Mhe. Joseph Selasini na CHADEMA kuweni makini na huyu mtu

Mimi pia kutokana na sababu moja au nyingine niliamini Rombo itahitaji mgombea mwingine kusimama na CDM. Lakini tathmini niliyofanya wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo nilipata fursa ya kuwepo jimboni, nikagundua kuwa kama CDM bado wanalihitaji lile jimbo, basi mgombea sahihi ni Selasini.

Sababu kubwa ni kuwa bado Rombo CCM ina nguvu kubwa zaidi ya watu wanavyodhani, ila haina supporters wengi. Watu wa Rombo wapo very flexible na kwa sasa wanaamini CDM Rombo ni Selasini.... yeyote anayempinga anaonekana anatumiwa na CCM regardless yuko chama gani. So pakitibuliwa kidogo akapitishwa mtu mwingine, watu watasambaratika na jimbo litarudi CCM...

mimi kama kiongozi katika uongozi wa wilaya sioni ukweli wowote katika hicho ulichoandika

tangu tuingie madarakani mwaka jana tumefanya kazi kuirejesha chadema kwenye ramani.watu walipoteza imani na mbunge ikaathiri hadi chama halafu leo mnaleta uongo kuwa atakayempinga atakua ccm?

Tuache demokrasia ichukue mkondo wake na fratern masika na huyo kijana Ben Saanane waachwe na kila mtu afuate utaratibu.Hatutasita kukata jina la mtu hata kama ni mbunge
 
Back
Top Bottom