Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein tunakupongeza kwa uamuzi na hatua ulizozichukua

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
240
500
Tunakushukuru sana Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein.

Hakika kwa Hekima, Busara, Maarifa na Uweledi mkubwa mno, chini ya Uongozi wako umedhibiti hifadhi ya mazingira kwa kuendelea kuisimamia vizuri SERA na SHERIA ya mazingira pamoja na kuwashirikisha wana jamii katika utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwenye maeneo yao.

Hakika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, imetekeleza kwa kiwango kikubwa kwenye Mazingira na Mabadiliko ya Mwanadamu Dhidi ya Tabia ya Nchi na inaendele kufanya tathmini ya athari za kimazingira, kufanya ukaguzi na ufuatiliaji katika maeneo mbali mbali nchini.

PONGEZI ZA DHATI ZIENDE KWAKO RAISI WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA UAMUZI NA HATUA ULIZOZICHUKUA.


#UliahidiNaUnatekeleza
#MyPresidentIsTheBest
#DrAliMohamedShein
#Zanzibar
#UkaguziWaUtekelezajiUnaendelea


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom