Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa na mke wake Mama Regina Lowassa leo wameungana na wakristo katika wilaya ya Handeni mkoani Tanga kuadhimisha sikukuu ya Krismas inayosherekewa na wakristo ulimwenguni kote. Ibada hiyo imefanyika katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Usharika wa Handeni mjini.