Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,985
- 144,312
Katika safu ya Maoni ya Mhariri wa gazeti la The Guardian la leo,Mhariri amemtaka Raisi Magufuli amchukulie hatua Harbinder Singh Sethi anaehusishwa na tuhuma za wizi wa dola milioni mbili kwa kutumia nyaraka feki katika account ya Tegeta Escrow.
Mhariri amemalizia maoni yake kwa kusema kikwazo kilichokuwepo Ikulu(the main stumbling block) katika kuchukua hatua kwa sasa hakipo tena.
Chanzo:The Guardian
Hawa ndio waandishi tunaowataka ambao hawaendi na matukio kiasi kwamba tukio likipita basi nao wanasahau.
Hongera sana Mhariri.

Last edited: