Mhariri wa Mwananchi, Theophil Makunga, naye kuburuzwa Mahakamani leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhariri wa Mwananchi, Theophil Makunga, naye kuburuzwa Mahakamani leo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Dec 21, 2011.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,610
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Baada ya Samson Mwigamba na Absolom Kibanda kuburuzwa mahakamani kwa uchochezi, leo ni zamu ya Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications, Mzee Theophil Makunga, kuburuzwa mahakamani hapo, kuunganishwa na kesi hiyo.

  Habari hizi ni kwa mujibu wa Mzee Theophil Makunga mwenyewe.
  "Wahariri Wenzagu, baada ya Kibanda Mimi leo nilihojiwa na polisi kwa takriban saa kadhaa kuanzia saa 4.30 hadi saa saba na nusu kama acting MD wa Mwananchi ambao ni wachapaji (printer) wa magazeti ya Free Media Ltd. Baada ya kuandika maelezo yangu niliambiwa nirudi polisi kesho asubuhi saa tatu na kisha nitapelekwa mahakamani Kisutu kuunganishwa na akina Kibanda. Mimi nitashitakiwa kama mimi si kama Mwananchi Communications Ltd.
  Makunga"


  My Take.
  Kwanza, Mzee Theophil Makunga, pole sana, sambamba na Kibanda na Mwigamba, tuko pamoja sana!

  Wanabodi, nawaombeni concetration sasa iwe kwa chanzo cha haya yote na sio matokeo.
  Kufikishwa mahakamani ni matokeo tuu, tena tusiwalaumu polisi, wao wanapokea maelekezo tuu, na watoaji maelekezo wanapo pa kuegemea.


  Mzizi wa fitna yote hii ni Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976. Hii ni moja ya sheria 40 za ukandamizaji, zilizotajwa na Tume ya Nyalali. Kesi hizi ndio opportunity pekee ya kushinikiza hii sheria iwe scrapped of from the books of laws kabla ya katiba mpya Julai, 2014!


  Nime attach hapa hiyo sheria ili tuu kuwajulisha, sheria ipo ila ilikuwa haitumiki, japo sasa matumizi yake ni kwa double standards. Ingetumika ipasavyo, magazeti kama Tanzania Daima, Mwananchi, Mwanahalisi na Raia Mwema, yangeshafungwa zamani!.

  Swali dogo la kujiuliza, ni kuwa kama sheria hii siku zote ipo, na imekuwepo ila imekuwa haitumiki, why now?.

  Jibu ni very simple, Serikali ya Tanzania inaogopa kilichotokea Misri, Libya na kwingineko, ambako vyombo vya dola, vimeitikia nguvu ya umma, hivyo kama ni kweli, askari wetu, wakiiukubali ushauri wa Mwigamba, na Wantanzania ambao tuna sifa ya utii wa Kikondoo, tukibadilika na kuvaa ujasiri kama wa wenzetu wa Misri, then inajua kitachofuatia!.

  Ikulu Tamu Jamani msifanye masikhara!.

  Angalizo:
  Nawaombeni sana tunapochangia thead hii, tutangulize uzalendo kwa taifa letu Tanzania na viongozi wetu, tuchangie kwa heshima, adabu na nidhamu ya hali ya juu, ili tusiliponze jukwaa letu hili kuonekana na sisi ni 'wachochezi' tusije mponza bure
  ndugu yetu, mwenzetu na kamanda wetu Max!.

  Natanguliza Shukrani.

  Pasco (wa jf).

  Background

  Nimeona niweke kipengele husika ili wasio na muda ku download wasome hapa.

