ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,407
- 3,799
Upoliccm unafanya unyama kwa faida ya chadema,Yaani wewe Mbowe ni kama mlevi wa unga ambaye akishabwiya anaiona dola hii hapa mkononi.Kawadanganye watoto wa vidudu kwamba waliopo madarakani wana hofu ya kupoteza dola maana hata ukiwaeleza wa shule ya msingi watakuzomea tu
Madedi mnawagombania, nec mnawagombania hivi hizo nguvu nyingi mnazotumia ili mubakie madarakani hujui kwamba ni hofu ya kutotaka kutoka madarakani hatakama mmeshindwa?