudai katiba kufanya fujo....kama munayo munayo pendekeza itoeni hapa tuijadili...kusema tu tunataka katiba mpya bila kusema unataka nini ndani ya hio katiba ni uenda wazimu....katiba sio msahafu au injili ambayo binaadam wameteremshiwa na allah,,,,ni sheria ya nchi inayotungwa na binaadamu so hatutaki porojo la katiba bila kusema nini tunataka...wekeni hapa nini kinatakiwa tukijadili....sio porojo
   
 19. i

  issenye JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  :msela::clap2::clap2:Big up Lema. Kweli Arusha wamechagua mchapakazi. Ila angalia usijekuchakachuliwa na wana CCM kwa pesa zao
   
 20. i

  issenye JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  :peace:peoples power
   
Loading...