  31.-(1) A ''seditious intention'' is an intention-
  (a) to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or the Government thereof; or
  (b) to excite any of the inhabitants of the United Republic to attempt to procure the alteration, otherwise than by lawful means, of any other matter in the United Republic as by law established; or
  (c) to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the administration of justice in the United Republic; or
  (d) to raise discontent or disaffection amongst any of the inhabitants of the United Republic; or
  (e) to promote feelings of ill-will and hostility between different categories of the population of the United Republic.
  (2) An act, speech or publication is not seditious by reason only that it intends-
  (a) to show that the government has been misled or mistaken in any of its measures; or
  (b) to point out errors or defects in the government or constitution of the United Republic as by law established or in legislation
  or in the administration of justice with a view to the remedyingof such errors or defects; or
  (c) to persuade any inhabitants of the United Republic to attempt to procure by lawful mean the alteration of any matter in the United Republic as by law established; or
  (d) to point out, with a view to their removal, any matters which are producing, or have a tendency to produce feelings Of ill-will and enmity between different categories of the population of the United Republic.
  (3) In determining whether the intention the with which any act was done, any words were spoken or any document was published, was or was not seditious, every person shall be deemed to intend the consequences which would naturally follow from his conduct at the time and in the
  circumstances in which he so conducted himself-
  32.-(1) Any Person who
  (a) does or attempts to do, or makes any preparation to do, or conspires with any person to do, any act with a seditious intention;
  (b) utters any words with a seditious intention;
  (c) prints, publishes, sells, offers for sale. distributes or reproduces any seditious publication;
  (d) imports any seditious publication, unless he has no reason to believe that it is seditious,
  shall be guilty of an offence and shall be liable upon conviction for the first offence to a fine not exceeding ten thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding two years or to both such fine and imprisonment , and for a subsequent offence to a fine no exceeding fifteen thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding three years or to both such fine and imprisonment; and such publication shall be forfeited to the Republic-
  (2) Any person who, without lawful excuse, has in his possession any seditious publication shall be guilty of an Offence and shall be liable upon conviction for the first offence to a fine exceeding five thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding twelve months or to both such fine and imprisonment, and for a subsequent offence to a fine not exceeding ten thousand shilling or to imprisonment for a term not exceeding two year or to both such fine and imprisonment.
  (3) It shall be a defence to a charge under subsection (2), if the person charged did not know that the publication was seditious when it came into his possession, he did, as soon as the nature of the publication became known to him, deliver the publication to the nearest administrative officer or to the officer in charge of the nearest police station.
  (4) A printing machine which has been, or is reasonably suspected of being, used for or in connection with the printing or reproduction of a seditious publication may be seized or otherwise secured by a police officer pending the trial and conviction or discharge or acquittal of any Person accused of printing or reproducing any seditious publication; and, when any person is convicted of printing or reproducing a seditious publication, the court may, in addition to any other penalty which it may impose, order that the printing machine on which the publication was printed or reproduced shall be either confiscated for a period not exceeding twelve months, or forfeited to the Republic, and may make such order whether or not the person convicted is, or was at the time when the publication was printed or reproduced, the owner of the printing machine.
  (5) A printing machine forfeited under subsection (4) shall be sold, and the proceeds less expenses shall be paid into the Treasury.
  (6) When the proprietor, publisher, printer or editor of a newspaper is convicted of printing or publishing a seditious publication in a newspaper, the court may, in addition to any other penalty it may impose, and whether or not it has made any order under subsection
  (4) make an order prohibiting any further publication of the newspaper for a period not exceeding twelve months.
  (7) The court may, at any time, on the application of the Attorney. General and on taking such security, if any, for good behaviour as the court may see fit to order, revoke any order madeby it for forfeiting or confiscating a printing machine or prohibiting further publication of a newspaper.
  (8) A court before ordering the forfeiture or confiscation of a printing machine under this section shall be satisfied that the printing
  machine was the printing machine upon which the seditious publication was printed or reproduced.
  (9) In any case in which a printing machine has been secured or confiscated under this section, the Inspector-General of Police may, in his discretion, cause-
  (a) the printing machine or any part of it to be removed; or
  (b) any part of the machine to be sealed so as to prevent its use: Provided that the owner of the printing machine or his agents shall be entitled to reasonable access to it to keep it in working order.
  (10) The Inspector-General of Police or any police officer in pursuance of the powers conferred by this section shall not be liable for any damage caused to a printing machine, whether by neglect or otherwise, not being damage willfully caused to the machine
  (11) Any person who uses or attempts to use a printing machine secured or confiscated under subsection (4) shall be guilty of an offence and shall be liable upon conviction to a fine not exceeding fifteen thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding three years or to both such fine and imprisonment,
  (12) Any Person who prints or publishes a newspaper in contravention of an order made under subsection (6) shall be guilty of an offence and shall be liable upon conviction to a fine not exceeding fifteen thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding three years or to both such fine and imprisonment.
  (13) In this section the expression ''Printing machine'' includes a Printing Press, Copying press, type-setting machine, photographic, dublicating or engraving apparatus, or other machine or apparatus used for or in connection with printing or reproducing publications, and the type, appurtenances and equipment thereof.
  33.-(1) No prosecution for an offence under section 32 shall be begun except within six months after the offence was committed:
  Provided that where a person-

