Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

FMES: Evidence aliyetoa GT kuhusu huyu bwana kuwa kwenye payroll ni ipi? Can you please show us pengine itasaidia nasi kubadili mawazo yetu.
 
Mimi kama ni fisadi, ninammwagia acid Zitto/Slaa wenye evidence, au waandishi wa habari ambao wanasubiri habari toka kwa Zitto na Slaa? I mean kama ni acid unaimwaga kwa chanzo cha evidence na sio messengers kina Ndimara!

Hii najua utakuwa umeandika haraharaka na pengine ulikasirika kidogo. Unajua vizuri sana kuwa hatari ya bomu ni kulipuka na sio bomu lenyewe. Kwa hiyo akina Zitto walikuwa na Bomu, lakini kama hili bomu lisingelipuliwa lisingekuwa na maana yeyote. Kumbe basi Kubena ni hatari zaidi kwa mafisadi ndani ya CCM kwa sababu ndiye aliyelipua bomu na likawaunguza. Kumbuka hawa mafisadi walianza kutoa taarifa za kwenda mahakamani baada ya gazeti la Mwanahalisi kuandika habari zilizotolewa na akina Slaa, sasa unafikiri ni kwa nini hawakufanya hivi kabla? Habari zikishachapishwa kwenye gazeti ndio zinaanza kuaminika zaidi kuliko kabla ya hapo.

Vilevile wale wanaojuajua mambo ya intelligence wanajua kwamba intelligence services wanaogopa habari kutoka na sio kuwepo! Kwa hiyo pamoja na kwamba akina Zitto na Slaa walikuwa na hizo habari nzito kamwe zisingekuwa tishio kama hazingetoka nje wao wenyewe na bunge lao; alichofanya Kubena ni kuyasambaza kwa watanzania wote ndani na nje hayo madhira waliyoyatoa akina Zitto na hapa ndipo anapokuwa tishio zaidi kuliko hao akina Zitto. Siku zote Tanzania watu wana habari na nyeti nzito ambazo wamezikalia na zinabaki kuwa bomu lisiloweza kulipuka. At the end of the day it is the bomb detonator who is dangerous rather a manufacturer. Sasa akina Kubena wanaogopwa kwa sababu hawa ni bomb detonators though not necessarily manufacturers.
 
Alisema watu hao waliacha pia silaha zao, ikiwemo chupa iliyokuwa na tindikali.

Utakuta wameacha evidence kibao lakini kwa kutokuwa makini kwetu zitakuwa zimeharibika. Hivi tuna kitu kama CSI nyumbani?

Poleni majeruhi wote.
 
Wana JF.
since juzi usiku around saa saba nilipopata taarifa hizi mpaka leo nimekua najiuliza maswali bila majibu.

Nilitegemea hapa JF ningekutana na angalau mwanga wa kilichotokea but nimegundua watu wengi wanaongozwa either HISIA,ITIKADI(hasa untestablishment) bila kujadili maswala ya msingi kama SECURITY etc.

Nimekua najiuliza kama ni kweli KUBENEA amekua anapokea vitisho bcs ya kazi yake inamaana hakuna hata MASAI mlinzi hapo ofisini kwake? kama mwenyewe alishindwa hilo nijambo lakusikitisha.

Najiuliza hao watu kama walitumwa kama anavodai je njia ya kufanya uhalifu wao ndo ulikua traditional kiasi hicho?

Najiuliza kama life ya kubenea ilikua ktk hatari alishindwa kuomba ulinzi toka kwa vyombo vya usalama?

Ningeona tumekua more objective kama tungejadili issue hii kuanzia ktk hoja yake binafsi kua ANATISHIWA basi hapo tungeweza kufika mahali pa kuanzia.

Why tusijiulize maswali yafuatayo.
A; ALICHUKUA MKE WA MTU?
B;AMEMTIA MTU NDANI (DHULMA)
C;MATEJA WA MWANANYAMALA WALITAKA KUIBA KOMPYUTA?

