Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ni sawa na Niyonzima au Tambwe kuja kusajiliwa kucheza ndondo cupKutoka waziri Mkuu na kugombea uenyekiti wa mchangani!!
Kazi kweli kweli
Kwani kikao kinaanzia watu wangapi?Hicho nacho waita kikao??
labda ungesema afanya "kikao cha kahawa"
hapo ungeeleweka.
Jaji Warioba ni mwenyekiti wa mtaa pale Msasani.Kutoka waziri Mkuu na kugombea uenyekiti wa mchangani!!
Kazi kweli kweli
Kikao hata watu 2 ni sawa.Kwani kikao kinaanzia watu wangapi?
Duuu...kwahiyo kesi za kuku ana shughulika nazo sana kila siku.Jaji Warioba ni mwenyekiti wa mtaa pale Msasani.
Kutoka waziri Mkuu na kugombea uenyekiti wa mchangani!!
Kazi kweli kweli
Safi sana.Waelimishe kuhusu ujengaji wa hoja na utayarishaji wa hotuba za mawaziri vivuli.Wajenge utamaduni wa kubadili mbinu kila wakati kwani tumeona hotuba mbili zimekataliwa kusomwa na hili si jambo jema.Leo tarehe 12/05/2017 Uongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kanda hiyo Kamanda Fredrick T. Sumaye wamefanya kikao na waheshimiwa wabunge wa Kanda hiyo kwenye Ofisi ya KUB Mjini Dodoma.
Labda kama 2015 hakugombea lakini kabla ya hapo alikuwa M/kiti.Duuu...kwahiyo kesi za kuku ana shughulika nazo sana kila siku.
Ni moja ya kivutio cha usanii wa kisiasa.Kutoka waziri Mkuu na kugombea uenyekiti wa mchangani!!
Kazi kweli kweli
Wapo watu walikuwa makatibu wakuu lakini ni madiwani, hakuna ajabu hapo.Kwani uaziri mkuu aligombea?
Sasa povu la nini Lumumba
Povu la UFIPASasa povu la nini Lumumba