ukiona vinaelea ujue vineundwa! Ungeonekana wa busara hata ukesema tu naike, kwa sababu jiwe haliwezi kuzogea lenyewe mpk kuwe na external force.Habari ya mjini ni kupatikana kwa MO
ukiona vinaelea ujue vineundwa! Ungeonekana wa busara hata ukesema tu naike, kwa sababu jiwe haliwezi kuzogea lenyewe mpk kuwe na external force.Habari ya mjini ni kupatikana kwa MO
Sumaye hajui uongozi tayari ameshadhibitisha hilo acheni utoto kama Bashite.Huo ndio mfano w kiongozi wa Ukweli. Nenda Israel utaelewa, Netanyahu kesha kuwa Waziri mkuu, akarudi kuwa waziri wa kawaida na nyazifa zingine kisha karudi kuwa waziri Mkuu.
Kubuka marehemu mzee Kawawa Kesha kuwa Waziri mkuu mwenye mamlaka ya kuongoza nchi kabisa 1962, akawa Waziri mkuu mtendaji tuu, waziri wa kawaida hadi kuwa waziri asiye na wizara maalum kisha makamu mwenyekiti wa chama tawala. Vyeo ni utumishi tuu. Usije shangaa siku moja Jiwe baada ya kutoka madarakani akawa Nyapala mkuu gereza la Ukonga.
Sema tandale fc au mburahati fc bwanaYaani ningekuwa Mimi ningenyuti tu nakaa na wajukuu, hii ni Sawa na samatta aje kustaafu mpira halafu asajiriwe ndanda fc
Hajui uongozi? Unaelewa ndio Mtanzania pekee kesha kuwa Waziri mkuu kwa kipindi kirefu kuliko wote?Sumaye hajui uongozi tayari ameshadhibitisha hilo acheni utoto kama Bashite.
Kumbe vikao vya ndani vinaruhusiwa du
Naelewa vizuri sana na Waziri Mkuu mbovu kuliko wote.Hajui uongozi? Unaelewa ndio Mtanzania pekee kesha kuwa Waziri mkuu kwa kipindi kirefu kuliko wote?
Mtu na mumewe hapoMbona halima kakaa karibu sana na Esta?
Kwa uzwazwa huu JPM ana kazi sana kitupeleka nchi ya viwandaMbona halima kakaa karibu sana na Esta?
Basi hata Rais aliyekubali awe WM miaka kumi naye atakuwa mbovu kuliko wote, Chama kilichokuwa madarakani kitakuwa cha hovyo what else!Naelewa vizuri sana na Waziri Mkuu mbovu kuliko wote.
saa ya ukombozi ni sasaMaskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Mungu ibariki Chadema .
Wana laana ya taifa hawa jamaaMungu ibariki Chadema .
usiumie sana mjomba , ndio kwanza mambo yanaanza .CHADOMO bhana!
wanawaza ni nani atakayeanza kujiteka mwenyeweMbona wana sura za huzuni hivyo?
Duh.wanawaza ni nani atakayeanza kujiteka mwenyewe