BCS NISINGEPENDA KUWAITA MAJAMBAZI WALIOVAMIA HAPO HAO NI MATEJA BCS SILAHA WALIZOTUMIA NI SILAHA MAARUFU KWA MATEJA.

Kwahiyo mimi binafsi siwezi husisha tukio hili na alichodai kubenea bcs havina uhusiano hata kidogo.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hapa umeanza vizuri kujenga HOJA NZITO

Lakini hapa kidogo ndio umetoka nnje kiasi kua-karibu nifikilie wewe na wenzio ndio mliwatuma hawa jamaa,kufanya haya waliyo yafanya.

Ningeona tumekua more objective kama tungejadili issue hii kuanzia ktk hoja yake binafsi kua ANATISHIWA basi hapo tungeweza kufika mahali pa kuanzia.

Why tusijiulize maswali yafuatayo.
A; ALICHUKUA MKE WA MTU?
B;AMEMTIA MTU NDANI (DHULMA)
C;MATEJA WA MWANANYAMALA WALITAKA KUIBA KOMPYUTA?

BCS NISINGEPENDA KUWAITA MAJAMBAZI WALIOVAMIA HAPO HAO NI MATEJA BCS SILAHA WALIZOTUMIA NI SILAHA MAARUFU KWA MATEJA.

Kwahiyo mimi binafsi siwezi husisha tukio hili na alichodai kubenea bcs havina uhusiano hata kidogo.

Na hpa ndio kabisaa..........

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Ndugu wananchi bila shaka wengi mnajua kabisa kuwa baada ya Mh Amina Chifupa kufungua mdomo wake kuhusu dawa za kulevya ilijulikana kabisa kuwa siku zake za kuishi zinahesabika, Kolimba alivyosema "ukuta wa Berlin" utaanguka basi siku zake zikawa zinahesabika, orodha inaendelea na kuendelea na kuendelea. Huyo jamaa kumkuta hayo ashukuru Mungu, pamoja na kuwa atakuwa kipofu, walau ameachiwa masikio, ili aje kuweza kusikia kuwa mapambano aliyoshiriki dhidi ya ufisadi na wafisadi hajafika popote.
Watu wote wanaojifanya wema Tanzania mwisho wao ni mbaya anza na kina Mrema, Mtikila, etc ect. The best way ni kujitahidi tu kula karanga tu, waache wenyewe wale nyama, maziwa na asali. Get used to it, it is the way of world!
 
Bwana Harage.
Kwanza salaam pia Jina lako kidogo ni Tata (Harage Mbegu or Harage .......).Si nia yangu kujadili jina lako.

Ila kutokana na ulicho dai kwanza mada yetu si kujadili nani amekufa hapa kwahiyo unatutoa ktk mjadala,ila kwa muumini yoyote kifo ni INNEVITABLE, Amina alikufa yaliyomsibu wanaojua ni madaktari or labda tusubiri kitabu cha MH ZITTO bcs yy alikua anajua mengi then tutajadili.

Hoja yako kua wema mwisho wao ni mbaya inaonyesha ndugu yangu ww huamini mungu hakuna wema unaolipwa kama mabaya na hakuna mtu anaejifanya mwema kwa Tanzania huyo ni Mnafiki.

Kwahiyo si sahihi kuunganisha KIFO cha AMINA,KOLIMBA,na Tukio la kubenea, PIA ni kosa kumfananisha LYATONGA na Kubenea inaonyesha hufatilii histiria ya nchii hii.

If read btn lines ulicho andika najifunza u mmoja wa wanao ongozwa na HISIA zaidi kuliko UHALISIA,na unatumia zaidi RADIO mbao kama na mie nikibase kutumia facts za aina yako tasema mtu kama AMINA amefariki kwa (HIV) Lakini sipendi kutumia habari za mtaani katika hoja yangu.

Nivizuri suala hili tuliangalie kwa mapana zaidi kwa maslahi yetu sote.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
EDITORIAL: Journalists will never be silenced in their noble task
THIS DAY

ON Saturday night an ugly incident took place in Dar es Salaam against press freedom in the country when a group of thugs invaded the Mwanahalisi newspaper newsroom and attacked journalists Ndimara Tegambwage and Saidi Kubenea who were on duty.

It is reported that Tegambwage was ferociously hacked with machetes while his colleague had a deadly acid poured onto his eyes and other parts of the body. The motive of the attack is yet to be determined although right-thinking people believe that the thugs, on orders from their cowardly paymasters, were out to silence the vibrant independent press in the country.

Without mincing words, this dastardly act should be condemned in the strongest possible terms as it is bent on curtailing media freedom in a great country which since independence has enjoyed enviable peace and stability.

We condemn this evil act because journalists are the conscience of the masses, the one voice which people can turn to for information and guidance.

The Constitution of the United Republic of Tanzania guarantees freedom of speech and of the press to the media practitioners. This freedom reflects the recognition of the special role of the Press in the society.

The constitution saddled the media with the responsibility of making government accountable to the people. This represents the most crucial of its oversight functions towards ensuring sustainable protection of human rights, the rule of law, positive development and the anti-corruption crusade.

In this modern world the position of the journalist is that of a big torchlight which beams across the nation, searching, exposing and dictating the thoughts and reactions of the masses.

In other words, the press by exposing flaws in the policies and programmes of the government (or business or academia or other powerful ''estates'' of modern democratic capitalist society), helps to direct society towards positive ends.

But, this view is not widely shared outside the media itself. One can conveniently say that the media is becoming increasingly unpopular. While complaints vary, many of them can be distilled into two basic schools of thought. One is that journalists tend to�uphold�biased viewpoints�and their reports appear not to be�balanced nor objective.

The other is that journalists, by exposing matters that ought to be nobody else's business, trample on other citizens' right to privacy. More often than not, this attitudinal behaviour rears its ugly head in very sensitive national matters. The economic maladies of the modern Tanzanian state encourage the travesty of�what we would refer to as 'influenced reportage.' ''He who pays the piper,'' they say, ''dictates the tune''. Nowhere in the world is this saying more relevant�than�amongst the representatives of the Fourth Estate. More often than not, the realm becomes a playground for hatchet intentions.
Are these accusations fair? People who complain about the bias of the press often misunderstand a key point, which is this: there is a difference between being biased and having an opinion. Journalists who cover politics and government spend their days learning and thinking about the issues and personalities involved. It is only natural that they develop opinions. Those who charge the press with bias almost, invariably, have strong political opinions of their own. But, they rarely perceive their own opinions as biased. Often, an accusation of bias means only that ''this journalist disagrees with me.'' But, in reality, actual bias is when a journalist lets his or her opinion get in the way of fair and accurate reporting.
One basic tenet which neither the modern times nor the internet can wish away is that truth has a natural advantage over falsehood, provided that information and argument are freely expressed. The more information and argument � whether true or false, wise or stupid � the more likely it is that truth and wisdom will float to the surface while falsehood and stupidity will sink.

What does this all mean? Journalists should be courageous, and be very courageous. Journalism isn't a profession for the faint-hearted. Courage doesn't mean an absence of fear. Fear is a natural reaction when faced with threats. Courage is the determination to forge ahead doing what you believe in, even in the face of danger.

This courageous spirit is what drives us to condemn the attack on our colleagues as an incident perpetrated by the faint-hearted wanting to silence the press in exposing wrongdoing in this great country. With the masses behind us, we shall not shy away from this noble task.

main.jpg

VICTIMS OF PERSECUTION: Tegambwage (top) and Kubenea (above) in the aftermath of the attack.
 
Mtoto wa mkulima, nashukuru. NI kianza na jina langu, ni Bw Harage kwa maana ya maharage kile chakula. Nikiwa peke yangu sina maana siwezi hata kufaa kwa chakula, ila tukiwa wengi. Ni kweli nimechanganya vitu, maana ni kama nimeweka vitu vingi chini ya mwamvuli mmoja. Lakini nilichokuwa najaribu kukumbuka ni kuwa watu wote waliojaribu kufanya wema, waliishia kubaya. Na wanaondelea kufanya uovu wanaendelea kutesa, kwa hiyo rai yangu ni kuwa kama ukiweza kupata walau chips na mayai mawili, basi yanatosha.
If you can not fight them, join them and be as evil or evn more, if you can't just put your tail between your legs. Hii inanekana kama ni ya kukata tamaa lakini ni very realistic.
 
Haya jamani mafisadi waamua kufanya kweli. Thanks God tunatumia majina ya kupandikiza hapa JF, pamoja na hayo inabidi tuwe makini katika kupambana na mafisadi hawatasita kuua ili kuwanyamazisha wale wanaopambana nao. Nawaombea waathirika wapone haraka ili warudi katika mapambano.

Tunalaani vikali vitisho hivi
Tanzania daima

TUMESHITUSHWA na tumesikitishwa mno na tukio lilitokea juzi usiku, la watu wasiofahamika kuvamia ofisi za Hali Halisi, wachapishaji wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, zilizoko Kinondoni jijini Dar es Salaam, kuwashambulia na kuwajeruhi kwa mapanga na tindikali, wahariri wawili wa gazeti hilo.
Katika tukio hilo lililotushitua, watu watatu wakiwa na panga, sime, rungu na chupa iliyokuwa na tindikali, walivamia ofisi za Hali Halisi majira ya saa 2:30 usiku na kuwashambulia na kuwajeruhi, Mkurugenzi wa magezeti hayo, Saed Kubenea na Mshauri wa Habari wa gazeti la Mwanahalisi, Ndimara Tegambwage.

Kubenea alimwangiwa tindikali usoni na sasa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwa amepoteza uwezo wake wa kuona. Iwapo hatapona, atakuwa ametiwa kilema cha maisha. Ndimara alikatwa panga kichwani, alitibiwa na kuruhusiwa. Hata hivyo wahariri hao walipambana kwa nguvu zao zote na kufanikiwa kuwatimua majambazi hao, ambao kwa hakika tunaamini kuwa walidhamiria kuwaua.

Tukiwa katika mshituko wa tukio hilo, maswali kadhaa yamekuwa yakitujia bila kupata majibu ya uhakika. Tunajiuliza na tutaendelea kujiuliza, chanzo cha tukio hili ni nini? Ni kina nani waliotenda uovu huu na kwa sababu gani wameutekeleza?

Tunajiuliza maswali haya kutokana na taarifa zilizotolewa na Kubenea kwamba kwa muda mrefu amekuwa akitumiwa ujumbe wa vitisho kupitia simu yake ya kiganjani kutoka kwa watu wasiofahamika na mara zote amekuwa akitoa taarifa za vitisho hivyo polisi.

Kubenea amewahi kuchomewa gari lake kabla ya kunusurika kufa baada ya kugongwa na gari. Mlolongo wa matukio haya unayapa sifa ya kuwa matukio ya kupangwa.

Kwa kuwa Kubenea ameshawahi kupata vitisho kutokana na kazi yake, tumaamini kuwa tukio hili ni utekelezaji wa vitisho hivyo. Hivyo, tunaamini pia kuwa kuvamiwa na kujeruhiwa kwa wahariri hawa kunatokana na kazi yao.

Hili tunalilaani na kulikemea kwa nguvu zote kwa sababu mahali kote inafahamika kuwa vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa utawala. Vinasaidia katika kuisaidia jamii kujiletea maendelea kama ilivyo mihimili mingine mitatu ya dola; Mahakama na Bunge.

Kwa kuwa tunaamini kuwa vyombo vya habari ni muhimu katika jamii yetu, hatuoni ni kwa sababu gani wanaweza kuwepo baadhi ya watu katika jamii, ambao kwa sababu zao binafsi kutaka kuwadhuru waandishi wa habari.

Haijulikani tukio hili lilifanywa na nani, lakini kwa sababu limetokea na wapo walioonekana wakitenda, hao ndio adui zetu kwa sasa, hata kama hawajulikani. Tunaamini kuwa hawapo peke yao. Wanaweza kuwa wanawakilisha kundi jingine. Hata kama kundi hili ni dogo, lakini linachokifanya ni kitu chenye madhara makubwa, si kwa Kubenea na Ndimara tu, bali pia kwa taasisi nzima ya habari pamoja na jamii kwa jumla.

Kama jamii, hatupaswi kufika huko, kwani kama inavyoelezwa, sote tunaijenga nyumba ile ile, kwa nini tugombee fito? Au ni kwa nini baadhi yetu tujione kuwa sisi ndio wenye haki ya kumiliki fito zaidi ya wengine?

Wanachokifanya Kubenea na Ndimara ni utekelezaji wa majukumu yao kama raia wema wanaoipenda nchi yao. Kuwatisha namna hii ni kuwachochea, kwa sababu wameiva katika kazi yao, na mbaya zaidi, wanaamini katika kile wanachokifanya.

Hivyo kama mtu aliona kuwa kazi yao inamharibia, akaamua kufanya hivyo alivyofanya, atakuwa amezidi kujipalia makaa mwenyewe, kwani ndiyo amewapa morali Kubenea, Ndimara na waandishi wengine kuzidi kuchokonoa.
 
Hapa piga ua lazima pana mkono wa akina MVI na MAFISADI wengine walioanikwa na mwana halisi.
Lakini Kubenea ni Mpiganaji,amepoteza gari,ametishwa sana lakini ameendelea kuwaanika,na hata jana baada ya kushambuliwa ameapa kuendelea kuwaumbua hadi siku ya mwisho wa uhai wake
Na leo alfajiri nimemtembelea hospitali amesisitiza msimamo wake.
Na kwa taarifa yenu mafisadi mnaosoma hapa au watoto wao au maajenti wao hali ya Kubenea inaendelea vizuri na Hanyamazishwi mtu hata kama mtatumia Polonium 210!!!!
 
Mungu akupe ushujaa wale wabaya wako walegee na waanguke kokote waliko . Mungu akuinue katikati yao kwa jina la wanyonge wa Tanzania
 
Kwa wale tunaofuatilia makala zake,tuna kilasababu ya kuamini kuwa katika hili kuna mkono wa mtu mmoja katili lakini pia mwenye nafasi kubwa na anayepigwa vita na walio wengi kuwa ni mbadhirifu,uchunguzi ni muhimu.
 
EDITORIAL: Journalists will never be silenced in their noble task
THIS DAY

ON Saturday night an ugly incident took place in Dar es Salaam against press freedom in the country when a group of thugs invaded the Mwanahalisi newspaper newsroom and attacked journalists Ndimara Tegambwage and Saidi Kubenea who were on duty.

It is reported that Tegambwage was ferociously hacked with machetes while his colleague had a deadly acid poured onto his eyes and other parts of the body. The motive of the attack is yet to be determined although right-thinking people believe that the thugs, on orders from their cowardly paymasters, were out to silence the vibrant independent press in the country.

Without mincing words, this dastardly act should be condemned in the strongest possible terms as it is bent on curtailing media freedom in a great country which since independence has enjoyed enviable peace and stability.

We condemn this evil act because journalists are the conscience of the masses, the one voice which people can turn to for information and guidance.

The Constitution of the United Republic of Tanzania guarantees freedom of speech and of the press to the media practitioners. This freedom reflects the recognition of the special role of the Press in the society.

The constitution saddled the media with the responsibility of making government accountable to the people. This represents the most crucial of its oversight functions towards ensuring sustainable protection of human rights, the rule of law, positive development and the anti-corruption crusade.

In this modern world the position of the journalist is that of a big torchlight which beams across the nation, searching, exposing and dictating the thoughts and reactions of the masses.

In other words, the press by exposing flaws in the policies and programmes of the government (or business or academia or other powerful ’’estates’’ of modern democratic capitalist society), helps to direct society towards positive ends.

But, this view is not widely shared outside the media itself. One can conveniently say that the media is becoming increasingly unpopular. While complaints vary, many of them can be distilled into two basic schools of thought. One is that journalists tend to�uphold�biased viewpoints�and their reports appear not to be�balanced nor objective.

The other is that journalists, by exposing matters that ought to be nobody else’s business, trample on other citizens’ right to privacy. More often than not, this attitudinal behaviour rears its ugly head in very sensitive national matters. The economic maladies of the modern Tanzanian state encourage the travesty of�what we would refer to as ’influenced reportage.’ ’’He who pays the piper,’’ they say, ’’dictates the tune’’. Nowhere in the world is this saying more relevant�than�amongst the representatives of the Fourth Estate. More often than not, the realm becomes a playground for hatchet intentions.
Are these accusations fair? People who complain about the bias of the press often misunderstand a key point, which is this: there is a difference between being biased and having an opinion. Journalists who cover politics and government spend their days learning and thinking about the issues and personalities involved. It is only natural that they develop opinions. Those who charge the press with bias almost, invariably, have strong political opinions of their own. But, they rarely perceive their own opinions as biased. Often, an accusation of bias means only that ’’this journalist disagrees with me.’’ But, in reality, actual bias is when a journalist lets his or her opinion get in the way of fair and accurate reporting.
One basic tenet which neither the modern times nor the internet can wish away is that truth has a natural advantage over falsehood, provided that information and argument are freely expressed. The more information and argument � whether true or false, wise or stupid � the more likely it is that truth and wisdom will float to the surface while falsehood and stupidity will sink.

What does this all mean? Journalists should be courageous, and be very courageous. Journalism isn’t a profession for the faint-hearted. Courage doesn’t mean an absence of fear. Fear is a natural reaction when faced with threats. Courage is the determination to forge ahead doing what you believe in, even in the face of danger.

This courageous spirit is what drives us to condemn the attack on our colleagues as an incident perpetrated by the faint-hearted wanting to silence the press in exposing wrongdoing in this great country. With the masses behind us, we shall not shy away from this noble task.

main.jpg

VICTIMS OF PERSECUTION: Tegambwage (top) and Kubenea (above) in the aftermath of the attack.

Hawa ni mafisadi wa ccm wamehusika moja kwa moja. Jamaa walikuwa wamewakalia shingoni na sasa wameamua kuwanyamazisha. Poleni sana Tegambwage na Kubenea.

Hili ni suala nyeti sana inabidi litokee cnn na bbc labda mnafiki mmoja anaweza kuwashikia bango waliofanya uovu huu na vile viongozi wetu vibaraka wanavyoogopa serikali za nje labda kuna kitu kitafanyika kuwasaidia.

Mwanahalisi linaondolewa taratibu kabisa na mafisadi wa ccm. Shame on you! shame! shame! Shame! shame! Mafisadi wa kiafrika wanatumia the same game play. Kenya wamefungia media, Tanzania wanashambulia waandishi! shame on you ccm!
 
Kubenea ambaye amepata athari katika macho yake, ameondoka muda si mrefu kuelekea India kwa matibabu zaidi ili kumuepusha na upofu.
 
Where tunakoenda,ukipata halali unaibiwa ukilalamika unashutiwa. ukisema ukweli unataka kuuwawa, tutafika kweli, hii vita inahitaji new strategy. pole bwana kubena
 
Hawa ni mafisadi wa ccm wamehusika moja kwa moja. Jamaa walikuwa wamewakalia shingoni na sasa wameamua kuwanyamazisha. Poleni sana Tegambwage na Kubenea.

Muungwana kwa unafiki alikwenda hospitali kumpa pole bwana Kubenea kama vile hajui "what is behind the curtain"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom