Mhe. Godbless Lema: Kahamasisha Umati mkubwa uliokuwamo kwenye Feri ya kivuko cha Busisi-Kigongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Godbless Lema: Kahamasisha Umati mkubwa uliokuwamo kwenye Feri ya kivuko cha Busisi-Kigongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwitaz, Apr 21, 2012.

 1. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wahenga hawakukosea kusema mtaka cha mvunguni sharti ainame. Hili limethibitishwa na Mhe. Godbless Lema katika feri iitwayo 'Misungwi' iliokuwa ikivusha abiria kutoka Busisi-Kigonga alihamasisha umati mkubwa uliomo kwenye feri tajwa hapo juu katika juhudi yake pamoja na Dr. Slaa kuimarisha chama cha CHADEMA katika ukanda wa ziwa

  Habari kamili, nikiwa njiani kutoka Mkoa wa Geita ambako nilienda kikazi; narudi Mkoani Mwanza niishipo..
  Gari nililomo linafika katika kivuko tajwa hapo juu; Godbless Lema anakuja akiwa na makamanda kadhaa katika gari la aina ya Gx Landcruiser; bila kusita au kuogopa giza lililokuwamo kwenye feri katika majira ya 1:35 usiku; aliteremka huku akioneka ana furaha aidha kwa kuwa mziki wa Msanii Roma ulivyokuwa unapigwa ama alijua ana kazi nzuri ya kuwaelimisha, kuwahamasisha na kuwapa motisha abiria.

  Kwa kuwa mimi ni Kamanda wa ukweli; namsogelea na kumsalimu kwa mkono; nikiwa nimezubaa abiria wengi sana walimzunguka ndipo akaanza kuendeleza 'M4C' kama kawaida ya chadema hakulemba, alisema,
  1. Itakuaje Jimbo la Sengerema limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria lakini wana nchi wa Sengerema hawana Maji ilhali Israel ni jangwa lakini wana maji ya kutosha ambayo wanayatumia katika kilimo hadi wanaongoza katika kuvuna matunda mazuri ilhali wanavuta maji kutoka mto Nile ambao chanzo chake ni Ziwa Victoria?'
  2. Amewaomba watu wa Ukanda wa ziwa kujitolea kwa hali na mali kuhamasisha akina Mama, akina Baba na vijana katika juhudi ya kuimarisha chama cha chadema vijijini na mjini.
  3. Ameongea mambo mengi ambayo ni ya msingi na chachu za kuinua uchumi wa Taifa ambazo CCM wameshindwa kutekeleza.

  ...Tunafika ng'ambo ya pili anatuaga; anapanda gari kuelekea Mwanza nakutuacha tumejengeka sana...

  Source: Wankuru Stephen Mwita aka mwitaz
   
 2. LOTIMA

  LOTIMA Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  good job.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  M4C FOREVER, mi mwenzenu kila nkimuona mtu amevaa nguo za magamba nut mbili zinalegea kichwani,yaani sa ivi nina hasira na magamba yaani hadi yaaani,yaaani,yaani, duh, NAMSUBIRI PINDA J3
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Arusha tulishatangulia muda mrefu,karibuni Chadema hakikisheni mnaongozwa na fikra angavu na msidanganyike na t'shirt/kofia/leso na vingine vingi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Namkubali sana prophet lema.
  Solidarity forever..\/
   
 6. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Maana hasa ya m4c ni kumwaga sumu kila ipatikanapo nafasi, hakuna kuremba wala kupoteza muda.
   
 8. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lema kweli mtume....maana popote penye wawili yeye anamwaga NENO la UKOMBOZI wa nchi....aiseeeee nimeipenda strategy yake....kwa mtindo huu magamba hawaponi hata kidogo...
   
 9. c

  chachu Senior Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ningependa kumkumbusha Lema sio israel ni misri, ila natambua kibible waisrael ndio walikuwa misri miaka hiyo kama watumwa.
   
 10. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Good, efforts shown.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ciril Chami, Maghembe, Mkuchika, Nyalandu wote majimbo yao kwa CHADEMA 2015
   
 12. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli lema ni mkombozi wakweli
   
 13. H

  Henry Philip Senior Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa imezoeleka mtu akishakufa ndio watu husema, na tumkumbuke kwa kuyaenzi yale aliyokuwa akiyatenda, napingana na usemi huu. Wapo wapiganaji wa maana nchi hii, naomba ma great thinker woote, tuwaenzi hawa makamanda wakati bado wapo hai, na vizuri zaidi tupo nao. Hii ndio heshima ya kweli, na sio ya kumuenzi mtu mfu.

  Tujenge tabia ya kuwaenzi wale woote wanaopigania haki zetu watanzania bila kuangalia itikadi yoyote.

  Naunga mkono hoja
   
 14. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  kwani nani amekuambia Israel haivuti maji ya Nile? unajua chemchem ya chini ya ardhi wewe ikoje?
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu Godbless Lema ndio muuaji halisi wa chama cha mapinduzi, anamvuto wa kisiasa then anaushawishi mkubwa sanaaa!
   
 16. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba niwamegee siri hii,
  Baada ya kustaafu kwa Yusuf Makamba ambae alifanya kazi nzuri ya kuiimarisha chadema akiwa ndani ya ccm akimtumia Tambwe Hiza bila kujijua,
  Sasa mamluki aliebaki Ccm ni JK ambaye anaonekana kuitekeleza vyema kazi ilioachwa wazi na Makamba,
  Mwacheni aendelee kuwalinda wezi hao na mkakazi wa kuiua ccm ambao wengi hawaujui,
  Hadi wenye ccm yao wakishtuka jk atakuwa amekamilisha mpango wake,
  Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
  Poweeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 17. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2015
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utabiri wako unatimia.
   
 18. m

  makasanga Senior Member

  #18
  Jul 31, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jk ni atakumbukwa vichwani mwa waanzania milele kwa kujenga democrasia kuliko ata uwanja wa mpira wa taifa uliojengwa na kina benja
   
 19. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2015
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,059
  Likes Received: 80,477
  Trophy Points: 280
  Hakuijenga bali haya yanayotokea sasa yamepaswa kutokea amesoma alama za nyakati na amejua wakati sio rafiki tena kwa utawala wa chama chake.....
  Huwezi kushindana na wakati...huwezi kuzuia mabadiliko wakati unapotimia, itakula kwako
   
 20. Kaisari

  Kaisari JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2015
  Joined: Nov 13, 2012
  Messages: 2,179
  Likes Received: 956
  Trophy Points: 280
  Hakuwa na jinsi nyingine. Kama asingefanya hayo 'nature' ingemhukumu,sii yeye kafanya ni muda na mazingira. Watanzania wa sasa hata angekuwepo Nyerere (R.I.P) angeomba PO.
   
Loading...