kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,026
Kuna habari kwamba Mhariri Mtendaji wa magazeti ya chama cha mapinduzi, Uhuru na mzalendo Bw Joseph Kulangwa ametimuliwa kazi kufuatia tuhuma kwamba ameshindwa kuongoza shirika hilo la magazeti ukiwemo ufujaji mkubwa wa fedha za shirika.
Shirika limeshindwa hata kuwalipa wafanyakazi wake miezi kadha. Lakini jambo la kushangaza jamaa huyo ameunda kikundi cha wafanyakazi wanaodai ati wanampenda na ndio wanaongoza kile kiitwacho mgomo.
Kikundi hicho ndicho sasa kimeanza kuwachafua viongozi wa ngazi za juu wa chama hasa Nape, Kinana na wajumbe wa bodi.
Kama uliteuliwa ukakubali na kwenda kuripoti haraka, kwa nini pia usikubali siku inapofika ukafukuzwa?