Mhe. Kabwe Zitto Live ndani ya Jahazi la Clouds FM!.

Zitto pamoja na kufafanua ubadhirifu waliougundua TBS, ameeleza kwamba mwaka 2012 ni mwaka wa kuleta mabadiliko kwenye nchi yetu kwa vitendo na kupunguza kulalamika na kupika majungu.
Amesisitiza vijana kutimiza wajibu wao kila mtu kwa nafasi yake.
Hapendi kusifiwa, ila anafurahia zaidi changamoto na mawazo ya kuiendeleza nchi yetu
 
siwezi kusikiliza hiyo radio .radio gani inapiga kampeni mwaka mzima afu za kinafiki
 
Akitoka hapo aende radio Uhuru akamwage nondo za kufa mtu. Utakapo ona Nancy Pelosi anakwenda kwa Rush Limburg kumwaga nondo basi ujue kuna something!

Nimemsikiliza lakini nimefunga redio alipoanza kumtetea Chami. Jamaa (Zitto) hana msimamo kabisa.

Nimsikilize Zito?huyo ni gamba ndani ya CDM,naona kaamua kutumia radio ya chama chake kinachomtumia

Huyo mwachageni hamjamjua tu

ndiyo ipi hiyo, Zitto hana tofauti na mbunge wangu Shibuda....

Mkuu nimekusikiliza ulipokuwa unahojiwa na Kibonde clouds fm.

Mkuu nahisi kama unajisahau sana au hujitambui kama unaongoza kwa kusingiziwa mambo kibao kama ulivyodai unanifanya nifikiri mara mbili juu yako. Hivi unajua wajibu wako? Hivi unajua kwamba wewe ni mwanasiasa wa upinzani? Hivi unaelewa wewe tunakujua kama mmojawapo wa makamanda mlio mstari wa mbele huku tukiwafata nyuma? Ulitaka usifiwe na nani sasa? Mbona wanasiasa kibao wanasingiziwa mambo mengi na wako kimya kwa sababu wanajua ndio kazi yenyewe?

Mkuu nakushauri kama unataka maisha easy na soft ingia CCM ili ukasifiwe kama yule kilaza uliyemtaja kwamba ni "mwanasiasa kijana''. Wanasiasa kama wewe mtatuponza sana nyie. Mwisho wako kisiasa sio mzuri unless ukubali kubadilika

Yet mnataka mabadiliko?? yepi hayo? yanakujaje?? njooni field huku, acheni k/board zenu !
 
Akitoka hapo aende radio Uhuru akamwage nondo za kufa mtu. Utakapo ona Nancy Pelosi anakwenda kwa Rush Limburg kumwaga nondo basi ujue kuna something!

Unaongea bla bla sana...yani mnapataga ugonjwa gani nyie mkisikia jina la zito?..tatizo lenu nyie mapacha watatu mnawaza kwa kutumia pua badala ya akili!..
 
Mkuu nimekusikiliza ulipokuwa unahojiwa na Kibonde clouds fm.

Mkuu nahisi kama unajisahau sana au hujitambui kama unaongoza kwa kusingiziwa mambo kibao kama ulivyodai unanifanya nifikiri mara mbili juu yako. Hivi unajua wajibu wako? Hivi unajua kwamba wewe ni mwanasiasa wa upinzani? Hivi unaelewa wewe tunakujua kama mmojawapo wa makamanda mlio mstari wa mbele huku tukiwafata nyuma? Ulitaka usifiwe na nani sasa? Mbona wanasiasa kibao wanasingiziwa mambo mengi na wako kimya kwa sababu wanajua ndio kazi yenyewe?

Mkuu nakushauri kama unataka maisha easy na soft ingia CCM ili ukasifiwe kama yule kilaza uliyemtaja kwamba ni "mwanasiasa kijana''. Wanasiasa kama wewe mtatuponza sana nyie. Mwisho wako kisiasa sio mzuri unless ukubali kubadilika

Mmezoea siasa za majungu majungu nyie watu!..zitto ameshavuka level zenu mapacha watatu..jadilini hoja za msingi acheni kujadili ***** wenu huo...mkiambiwa mthibitishe u ccm wa hiyo radio mtaweza?...kuna haja gani ya kuropoka ropoka hovyo kwa manufaa yasiyo na tija..taifa hili litajengwa na wazalendo kama zitto na sio wanafiki kama kiongozi mkuu wa magwanda aliyenunua nyumba DUBAI...
 
Niburuzwe na nani kakakuona? Aftraw siwezi kumsikiliza zitto coz anaihujumu chadema.

ni kweli unaburuzwa,na utaburuzwa mpk uchubuke. tumia busara na akili za kuzaliwa.usifwate mkumbo wa ku criticize.ckiliza zito anasema nn alaf utafakari.
 
Hana maana huyo zitto na ndiye alimdanganya lisu aandike hotuba ya kumsifia jk... What a **** idea!!!! Ila hana pa kutokea ikiwezekana tutamkafulila tu
 
Hana maana huyo zitto na ndiye alimdanganya lisu aandike hotuba ya kumsifia jk... What a **** idea!!!! Ila hana pa kutokea ikiwezekana tutamkafulila tu

Kama unayoyasema ni kweli basi Lissu ndiye hana maana wala hatufai,anawezaje kushawishiwa kuandika kitu ambacho yeye haoni sawa na akafanya!
 
Hana maana huyo zitto na ndiye alimdanganya lisu aandike hotuba ya kumsifia jk... What a **** idea!!!! Ila hana pa kutokea ikiwezekana tutamkafulila tu

Kama ni kweli basi aliyeshawishiwa ndo mpuuzi..
 
mimi niko gizani kuhusu haya mambo ya zitto katika chadema....

kwa lugha nyepesi (bullet points 2 au 3), hivi zitto amefanya kitu gani kibaya sana hadi kuchukiwa na kutokuaminiwa kwa kiasi hiki na baadhi ya wana-chadema?

mimi sijauona ubaya wake. ku-rub shoulders na akina riz1 na baba riz1??? gimme a break!

mimi binafise nampenda sana lema (arusha) lakini vile vile nampenda sana zitto. these two have contrasting but very complementary approaches katika mikakati yao ya kisiasa.
so, if you want to have a strong party, you need both a lema and a certain zitto in your ranks. otherwise chama lako litakuwa one of the most static gang on the planet!
 
Zitto ni mwanasiasa makini sana na nyota yake inaweza kumfikisha mbali sana.

namshauri kupunguza kuongea mambo ya chama bila kufuata tarataibu au kupata muafaka wa chama itampa shida kwa sabau vyama vina makatibu mwenezi. mfano, suala la kusema Regia ndiye alianzisha mchakato wa kwenda kwa Rais wakati kipindi hicho alikuwa anaumwa hadi akaplekwa India pengine kuna jambo lilimpita lakini pia suala la Downs na posho za wabunge amelisemea sana kwa mamlaka.

Bado namkubali Zitto.

NA AKUOE SASA,

MTU ASIE NA MSIMAMO NI KINYONGA ASIYEFAA KAMA ANAMTETEA CHAMI NA TBS IKO SIKU ATASEMA KIKWETE NDIO RAISI BORA NA ANA MAFANIKIO SANA NA NAHISI KASHWAHI KUsEMA HIVI
 
mimi niko gizani kuhusu haya mambo ya zitto katika chadema....

kwa lugha nyepesi (bullet points 2 au 3), hivi zitto amefanya kitu gani kibaya sana hadi kuchukiwa na kutokuaminiwa kwa kiasi hiki na baadhi ya wana-chadema?

mimi sijauona ubaya wake. ku-rub shoulders na akina riz1 na baba riz1??? gimme a break!

mimi binafise nampenda sana lema (arusha) lakini vile vile nampenda sana zitto. these two have contrasting but very complementary approaches katika mikakati yao ya kisiasa.
so, if you want to have a strong party, you need both a lema and a certain zitto in your ranks. otherwise chama lako litakuwa one of the most static gang on the planet!

Katika wote wanaoonyesha chuki kwa Zito,hakuna anayeweza kukueleza wapi alifanya nini, imethibitika wapi, na kwa sababu gani
wanamchukia kwa sababu wanamchukia tu!!

wengi wao, wamejawa na roho ya wivu, kama si wivu ujinga wa kupindukia, au wamejazwa imani ya haraka, iliyokosa u-imara wa kujua ukweli upi na uongo upi! kibaya wengi ni fuata mkumbo!

Just look at them..they want changes....they are hindering changes...what funny!
 
Back
Top Bottom