Mhe. Aggrey Mwanri anastahili kuwa Waziri Kamili TAMISEMI

usirudie tena kusema,mwenzio jumapili tulikuwa nae kanisani mbele ya Askofu shao mh. Mwanri alikimbizwa na joka kubwa kutoka kanisani mbele ya waumini,
Jamaa ni jembe kweli ila magambani uchawi umekithiri hasa nyota yako ikiwa inawa mbele ya umma,jamaa anafunika baraza zima la mheshimiwa anastahili zaidi kumpiga jeki mkuu kama atapewa uwaziri mkuu.
Ndipo akaanza kukemea 'ushindwe kwa jina ra yesu wa maria'
This kind of clowns is the exact opposite of what we want as a country, mtu kaa huyu anaeamini ktk mazingaombwe na uchawi haezi kuisaidia jamii kujikomboa kwa kutumia sayansi na teknolojia.
 
Back
Top Bottom