Mhariri Daily News kung'olewa, mwingine kutangazwa hivi karibuni

Watampa nani sasa, Gabi au Tuma? Tahariri ile ilikuwa chafu sana. Tusubiri akina Mbwambo na Jenerali watasemaje. Ki- Tabloid walichokisema nadhani ilikuwa RaiaMwema ya wiki iliyopita.
 
Watampa nani sasa, Gabi au Tuma? Tahariri ile ilikuwa chafu sana. Tusubiri akina Mbwambo na Jenerali watasemaje. Ki- Tabloid walichokisema nadhani ilikuwa RaiaMwema ya wiki iliyopita.
Jamani hiyo tahariri ilisema je? wengine tuko gizani!
 
Mkumbwa Ally hataondoka Daily News. Ila atapewa ile post yake ya kimangimeza ya Deputy Managing Editor ambayo amekuwa akisifika kumchunguza au kumfitini anayekuwa juu yake (ME - Managing Editor) kama alivyomfanyizia Isaac Mruma! Huu ndio ukweli! Alichokifanya Mkumbwa kina baraka zote za jumba kubwa (Ikulu). MKUMBWA WILL REMAIN TO BE "THE DAILY NEWS KINGPIN" FOR ALL THE TIME. ANAANDALIWA KWA MAPAMBANO YA 2015 AMBAPO "GAZETI LA SERIKALI" LITAHITAJIKA ZAIDI KUWAMALIZA WATU FULANI NDANI YA CHAMA TAWALA ILI WASIOTE AU KUWANIA URAIS...!
 
Jamani hiyo tahariri ilisema je? wengine tuko gizani!

Ilikuwa ndefu tahariri ile na kwa kuweka msisitizo ikaanzia front page kwa maandishi mazito. Kubwa lililokuwemo ni kutangaza sehemu ya matokeo ya uchaguzi mkuu ujao kwa kuandika wazi kuwa Dr Slaa hawezi kushinda Urais wa Tanzania kamwe na kushambulia sana vyombo vya habari vinavyoonyesha kumuunga mkono.
 
Kwa taarifa yako anaweza akapandishwa cheo na si kuwa demoted kama wengi wetu tunavyotarajia. Unaweza kusikia ameukwaa ukuu wa wilaya!!!

Sintashangaa iwapo Mkumbwa ataukwaa ukuu wa wilaya mbona wakina Sara Dumba ni wakuu wa wilaya ikiwa zawadi yao kwa kumpigia debe mkwere 2005!!
 
Kuna tetesi kwamba huenda Habbie Gunze wa TCRA akawa Managing Editor mpya wa DN.
 
Kwa utaratibu wa uendeshaji wa serikali yetu lazima atapewa nafasi yenye ulaji kama wale waliomchafua dr Salim mwaka 2005 kenye gazeti la Mwananchi walipotimiliwa si leo wanalipwa kwa kodi zetu wakichekelea pembeni za wakuu wa kaya hii
 
Kuna tetesi kwamba huenda Habbie Gunze wa TCRA akawa Managing Editor mpya wa DN.
Hii ya Habbie Gunze kupelekwa pale sio tetesi bali ni wasoma trend tuu, kwa vile Mruma alitoka Daily News akaenda PMO akarudi Daily News na kwenda TCRA ndipo karudi Daily News kileleni, wasoma trend wanadhania Gunze ndiye atapelekwa Daily News kwa vile Mruma alitoka TCRA. Gunze atakwenda kumpokea Tido pale TBC.

Hao trend readers pia ndio wanadhania baada ya JK anafuatia Membe, kwa vile Ben alitokea foreign akwaukwaa upresidaa, akamchukua JK akampiga foreign kwa miaka yake 10 mfululizo, naye akaukwaa, hivyo JK amempa Membe foreign, atamrudisha foreign kumalizia ili 2010 Membe ndie ampokee its wrong, kwanza foreign this time, anapewa Prof. Tiba, sio tuu ili kuiza vizuri zaidi Tanzania kwenye medani za kimataifa, bali pia kutengeneza posibility ya kumpata pm mwanamke 2015.

By the way jana bodi ya TSN ilikaa, naomba msiulize kilichojiri, maana vikao vya bodi zote huwa top secret, ila matokeo ndio mtayaona!.
 
pengine ni 'mabadiliko ya kawaida' tu.