  (a) commits such an offence from outside the United Republic; or
  (b) leaves Tanganyika within a period of six months after committing such an offence, the prosecution for such an offence shall be begun within six months from the date when such person first arrives in, or returns to, the United Republic after-
  (i) committing such an offence; or
  (ii) leaving Tanganyika, as the case may be.
  (2) A person shall not be prosecuted for an offence under section 32 without the written consent of the Director of Public Prosecutions.
  34. No person shall be convicted of an offence under section 32 on the uncorroborated testimony of one witness.
  35. In the case of any of the offences defined in this Part. when the manifestation by an overt act of the intention to effect any purpose is an element of the offence, every act of conspiring with any person to effect that purpose, and every act done in furtherance of the purpose by any of the persons conspiring, is deemed to be an overt act manifesting the intention.
  36.-(1) Any person who publishes any false statement, rumour or report which is likely to cause fear and alarm to the public or to disturb the public peace shall be guilty of an offence and shall be
  liable upon conviction to a fine not exceeding fifteen thousand shillings
  Or to imprisonment or a term not exceeding three years or to both
  such fine and imprisonment.
  Publication
  of false
  news likely
  to cause
  fear
  and alarm to
  the public
  (2) It shall be a defence to a charge under subsection (1) if the
  accused proves that, prior to publication, be took such measures to
  verify the accuracy of such statement, rumour or report as to lead him
  reasonably to believe that it was true.
  37.-(1) Any person who, without lawful excuse, prints, published
  or to any assembly makes any statement indicating or implying that it
  would be incumbent or desirable to do without lawful authority any
  act calculated to-
  Incitement
  to violence
  No. 3 Newspapers 1976 19
  (a) bring death or physical injury to any person or to any category
  or community of persons; or
  (b) lead to destruction or damage of any property,
  shall be guilty of an offence and shall be liable upon conviction to a
  fine not exceeding fifteen thousand shillings or to imprisonment for a
  term not exceeding three years or to both such fine and imprisonment.
  (2) For the purposes of this section ''an assembly" means a gathering
  of three or more persons.
  (3) A person shall not be prosecuted for an offence tinder this
  section without the written consent of the Director of Public Prosecutions.

  ========================
  UPDATES


  Kutokana na hali ya mvua, Makunga hatofikishwa mahakamani leo. Huenda akafikishwa mvua itakaposimama, wenyewe wanasema kesho wakati hapa tunaambiwa mvua itaendelea hadi Jumapili

  Mvua Kubwa kuendelea kunyesha Dar hadi Jumamosi; hali kuzidi kuwa mbaya! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!


   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Dalili zote za mwisho wa utawala wa hiki chama chetu chamapinduzi zinaonekana. Ni muda ndo count down.
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  sasa mbna umetoa tu mawazo yako ujatuambia makunga atafikishwa kortini kwa7bu gani?
   
 4. i

  iMind JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Soma vizuri. Poleni wahusika
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Naomba wanafamvi wanisaidie kidogo. Makala imeandikwa na Mwigamba na kuchapishwa kwenye gazeti la Tz daima. Huyu wa mwananchi anahusikaje?
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwani hizo sheria ndio wanaziona mwaka huu WHY THIS TIME? wanataka kumtisha nani, ninachojua kwa hili serikali inashika watu pabaya karibu kitanuka kinachotakiwa tu ni kwa media zote zenye mtazamo unaofanana kuungana.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hakuna kitu kinachokera kama huu ujinga unaofanywa na mamlaka hii ya CCM...kwa hakika mwisho wao ni mbaya,siku tumekamata dola,tutaanza kuwashughulikia wote wanaotutesa na kututendea uhaini....shit!!
   
