Mhe. Joseph Selasini na CHADEMA kuweni makini na huyu mtu

ingekuwa vizuri kama ungetuambia mpaka sasa Selasini amefanya nini? au walau anatarajia kufanya nini? Mimi tangu nimjue ninaskia miajali yake tuu...mara kavunjika mkono mara kiuno na ajali karibia zoote za kizembe kutokana na mwendo wa kasi na zingeweza kuepukika kama si kupunguza athari kama angehimiza abiria wake kuvaa mkanda! huyu jamaa ni bogus in short!
 
Mtu mwenyewe Geza Ulole sasa takujibu nn
 
Muda mrefu sasa tumekuwa tukishuhudia meneno ya chinichini kuwa Mhe.Joseph Selasini kuwa ameshindwa ku deliver kwa Wananchi kama alivyoahidi,au amekuwa 'upande wa serikali'.

Mimi Kama mwananchi waMahida Rombo ambaye nilitumia nguvu na muda wangu kuhakikisha kuwa CHADEMA tunalinyakua jimbo kwa kishindo naona sasa kuna vitu vinavyoendelea ambavyo ni hatari kwa CHADEMA Rombo na pengine Taifa mwaka 2015.

Kuna kijana mwenzetu anaitwa Edward Kinabo ambaye aliangushwa kwenye kura za maoni ambaye huyu yupo karibu sana na Viongozi wa CHADEMA ngazi za juu na amekuwa akimchongea wazi wazi Mhe. Selasini maneno ya Uzushi na uongo uliopitiliza. Kwa ushahidi wa E.Mails ambazo amekuwa akizituma kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA hasa John Mrema, Basil Lema na Mhe. Freeman Mbowe ni wazi kuwa lengo lake halikuwa zuri wakati akionyesha nia ya kugombea nafasi hiyo ya Ubunge. Badala yake sasa baada ya kukosa amekuwa akitekeleza mbinu zifuatazo;

1. Amekuwa akiwapigia simu Baadhi ya Wananchi wa Rombo (Mimi nikiwa Mmoja wao) akimponda Mhe. Selasini na kuwa eti "Alijua tu".
2. Amekuwa akisambaza E.Mails kwa wanachama wa CHADEMA akimpaka matope Mhe.Selasini (Ushahidi upo Zaidi ya 168mails)
3. Amekuwa akishirikiana na Mtu mmoja anayeitwa Emmanuel ambaye naye alibwagwa kwenye kura za maoni kwa CCM na kupanga njama kadhaa za kumsemea vibaya Mhe. Selasini ndani na nje ya CHADEMA.

Kwa ujumbe huu nawatahadharisha Mhe. Selasini na Viongozi wengine wa CHADEMA kumuangalia kwa jicho la tatu huyu mtu mwenye Tamaa ya Ubunge tangu 2010 hadi sasa ameukosa lakini bado anamchafua kiongozi aliyechaguliwa na wananchi bila sababu ya Msingi.
Rombo haitaongozwa kwa propaganda.Fanyeni kazi acheni kutafuta mchawi....

Aliyefanya kazi hukumu ni 2015
 
Kwa sasa mbunge ni Selasini huyo anaepiga majungu ni saizi yako, mwambie aache tabia ya kiccm, Ushauri wangu kwa Mh Selasini ni kupambana ahakikishe anawaletea maendeleo wananchi wa Rombo na Tanzania kwa ujumla na leo nimemsikia Bungeni akipigania Vitendea kazi hasa mgawo wa Mafuta kwa gari za polisi
 
Hata mimi... Nimemkubali sana
 
Sisi Warombo tunajua Jimbo letu liko wazi! Huyu Selasini hana anacho/alichokifanya zaidi ya kuhudhuria misiba na kutuharibia watoto wetu wa Secondari!

Naamini wewe ni msomi ila weka data mkuu! unamaanisha kwamba wazazi wanajitahidi kujenga shule ili watoto/vijana wasome hafu mheshimiwa anachangia kuwaharibu? naomba uwe wazi kidogo.
 
Ben is a pain in as* for the nincompoops who are scared of effectiveness and accoutability....... Bt at the end peoples power will reign.......
 
Muda mrefu sasa tumekuwa tukishuhudia meneno ya chinichini kuwa Mhe.Joseph Selasini kuwa ameshindwa ku deliver kwa Wananchi kama alivyoahidi,au amekuwa 'upande wa serikali'.

Mimi Kama mwananchi waMahida Rombo ambaye nilitumia nguvu na muda wangu kuhakikisha kuwa CHADEMA tunalinyakua jimbo kwa kishindo naona sasa kuna vitu vinavyoendelea ambavyo ni hatari kwa CHADEMA Rombo na pengine Taifa mwaka 2015.

Kuna kijana mwenzetu anaitwa Edward Kinabo ambaye aliangushwa kwenye kura za maoni ambaye huyu yupo karibu sana na Viongozi wa CHADEMA ngazi za juu na amekuwa akimchongea wazi wazi Mhe. Selasini maneno ya Uzushi na uongo uliopitiliza. Kwa ushahidi wa E.Mails ambazo amekuwa akizituma kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA hasa John Mrema, Basil Lema na Mhe. Freeman Mbowe ni wazi kuwa lengo lake halikuwa zuri wakati akionyesha nia ya kugombea nafasi hiyo ya Ubunge. Badala yake sasa baada ya kukosa amekuwa akitekeleza mbinu zifuatazo;

1. Amekuwa akiwapigia simu Baadhi ya Wananchi wa Rombo (Mimi nikiwa Mmoja wao) akimponda Mhe. Selasini na kuwa eti "Alijua tu".
2. Amekuwa akisambaza E.Mails kwa wanachama wa CHADEMA akimpaka matope Mhe.Selasini (Ushahidi upo Zaidi ya 168mails)
3. Amekuwa akishirikiana na Mtu mmoja anayeitwa Emmanuel ambaye naye alibwagwa kwenye kura za maoni kwa CCM na kupanga njama kadhaa za kumsemea vibaya Mhe. Selasini ndani na nje ya CHADEMA.

Kwa ujumbe huu nawatahadharisha Mhe. Selasini na Viongozi wengine wa CHADEMA kumuangalia kwa jicho la tatu huyu mtu mwenye Tamaa ya Ubunge tangu 2010 hadi sasa ameukosa lakini bado anamchafua kiongozi aliyechaguliwa na wananchi bila sababu ya Msingi.

Huyu Selasini wako si ndio alijitia kuungana na Shibuda kwa kuunga mkono posho za Wabunge? Sidhani kama tunahitaji hata maelezo ya Kinabo kujua kama Selasini anakigeuka chama!
Kukataa posho ulikuwa ni msimamo wa chama, na kambi rasmi ya upinzani, hivyo anayepinga anakigeuka chama na kambi rasmi ya upinzani! Kama kakutuma mwambie filamu yake hiyo hatujaielewa, hivyo arudi tena studio akashuti tena!
 
naanza kwa nukuu yako. "2015 selasini out"
is out on your mind but still he's our mp until 2030.
Hayo unayolalamikia ni tatizo la halmashauri zote! Wangapi wamekuwa wakali lakini watu hawasikii? Kwanza halmashauri ina watu wa ccm. Ni kwa namna gani wanaweza kumsikiliza mhe. Na kutekeleza amri yake wakati wanataka aharibu ili hiyo 2015 magamba washinde? Kama hufikirii vizuri vile...
nilifuatilia kwa makini kampeni za chadema arumeru; walisema nasari achaguliwe ili awe paka apambane na panya wanaotafuna pesa huko halmashauri. Kama nasari kweli anaweza kuwa paka, iweje mhe. Selasini ashindwe? Tuache kudanganyana, 2015 30 out! Anawabembeleza ccm badala ya kukomaa kikamanda!!, ccm ukijifanya unawanyenyekea ujue umeumia. Time will tel.
 
