MHARI MTENDAJI Wa magazeti la UHURU na MZALENDO ya CCM azikwa leo

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Mhariri mtendaji wa magazeti UHURU na MZALENDO yanayomilikiwa na CCM amefariki dunia. Viongozi wa CCM mkoa akiwemo MADABIDA wamehudhuria mazishi hayo ya mhariri huyu bwana MZOBORA aliyefariki kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Poleni CCM na wafiwa wote.
 
Mhariri mtendaji wa magazeti UHURU na MZALENDO yanayomilikiwa na CCM amefariki dunia. Viongozi wa CCM mkoa akiwemo MADABIDA wamehudhuria mazishi hayo ya mhariri huyu bwana MZOBORA aliyefariki kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Poleni CCM no wafiwa wote.

Bora yapungue kwan hayana hata hero kwa muumba.
 
Mhariri mtendaji wa magazeti UHURU na MZALENDO yanayomilikiwa na CCM amefariki dunia. Viongozi wa CCM mkoa akiwemo MADABIDA wamehudhuria mazishi hayo ya mhariri huyu bwana MZOBORA aliyefariki kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Poleni CCM na wafiwa wote.

Mungu endelea kupunguza Manafiki haya. Bado na lile lingine sijui linani lililoandikaga na kuapa kwenye Daily News kwamba Dr hatakuja kuwa rais. Sijui nalo linangoja nini kufa! Yameshaposha sana haya majitu na kuwafanya CCM waendelee kukandamiza Watanzania kupitia magazeti yao.
 
Back
Top Bottom