mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,841
- 3,476
poleni
hOJa imeungwa mkonoKuna kitu hapa si bure
Ubinafsi ulikuwa unamsumbua.ukijiua unakuwa hujafikiria wenzio wanaokupenda na kukuthamini.wazazi ,ndugu watoto etcKweli Kuna watu woga
Labda kama picha haihusiani na habari yenyewe...Daah pole sana wafiwa. ..
Yaani kesi ya kuomba rushwa ya million 1 tu ndio inamfanya ajitoe uhai ""...!!!Au Kuna mengine?
Ngoja tu subiri majibu ya uchunguzi ya Wana usalama '
Naam nimeiangalia vyema. ..kwanza hiyo suruali inayo semekana imetumika kumnyonga inaonyesha kuwa imepwaya kwenye shingo ---yaani haiko tight so haiwezekani iweze kumnyonga mpaka afeLabda kama picha haihusiani na habari yenyewe...
Kwa mazingira hayo haiwezekani mtu ajinyonge hadi afe.
Itazameni picha vizuri.
Huyu mtu ameuwawa na kutundikwa hapo.
Hilo jina huyo jamaa nadhani amesoma Iyunga Sec. Miaka ya 2000 au 2001 kama sijakoseaMhandisi wa Majego wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, Aswile Msika (37) amekutwa amekufa kwa kujinyonga katika eneo la Nyatura Kata ya Mbugani Wilayani humo kwa kutumia suruali yake.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei, amesema tukio hilo lilitokea jana ambapo mtu huyo alikutwa akiwa amejitundika.
Amesema chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa na Jeshi la Polisi lakini awali marehemu alikuwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa shauri ambalo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Chunya.
“Kabla ya tukio marehemu alikuwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja kutoka kwa mmoja wa wakandarasi wanaofanya kazi wilayani humo na kesi hiyo ilikuwa bado inaendelea mahakamani sasa kuhusu chanzo bado tunachunguza,” Kamanda Matei.
Hiyo suruali imekaa kwa namna flani kama imechanwa msamba...!! So kwa urefu kama huo na mti akapanda juu ya mti akijiachia aisee unaendaa... Sema hiyo picha upande wa huu haioneshi vizuri suruali imefungwa wapi na umbali wa tawiLabda kama picha haihusiani na habari yenyewe...
Kwa mazingira hayo haiwezekani mtu ajinyonge hadi afe.
Itazameni picha vizuri.
Huyu mtu ameuwawa na kutundikwa hapo.
Tazama vizuri picha utaona alivyoifungaSuruali sio rahisi kujinyonga hadi ukate roho,kwa mazingira ya hapo huo mti angeukumbatia kuinusuru roho yake
Isitoshe huo mti hapo, ungemsaidia sana wakati ameanza kuyasikia maumivu ya kujinyonga.Naam nimeiangalia vyema. ..kwanza hiyo suruali inayo semekana imetumika kumnyonga inaonyesha kuwa imepwaya kwenye shingo ---yaani haiko tight so haiwezekani iweze kumnyonga mpaka afe
Ni sawa lakini kwa umbali wa marehemu na mti.Hiyo suruali imekaa kwa namna flani kama imechanwa msamba...!! So kwa urefu kama huo na mti akapanda juu ya mti akijiachia aisee unaendaa... Sema hiyo picha upande wa huu haioneshi vizuri suruali imefungwa wapi na umbali wa tawi
Me nimezaliwa Chunya Makongolosi.Karibu sn,japo sipo huko sasa na ni miaka mingi sn.Duh napajua chunya
Kuna jamaa yangu anafanyakazi hapo nshaenda mara kadhaa, huyo jamaa yangu alikua na kesi ya Takukuru kwa miaka 4 akashinda
Takukuru wanasumbua sana halmashauri
Isitoshe huo mti hapo, ungemsaidia sana wakati ameanza kuyasikia maumivu ya kujinyonga.
So Police wafanye kazi ya kuwasaka wauwaji.
Huyu mtu ameuwawa.Naam Daah kweli kabisa. .mti upo karibu sana na mwili. ..so wakati ana sikia maumivu ange utumia kama support ya kuepuka maumivu hayo kwa kuuparamia