Mhe Jokate Mwegelo Mkuu wa Wilaya pekee anayejua kutumia mitandao ya kijamii kwa ufanisi na mafanikio makubwa

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DnnJw47W0AABw8g.jpg
 
Kutumia kwake mitandao ya kijamii kunasaidiaje wale wazaramo waachane na mila za unyago ambazo ni kichocheo cha ndoa za utotoni na magonjwa ya zinaa
 
Kutumia kwake mitandao ya kijamii kunasaidiaje wale wazaramo waachane na mila za unyago ambazo ni kichocheo cha ndoa za utotoni na magonjwa ya zinaa
Mila za unyago hawezi kuziingilia ila anajitahidi kuhakikisha wanajua umuhimu wa elimu na pia athari za ndoa za mapema ndiyo mambo ya msingi then hizo mila za unyago zitajirekebisha ndani kwa ndani bila yeye kuziingilia ...lazima uheshimu mila za watu.
 
Madam anapiga kazi sana,tunaona matokeo yake.

Kuna wenzake waliteuliwa pamoja,mmoja yupo kule kaskazini kila nikimsikia yupo anafoka au amekwaruzana na wenzake.!!!
Mhe Jokate anatumia sana Diplomasia katika kufanya kazi na wengi watumishi wilayani kisarawe wanamheshimu sana na kumpenda kwa jinsi anavyotumia busara zaidi kiutendaji na hasa shirikishi system
 
Mhe Jokate anatumia sana Diplomasia katika kufanya kazi na wengi watumishi wilayani kisarawe wanamheshimu sana na kumpenda kwa jinsi anavyotumia busara zaidi kiutendaji na hasa shirikishi system
Atakuwa anaelewa vizuri maana ya kuwa kiongozi na sio mtawala.
 
Back
Top Bottom