Mtu mwenyewe Geza Ulole sasa takujibu nn
Sasa nikiwa Geza Ulole siwezi kuchangia?

Rombo inahitaji Mbunge mwenye kujua anafanya nini ambaye anajua pia wajibu wake pia katika maisha yake ya kila siku kama kiongozi! Si kila siku maajali ya kizembe yanayompotezea hata wazazi wake!

Sasa huo mda wa kufikiri maendeleo ya Rombo utatoka wapi? Huyu jamaa hakustaili kuwa Mbunge huo ndo ukweli! BTW unatumia tutakujibu na nani?
 
ingekuwa vizuri kama ungetuambia mpaka sasa Selasini amefanya nini? au walau anatarajia kufanya nini? Mimi tangu nimjue ninaskia miajali yake tuu...mara kavunjika mkono mara kiuno na ajali karibia zoote za kizembe kutokana na mwendo wa kasi na zingeweza kuepukika kama si kupunguza athari kama angehimiza abiria wake kuvaa mkanda! huyu jamaa ni bogus in short!
anawasiwasi mana anajua utendaji wake ni mbovu na 2015 harudi mjengoni hata atambikie
 
Sasa nikiwa Geza Ulole siwezi kuchangia?

Rombo inajitaji Mbunge mwenye kujua anafanya nini ambaye anajua pia wajibu wake pia katika maisha yake ya kila siku kama kiongozi! Si kila siku maajali ya kizembe yanayompotezea hata wazazi wake!

Sasa huo mda wa kufikiri maendeleo ya Rombo utatoka wapi? Huyu jamaa hakustaili kuwa Mbunge huo ndo ukweli!

Nakuombea Mungu ili katika maisha yako usipate ajali ambayo baadaye wasiokupenda wataiita "Maajali ya kizembe" kama uliyoita ajali ya Mhe.Selasini.
Pili nakuapia kuwa Kinabo hawezi kupata huruma ya WanaRombo kwa kumtusi/kumchafua Mhe.Selasini.
Tatu huku WanaRombo ambao tupo huku hata 100 hatufiki (kama unatafuta kura)
Nne ninavyojua Kinabo ni Kiongozi wa Bavicha na anatafuta uchochoro wa kupenya kwenye mioyo ya Viongozi wakuu wa chama kwa kumchafua Mhe.Selasini.
Mwisho Kinabo anakaa Dar sisi tulio huku Rombo ndio tunaojua maendeleo ya hatua kwa hatua ya Wilaya yetu. Tena tunashangazwa sana na anavyotokwa mapovu midomoni kwa ajili ya Ubunge! Huo ni Uroho wa madaraka na WanaRombo wameshamshtukia.
 
Naamini wewe ni msomi ila weka data mkuu! unamaanisha kwamba wazazi wanajitahidi kujenga shule ili watoto/vijana wasome hafu mheshimiwa anachangia kuwaharibu? naomba uwe wazi kidogo.

Watu wanaonyesha wazi wazi kuwa wanapiga Porojo ili tu siku ziende wanasahau "No evidence,No right to write"
 
Selasini ni mtu mnafki ndani ya chama na amekuwa akitetea posho waz waz nani asiemjua hata ukimsafisha na jiki asafishiki tena ni mchumia tumbo nambari one na si mpambanaji wa kweli hana tofauti na kaka yake lamwai
Kuweni macho na Selasini. Ni kweli Selasini si mtu wa kuaminika. Yeye na Shibuda na kitu kimoja. Tusipoteze muda kumjadili Selasini. Tusonge mbele na M4C na tuachane na Selasini hadi 2015 tutakapochambua pumba na mchele.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom