Mhe. Freeman Mbowe amesahau maneno yake haya ya mwaka 2010.

mwemanga

Senior Member
Oct 22, 2012
120
31
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. '''MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE, WENYE SELA ZILE ZILE, WAKIENDELEZA YALE YALE, ETI KWA ARI ZAIDI NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI KWA FALSAFA YA CHUKUA CHAKO MAPEMA YAANI CCM. KWA TANZANIA YENYE NEEMA HAIWEZEKANI''. mwisho wa kunukuu. Sasa ukimsikia Mbowe huyo huyo mwaka huu amemsifia rais Kikwete kuwa haja pata kuona raisi mzuri kama Kikwete kwa maendeleo ya serikali yake hapa Mbowe amesahau alicho wahi kusema. Namuomba awe ana kumbuka anaya yaongea ili kujua anayo simamia.

chanzo cha habari ni ILANI YA CHADEMA KTK UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010.
 
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE, WENYE SELA ZILE ZILE, WAKIENDELEZA YALE YALE, ETI KWA ARI ZAIDI NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI KWA FALSAFA YA CHUKUA CHAKO MAPEMA YAANI CCM. KWA TANZANIA YENYE NEEMA HAIWEZEKANI. mwisho wa kunukuu. sasa ukimsikia mbowe huyo huyo mwaka huu amemsifia raisi kikwete kuwa haja pata kuona raisi mzuri kama kikwete kwa maendeleo ya serikali yake hapa mbowe amesahau alicho wahi kusema. namuomba awe ana kumbuka anaya yaongea ili kujua anayo simamia. chanzo cha habari ni ILANI YA CHADEMA KTK UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010.
Naona tokea juzi mnahangaika sana na Mbowe mmelipwa shilingi ngapi na ID TATU TATU?
 
Punguza unafiki, akisema hajapata kuona wewe mwenye uelewa mdogo unafikiri nini??????????? je haiwezi kuwa hajapata kuona raisi
  1. Anayeongoza kwa kusafiri nje ya nchi kuliko raisi yeyote kwa kipindi cha miaka 7?
  2. Anayepata misaada ya vyandarua na zile za kusaidia mambo ya temeke ya kugandiana wakati wazungu wanaondoka na dhahabu zetu?
  3. Anayeruhusu twiga wakapanda ndege na kwenda ulaya
  4. Anayetumia polisi kuhakikisha chama chake kinaendelea kuwa madarakati
  5. Anayeruhusu vijana wake kuwa mafisadi angali wadogo na kwa kuiba mali za umma
  6. wa kaulimbiu za kila aina kila kukicha
  7. anayeogopa kivuli chake
  8. aliyefeli mapema na kupoteza mvuto wake wa ushindi wa kimbunga:majani7::majani7:mambo yako ya hoja nyepesi nyepesi uwe unapata ushauri hata kwa house girl kwanza
 
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE, WENYE SELA ZILE ZILE, WAKIENDELEZA YALE YALE, ETI KWA ARI ZAIDI NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI KWA FALSAFA YA CHUKUA CHAKO MAPEMA YAANI CCM. KWA TANZANIA YENYE NEEMA HAIWEZEKANI. mwisho wa kunukuu. sasa ukimsikia mbowe huyo huyo mwaka huu amemsifia raisi kikwete kuwa haja pata kuona raisi mzuri kama kikwete kwa maendeleo ya serikali yake hapa mbowe amesahau alicho wahi kusema. namuomba awe ana kumbuka anaya yaongea ili kujua anayo simamia. chanzo cha habari ni ILANI YA CHADEMA KTK UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010.

Ishakuwa nongwa sasa, maana alianza MAGUFULI....

Kwanza hapo kwenye BOLD RED sijaelewa, kwani ulikuw aunmaanishan nini vile
 
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE, WENYE SELA ZILE ZILE, WAKIENDELEZA YALE YALE, ETI KWA ARI ZAIDI NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI KWA FALSAFA YA CHUKUA CHAKO MAPEMA YAANI CCM. KWA TANZANIA YENYE NEEMA HAIWEZEKANI. mwisho wa kunukuu. sasa ukimsikia mbowe huyo huyo mwaka huu amemsifia raisi kikwete kuwa haja pata kuona raisi mzuri kama kikwete kwa maendeleo ya serikali yake hapa mbowe amesahau alicho wahi kusema. namuomba awe ana kumbuka anaya yaongea ili kujua anayo simamia. chanzo cha habari ni ILANI YA CHADEMA KTK UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010.

Wewe unaelekea hujui kitu kinaitwa mind games..........kwa akili yako kabisa unadhani JK nastahili pongezi? Na unaamini kabisa Mbowe kasema toka rohoni mwake?
 
hata mimi nampa rais wangu huyu JK sifa kubwa tu, sijapata kuona rais mvivu kama JK,
... yaani nakiri sijapata kuona rais anayedanganywa na watendaji wake kama huyu, haijapata kutokea rais kama JK hapa Tanzania, hata Nyerere (R.I.P) anamsifia huko aliko, rais anayependa sifa za kijinga
............. ngastuka....
 
Kwani maneno ya Mbowe ni msahafu anayoyasema yabaki vilevile? Hizi ni siasa tu uongo mtupu.
 
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE, WENYE SELA ZILE ZILE, WAKIENDELEZA YALE YALE, ETI KWA ARI ZAIDI NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI KWA FALSAFA YA CHUKUA CHAKO MAPEMA YAANI CCM. KWA TANZANIA YENYE NEEMA HAIWEZEKANI. mwisho wa kunukuu. sasa ukimsikia mbowe huyo huyo mwaka huu amemsifia raisi kikwete kuwa haja pata kuona raisi mzuri kama kikwete kwa maendeleo ya serikali yake hapa mbowe amesahau alicho wahi kusema. namuomba awe ana kumbuka anaya yaongea ili kujua anayo simamia. chanzo cha habari ni ILANI YA CHADEMA KTK UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010.

Mwanasiasa kama huyo ni hatari sana.
 
Wewe unaelekea hujui kitu kinaitwa mind games..........kwa akili yako kabisa unadhani JK nastahili pongezi? Na unaamini kabisa Mbowe kasema toka rohoni mwake?

Kwaiyo mbowe ni mnafiki au?!nawewe ulijuaje hayo maneno hayakutoka rohoni kwake!?
 
namimi nampongeza serikalini mashemeji kibao Ridhiwani mfanya biashara na fisadi. akikuolea binti yako hata kama kilaza UTAKUWA WAZIRI WA FEDHA.NI RAISI OMBAOMBA WA SUTI ZA WAARABU.
 
Una tatizo si bure!
Tatizo lenu mnapenda kusikiliza kauli na kuchagua maneno mnayo yataka!

Back
Top Bottom