Mhe.HAWA A. GHASIA AANZA NA MGUU WA KUSHOTO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe.HAWA A. GHASIA AANZA NA MGUU WA KUSHOTO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maseto, May 18, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Si lahisi kuamini,lakini ndivyo ilivyo nchi hii. Na hapa Halmashauri ya wilaya Musoma imetokea. Mkurugenzi wa halmashauri hii, Bwana Karaine K.Kunei,amefanya madudu ya kufa mtu kwenye utekelezaji wa miradi ya mamia ya mamilioni.Lakini,pamoja na chunguzi mbalimbali kubaini ubadhilifu huo,amehamishiwa Halmashauri ya Ngorongoro akaendelee kutafuna.Imethibitika kuwa kuna maafisa pale Tamisem wanamlinda fisadi huyu.Kwa wakurugenzi wa halmashauri ktk mkoa huu wa Mara,KUNEI Ndiye aliyelalamikiwa zaidi.Mhe. Mwanri anapofoka hadi anatoa mapovu kule Korogwe ni kazi bure kwani kuna watu wanawazunguka mawaziri hawa kwani amehamishwa baada ya Hawa Ghasia kuapishwa.
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  mi naonaga huyu mwanamama anaabebwa tu
  hana kiwango cha kuwa waziri
  wangempa hata ukatibu kata
  by the way kwami weye mgeni hapa njini?
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Ipo siku kila mtu atatoa mahesabu yake kwa watanzania. Ninachoshindwa kuelewa ni kwanini watu wasio na uwezo wanapewa madaraka? Hivi tunafikiria kule Mali na Niger imetokea bahati mbaya?
   
Loading...