Mhcango wako najua tupo wengi

de fcb1 fan

Member
May 20, 2013
14
2
Jamani matatizo tumeumbiwa wanadamu sio wanyama mimwenzenu nimejitahidi sana kuacha kujiponoa mwenyewe(nyeto) lakini nimeshindwa.......kama kuna fawa au njia mbadala plzzzzz tuchangiane mawazo ..........ba ndugu
 
kabla hatujakusaidia naomba ujibu maswali haya:
1. inatokea ukiwa wapi? (chumbani, bafuni, popote ukiwa peke yako etc)
2. Kwanini unataka kuacha? (imani yako, unaogopa side effects, you just feel guilty? unaogopa wasije kukuona one day? ect)
3. what are your hobies?
 
Mheshimiwa nina wasiwasi kama wakati unaandika uzi huu kama ulikuwa hujiponoi, maana kuanzia Title mpaka hapo kwenye red color majanga...
 
Kinachokusumbua wewe hauko siriasi hata uandishi unaponoa tu
 
kabla hatujakusaidia naomba ujibu maswali haya:
1. inatokea ukiwa wapi? (chumbani, bafuni, popote ukiwa peke yako etc)
2. Kwanini unataka kuacha? (imani yako, unaogopa side effects, you just feel guilty? unaogopa wasije kukuona one day? ect)
3. what are your hobies?

^^
haaaaaaaaaaa Una maswali mengi kwani we ni polisi?
Take it easy Mwali am in love with ur quetions!!
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
haaaaaaaaaaa Una maswali mengi kwani we ni polisi?
Take it easy Mwali am in love with ur quetions!!
^^
unajua anaweza kua very happy na anacho kifanya ila leo kafumaniwa ndio maana anataka aache.
au maybe alikua kwao na alikua anajichua sana, sasa kahamia kwake, anaogopa ataongeza speed
au tena anafanya sababu anaishi peke yake, hafanyi sport, hana marafiki, hana girl friend etc.
Sasa akisha tupa mazingira halisi ya maisha yake, na mazingira ya matukio haya ndio tutajua cha kusema
 
Mheshimiwa nina wasiwasi kama wakati unaandika uzi huu kama ulikuwa hujiponoi, maana kuanzia Title mpaka hapo kwenye red color majanga...

jina lake tu mie hoi.......,sijui ndio majanga ya kujiponoa

:focus: hii ni dawa nimeikuta sehem

PILIPILI.jpg

Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa )

MATUMIZI

Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).

Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.

Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.
 
kuna mmoja nilitaka kukabaka tupo hotel kila saa kinaenda bafuni.
Haisimami ikisimama imetepetaaaaa!!!
Kumbe kinajichua bafuni nikakaapa kibuti.
Kwa kulipiza kisasi nikakachuna ada ya shule.
 
unajua anaweza kua very happy na anacho kifanya ila leo kafumaniwa ndio maana anataka aache.
au maybe alikua kwao na alikua anajichua sana, sasa kahamia kwake, anaogopa ataongeza speed
au tena anafanya sababu anaishi peke yake, hafanyi sport, hana marafiki, hana girl friend etc.
Sasa akisha tupa mazingira halisi ya maisha yake, na mazingira ya matukio haya ndio tutajua cha kusema
you never know threads na posts za Dr. MziziMkavu zimemtisha jombiii mtoa mada:couch2:
 
Back
Top Bottom