Tena mabadiliko yenyewe yanafanyika kwa vile ameshindwa kuzingatia kauli ya MBAYUWAYU kwani pamoja na kuambiwa amchafue Dr. Slaa alipaswa kuchanganya AKILI ZAKE na zile AKILI ZA KUAMBIWA Hivyo aktoa kile ambacho kinatia Kichefuchefu
 
Hii ya Habbie Gunze kupelekwa pale sio tetesi bali ni wasoma trend tuu, kwa vile Mruma alitoka Daily News akaenda PMO akarudi Daily News na kwenda TCRA ndipo karudi Daily News kileleni, wasoma trend wanadhania Gunze ndiye atapelekwa Daily News kwa vile Mruma alitoka TCRA. Gunze atakwenda kumpokea Tido pale TBC.

Hao trend readers pia ndio wanadhania baada ya JK anafuatia Membe, kwa vile Ben alitokea foreign akwaukwaa upresidaa, akamchukua JK akampiga foreign kwa miaka yake 10 mfululizo, naye akaukwaa, hivyo JK amempa Membe foreign, atamrudisha foreign kumalizia ili 2010 Membe ndie ampokee its wrong, kwanza foreign this time, anapewa Prof. Tiba, sio tuu ili kuiza vizuri zaidi Tanzania kwenye medani za kimataifa, bali pia kutengeneza posibility ya kumpata pm mwanamke 2015.

By the way jana bodi ya TSN ilikaa, naomba msiulize kilichojiri, maana vikao vya bodi zote huwa top secret, ila matokeo ndio mtayaona!.
Prof Tibaijuka ameniangusha sana tu. Namwona kama sie yule aliyetaka kuanzisha baraza huru kabisa la wanawake miaka ile ya Mzee Ruksa. Nilitarajia angegombea kwa tiketi ya upinzani kwani angemshinda yeyote yule ambaye angepambana naye lakini haikuwa. Huko CCM hata huo uwaziri sijui kama utamweka huru katika kuchangia ujenzi wa Taifa letu. Membe atapelekwa wapi Pasco? Sidhani kama serikali ya CCM itafanya kazi na watu safi wa kiwango Prof Anna T. Huyu mama anataka kujichafua au kulazimika kutetea lile asiloliamini!
 
WildCard, huyo mama sio tuu ni dare devil, but also ni realist, alipojaribu kupitia Bawata, alikuwa na matumaini Tanzania itajenga upinzani wa kweli. Sasasa ni miaka 18 ya vyama vingi, hakuna any serious strong opposition, Chadema na CUF wanaonyesha njia, lakin i hii fragmentation opposition ndio advantage ya CCM.

Watu wote ambao ni ma realist, hawakubali kujaribu, yaani trying, they either play to win, or not to try at all. Kuna wanaCCM kibao ambao ni wakweli na wanakerwa na uvundo na maroroso ya chama chao na they are dare devils lakini they don't act kwa vile hawaoni mwanga at the end of the tunnel, hivyo wameamua, better a devil you know 'CCM'.

Sasa huyu mama ndio wale ma realist ambaye ninauhakika asilimia 100% angetamani sana kuteam na Chadema, lakini akajiuliza yale maswali kama ya Mzee Mwanakijiji aliyauliza kuhusu Chadema, na hakujibiwa mpaka leo. Swali kubwa lilikuwa ukishinda then what?.
Sasa kwa realist kama huyu, amekubali mapema kuwa 'If you can't beat them, join them' and fight from within. ndicho anachokifanya CCM which is healthy.
 
Hivi wana JF mnawajua CCM leo..?? Mara ngapi watu wanatolewa kafara ili kukisafisha chama...?? Mmesahau kina Lowassa, Iddi Simba na wengineo ambao walitolewa kafara ili kukisafisha chama..?? Baada ya hapo mnaambiwa kuwa tumekomesha viongozi wazembe, baada ya mwaka mnaambiwa Lowassa ni kiongozi safi tena anapigiwa kampeni na Rais. Msishangae kusikia huyo jamaa anasafishwa na Rais tena hadharani kuwa ni mhariri bora wa mwaka (wapeni mwaka mmoja mtasikia clearance certificate toka kwa Rais au mpambe wa Rais ikimsafisha Mkumbwa).
 
kafanya kazi yake vizuri ya kuwatetea mafisadi na ccm kwa hiyo kapewa zile nafasi ambazo kikwete amewaahidi watendaji wabovu................hongera mkumbwa kwa kupalilia vizuri nafasi nyingine
 
Back
Top Bottom