Mhe. Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo kuhusu Mwenendo wa CUF

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad amefanya mazungumzo na waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa jijini Dar es salaam jioni hii.

Mazungumzo yao yalijikita katika hali inavyoendelea ndani ya chama cha CUF
 
Attachments

  • IMG-20161208-WA0088.jpg
    IMG-20161208-WA0088.jpg
    35 KB · Views: 86
  • IMG-20161208-WA0087.jpg
    IMG-20161208-WA0087.jpg
    38 KB · Views: 67
Mkuu unaonekana wewe ni mtoa taarifa za ukawa/chadema.
Lakini haupo makini na taarifa zako.

Taarifa kama hizi kwa GT zinakera sana.
UKAWA mlipata kuaminiwa sana na wananchi lkn ni ninyi wenyewe mlishindwa kutumia nafasi hiyo.

Sasa unatupa vibwagizo vya kila siku kuwa Lowassa na Seif wamekutana utafikiri kuna jambo la maana sana.

Msipende kuwapa wafuasi wenu matumaini Hewa.

Hivi kwanini Chadema Hamjifunzi???????????
 
Hayo yalikuwa matayarisho ya CUF visiwani kujiunga na Chadema. Hapo ilikuwa ni mazungumzo ya mgawanyo wa vyeo na negotiation ya kiasi gani Maalim atapewa.

LAIGWAN anajua faida ya kuwa na a strong representation visiwani, shahada aliyoipata mafunzoni CCM anayatumia vizuri sana.
 
Hao ni wapiganiaji haswa wa Demokrasia ya Nchi hii.

Mungu aendelee kuwalinda.

CCM nyie endeleeni kumkumbatia yule Profesa uchwara.
 
Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad amefanya mazungumzo na waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu ya chadema Edward Lowassa jijini dsm jioni hii.Mazungumzo yao yalijikita katika hali inavyoendelea ndani ya Cuf
Hapo kuna kugeukana kwa kubadili gia angani.
Mazungumzo nyeti kama hayo mwenyekiti wa chadema asiwepo???
 
Mkuu unaonekana wewe ni mtoa taarifa za ukawa/chadema.
Lakini haupo makini na taarifa zako.

Taarifa kama hizi kwa GT zinakera sana.
UKAWA mlipata kuaminiwa sana na wananchi lkn ni ninyi wenyewe mlishindwa kutumia nafasi hiyo.

Sasa unatupa vibwagizo vya kila siku kuwa Lowassa na Seif wamekutana utafikiri kuna jambo la maana sana.

Msipende kuwapa wafuasi wenu matumaini Hewa.

Hivi kwanini Chadema Hamjifunzi???????????
Kujifunza kitu gani ww jamii ya sotoka
 
Nyoka wa bujora makumbusho
Hao hawana madhara hata kidogo
Wakae wapumzike wapishe damu
Changa wameshazeeka sana wabaki tu kuwa washauri
 
Hapo kuna kugeukana kwa kubadili gia angani.
Mazungumzo nyeti kama hayo mwenyekiti wa chadema asiwepo???
Umeambiwa hali ya kisiasa ya CUF halafu wewe unamtaja Mbowe kwani Mbowe ni mwenyekiti wa CUF?

Hivi ujinga utawatoka lini binadamu wengine?
 
Mkuu unaonekana wewe ni mtoa taarifa za ukawa/chadema.
Lakini haupo makini na taarifa zako.

Taarifa kama hizi kwa GT zinakera sana.
UKAWA mlipata kuaminiwa sana na wananchi lkn ni ninyi wenyewe mlishindwa kutumia nafasi hiyo.

Sasa unatupa vibwagizo vya kila siku kuwa Lowassa na Seif wamekutana utafikiri kuna jambo la maana sana.

Msipende kuwapa wafuasi wenu matumaini Hewa.

Hivi kwanini Chadema Hamjifunzi???????????

We ulitakaje kwa mfano.
 
Labda macho yangu tu, lakini ukiikuza picha ya kwanza utaona glass ya soda na chupa ya pombe kali mezani kwa Lowasa.
 
Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad amefanya mazungumzo na waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa jijini Dar es salaam jioni hii.

Mazungumzo yao yalijikita katika hali inavyoendelea ndani ya chama cha CUF
Je hayo ndio maandalizi ya Sharif. Kuhama chama nini kiongozi. Hebu dadavua kidogo
 
Nani ni mwenezi wa habari huko Chadema? Mara Makene. Mara Saanane. Mara Mwanahabari Huru. Mara Mrema. Mara Yericko. Who is who? Mpaka inachanganya. Nani anashughulika na uenezi wa taarifa za chama kama hizi? Wewe mkuu una cheo gani huko CHADEMA?
 
Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad amefanya mazungumzo na waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa jijini Dar es salaam jioni hii.

Mazungumzo yao yalijikita katika hali inavyoendelea ndani ya chama cha CUF
Hapo kwenye neno Mwenendo wa CUF do you mean Lowasa anaimiliki CUF kwahiyo anamhoji katibu juu ya mwenendo wa chama chake? Kweli Prof anahaki ya kuchachamaa. Kumbe Edo alinunua vyama viwili.
 
Back
Top Bottom