Mhe. Aggrey Mwanri, Mkuu wa Mkoa aliyeanza vizuri 2019

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
340
500
Mhe. Aggrey Mwanri amejipatia umaarufu kwa kuwa na maneno na misemo mbalimbali hali ambayo imepelekea hata kutungwa nyimbo kwa kutumia maneno yake. Katika udhibiti wa ''UPIGAJI'', Mwanri anaonekana kuwa na umakini zaidi.Ona hapa:

Nadhani ni Mkuu wa Mkoa aliyeanza vizuri kwa mwaka 2019. Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
 

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
2,970
2,000
Injinia Bwiree shika kule eee

Unasema 175 bars wakati 125 acha mikorogo
 
Top Bottom