 8. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mpiga chapa a.k.a Printer.
  Ni kama ambavyo ukiishtaki taasis ya umma unamwunganisha na mwanasheria mkuu
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,610
  Trophy Points: 280
  Degedege, soma mstari wa kwanza wa thread hii, ila kwa kusaidia wengine kama wewe,
  Mhariri huyo atafikishwa mahakamani kwa kesi ya uchochezi, yeye ndiye printer wa gazeti la Tanzania Daima. Sheria hiyo niliyoiweka inasema, mwandishi, mchapaji na mchapishaji, wote watashitakiwa, watakaosalimika ni msambazaji kama sisi jf, na msomaji kama wewe!.
   
 10. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pasco,

  Sheria hutungwa, huvunjwa na husimamiwa na watu. Na kama kawaida ilivyo, kila binadamu ana ukomo wa uvumilivu kwenye kila jambo, huenda ukomo huo umefika mwisho kwa sasa.

  Sheria husika ilikuwepo na ilikuwa inatumika haswa katika kipindi cha awamu ya kwanza ya utawala hapa nchini. Masharti yakalegezwa kidogo na uhuru wa habari ukawepo kwa level fulani, bila shaka uhuru huo umezidi mipaka yake na sasa ni wakati muafaka wa kurudisha mambo yawe kama yanavyopaswa kuwa.
   
 11. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli JK na CCM yake Kwishney!
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Nachojua kwa uchache,ni kuwa mwananchi uwa wanatoa huduma ya uchapishaji kwa watu wengine au kampuni nyingine..na kwa hiyo according to mleta thread moja ya kampuni zinazotumia huduma hii ya Mwananchi ni Free media inayoandika gazeti la Tanzania Daima........
   
 13. e

  evoddy JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani hii ndiyo aina mpya ya kuongoza Tanzania lakini waliomadarakani wasidhani kuwa wao ni washindi katika hili maana wenye nchi tunaona ipo siku tutaamua kufanya kile ambacho hawatarajii kama iliyvotokea Tunisia.

  Nayaandika haya lakini inawezekana wa kasema member wa jamii forum wanawachochea wananchi kupitia huu ukurasa na sisi tukaburuzwa mahakamani
   
 14. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Poleni sana waandishi na wahariri wa Tanzania. Lakini hii isiwafanye mkate tamaa katika vita yenu dhidi ya ufisadi, rushwa na uonevu unaofanywa na serikali dhalimu ya JK. Kama itabidi hata kunyongwa basi kubalini tu kwa maslahi ya wananchi wengine nami nipo tayari kulea wake zenu na watoto wenu pale mtakapokufa.
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Naona hii sheria alisaini Nyerere.

  Huwa napata mashaka na usafi wa Nyerere kwa kumtukuza mpaka kumpa utakatifu (wakatoliki). Najua alifanya mengi mazuri, na kusistaili kupewa heshima, lakini alikuwa na mapungufu mengi vilevile.

  Mtakatifu hawezi kupitisha sheria kandamizi kama hii na zingine nyingi alizozosaini.

  Sijui katiba tunayoililia itarekebishaje haya maana kama ni wabunge wetu wa CCM (walio wengi bungeni) hawako tayari kutenda haki kubadilisha maonevu haya ila kudai posho
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,610
  Trophy Points: 280
  Nimeipitia vizuri hii sheria, nikakuta kumbe hata msambazaji naye atashitakiwa, japokuwa haihusu usambazaji kwa mtandao kama tufanyavyo humu jf!.
   
 17. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Uko sahihi lakini kwa hii issue anashitakiwa Teophil yy binafsi, ni sawa na kumshitaki Werema
   
 18. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  asante uncle pasco..
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mhariri wa mwananch nae anahusikaje kwa hili what i knw ni kuwa dola huwa linaisakama sana MCL
   
 20. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pasco thanks for info. Just out of curiosity mbona leo umejitambulisha kama nilivyo-bold hapo juu.

  Au ndo fagio limewaka moto....tehe tehe tehe.....
   
Loading...