Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

Mizimu ya pare hills vs waha land... Alikuwa anasafiria nyota ya mzee Abdul... Huwezi kumkana baba aliyekufulia kinyesi na mikojo ukiwa kachanga... Omba msamaha
 
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'

Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Diamond ashindwa kunyakua tuzo za BET
TUZO ZA BET: Tanzania yaambulia patupu
Tuzo za BET: POLE MOND lakini usikate tamaa
Kukosa tuzo za bet Diamond ana la kujifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom