Mhe joshua nassari na mwenge wa uhuru...... Imekaaje nayo hii.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe joshua nassari na mwenge wa uhuru...... Imekaaje nayo hii.......?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by sinafungu, Sep 17, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  MBUNGE wa Arumeru Mashariki, mkoani Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Joshua Nassari, ameshikilia msimamo wa kupiga marufuku Mwenge wa Uhuru kufika jimboni kwake na kuwataka wananchi kuupuuza akidai hauna tija kwa maendeleo yao.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndo manake hauna tija ni ujinga tupu
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Marufuku? Ina maana atauzuia usiingie au vipi?

  Maneno halisi aliyosema ni yapi?

  Mwenge unaweza usiwe na tija kweli, lakini mie nataka kuijua zaidi hii marufuku imekaaje na itatekelezwaje.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mwenge hauna TIJA isupport Nassari 30000000000000%
   
Loading...