kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nimeangalia picha, mandhari na mwonekano wa jengo, sijaridhika na mhandisi msanifu wa jengo.
Halafu inavyoonekana ndiye huyo huyo aliyewachorea ramani ya stand kuu Dodoma.
Yaani ni michoro kama ya mwanafunzi wa darasa la tano anayechipukia kwenye sanaa ya uchoraji.
Rangi mbaya haifanani kabisa na hali ya hewa ya Dodoma.Rangi hiyo ingefaa eneo ambalo ni evergreen.
Sent using Jamii Forums mobile app