Mhandisi awa mganga mkuu wa wilaya Shinyanga!!

Kati ya section na idara, ipi ni subsection ya nyingine?

Na cluster ni nini?

usiwe muulizaji maswali tu, jibu kwanza swali nililokuuliza hapo juu. Ninatambua kwamba utakapojua kwamba hujui ndipo utakapojua.

post yangu namba 38 na ile ya 49 nimekueleza kwamba katika Halmashauri (upande wa watendaji kuna Mkurugenzi, Wakuu wa vitengo (Sheria na ukaguzi wa ndani) then kuna Wakuu wa idara chini yao kuna Wakuu wa section. Nikiendelea hapo kuna desc officers. Hivi hapo ni mpaka mtu akuonyeshe kwamba section imo ndani ya idara?
 
Ujinga wa namna hii umekuwa sehemu ya maisha yetu Tanzania.List ya matukio ya namna hii ni ndefu sana na inasikitisha.Nakumbuka kijana mmoja 'form six lever' ambaye hakuwa na qualifications zingine zozote aliwekwa kwenye Board ya Wakurugenzi ya TANAPA.Hapo ndipo tulipo fika,a real dead end.Sasa kama tusipo reverse trend tunayoenda nayo it's over,TUMEKWISHA!

Mhandisi awa mganga wa wilaya

Jackson Odoyo
 
aliye waambia 'District Medical Officer' = Mkuu wa Idara ya Afya ni nani?

Taratibu bw.Nziku,
hebu soma hii nukuu hapa chini halafu utuambie kati ya wewe na sisi nani anachanganya madawa??

"HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imemteua mtu asiyekuwa na taaluma ya udaktari kuwa Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo (DMO),....."
 
Nimeifuatilia kwa makini mada hii na nimependa kuchangia kidogo.
Mfumo wa Utawala wa Secta ya Afya Tanzania una mapugufu makubwa. Pamaoja na kwamba katika sekta ya afya kuna taaluma nyingi, Ikiwemo Udaktari wa binadamu, Udaktari wa meno, Ufamasia, Uuguzi, Ubwana afya, Ufundi Maabara na kadhalika lakini Daktari wa binanamu tu ndie anachukuliwa by default ndie mtawala. Kwa taarifa yenu ni kuwa huyo anayeitwa Municipality, Region au District medical officer ndiye by default mkuu wa huduma zote za Afya katika eneo lake. Hospitali karibu zote Tanzania zinatawaliwa na madaktari na ndio mfumo wetu ulivyo (Mganga Mkuu wa Hospitali).
Kwa sasa hivi hospitali ambayo ninaijua inafuata mfumo tofauti ambao ungeweza kusadia sana katika kuboresha utawala katika huduma za afya ni Muhimbili National Hospital. Bosi wa Muhimbili anaittwa Executive Director kwa hiyo anaweza kuwa mtu yeyote kwenye fani ya afya mwenye elimu ya utalwala katika fani ya afya. Chini yake anakuwapo Director of medical services ambaye lazima awe Daktari na Director of Nursing Services ambaye lazima awe Muuguzi.
Kwa taarifa yenu ni kuwa huyo muhandisi wa afya ya mazingira kama ana elimuya utawala wa sekta ya afya kwa mfumo wa sasa anaweza kuwa Exercutive Director wa Muhimbili National Hospital.
 
asante Mkuu, umesomeka vizuri sana. ndo maana hapo mwanzo mimi niliita 'kasumba' au mazoea (things as usual) katika ulimwengu wa sasa, tunatakiwa kuyakana mazoea ndipo tunaweza kuendelea.
 
Taratibu bw.Nziku,
hebu soma hii nukuu hapa chini halafu utuambie kati ya wewe na sisi nani anachanganya madawa??

"HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imemteua mtu asiyekuwa na taaluma ya udaktari kuwa Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo (DMO),....."

Mwita hujafuatilia huu mjadala kwa makini. Soma post za mwanzoni, kuna kitu hapa kinaitwa Rais = Nyerere. Pia ukitaka kujua ukweli zaidi basi fuatilia huko Shinyanga. Jamaa hajakaimu nafasi ya kitalaam amekaimu cheo cha utawala yaani Mkuu wa idara ya afya. Tatizo ndo hilo la Rais = Nyerere. Soma post zote kama unataka kujua.
 
Hayo ni majungu tu mbona kuna sehemu ambako Katibu wa Afya ambaye sio Daktari huachiwa ofisi ya DMO.

Lakini pia sishangai kusikia kuwa hakuna mtu mwenye digrii ambaye anaweza kuachiwa ofisi. Hali hii hutokana na ukweli kwamba Manispaa karibu zote huwa hazina Hospitali bali zahanati na vituo vya Afya.
 
Sishangai na Shinyanga kumteua eng. kuwa kaimu DMO. Tanzania ndivyo ilivyo, watu wanateuliwa kushika nafasi amabazo haziko katika line of descipline yao. Mfano wanajeshi wanashika nafasi kila kona ya nafasi uraiani. Kama ni nafasi tu ya utawala basi ni kwa nini wasimteue afisa utawala wa hospitali kukaimu. sekta mbalimbali na idara serikali bado zinaongozwa na watu ambao wanaingia kwa kukaimu mpaka wanastaafu!! Matokeo yake ufanisi itakuwa ni ndoto. Mbona kulikuwa na thread hapa ambayo polisi huko MUGUMU walikuwa ndiyo walimu wa wanfunzi sekondari. I wish kama ningepata matokeo ya shule husika!! God bless Tanzania
 
Nziku na wenzako wenye kuamini kwamba , madhali cheo fulani ni cha utawala, basi kila mtu anaweza hiyo kazi sikubaliani nayo, na ule mfano Muhimbili, ni Kwamba Anna Abdallah alipokuwa waziri ndio alipokuja na hiyo hoja, hivyo utaona kwamba ulikuwa uamuzi wa kisiasa zaidi ya uamuzi wa kiutawala au professional one. kwa mfano kwewnye Business administration, accounts, marketing na econimics, ni masomo yanayo endana, au kuingiliana kwa namna moja au nyingine, je itakuwa halali Mtu wa economics kumfanya Director of Finance au Mtu wa marketing awe DFA, na hata utakapo lazimisha bado kutakuwa na matatizo aidha ya kuto kukubalika au ya kitaaluma, ndipo mtu ataingizwa mkenge , anaanza kusema, by the way mimi sikusomea hiko, au fulani ndio kaniingiza mkenge. Na kumbuka kuna wakati David Jimmy Ngonya, alikuwa meneja utawala head office ya Bima, akapewa transfer Singida kama Branch Manager , kwa hiyo akawa anashughulikia Mambo yote, matokea yake alikula Pesa, na alipo ulizwa akasema, yeye ni mtu wa utawala, ulitegemea nini yeye kuwa branch manager? au leo hii unichukue Mimi kwa sababu nimesomea utawala ni kali ongoze Jeshi la polisi au JWTZ. Hivyo tukubaliane kwamba Uongozi unahitaji vitu vingi, sio elimu ya utawala tu, technical expertise kwenye field husika huongeza ladha kwa kitu unacho fanya. na ndio maana leo hii tunawapigia kelele wanasiasa wetu wanapo jiingiza katika vitu vinavyo hitaji taaluma, au wanapo jifanya wanajua saana kuliko wanataaluma, kisa wamechaguliwa na wananchi kufanya hivyo.
 
Ni jambo la kawaida, wahandisi wanafit maeneo mengi tu !!

Mmh! Wangemuweka Mechanical Engineer au Mining Engineer, sidhani kama moyo wako ungeacha kwenda mbio ... :)

Wangemueka Computer Engineer au Telecom Engineer moyo wako ungetaka kupasuka.

Moyo ungepasuka kama wangemueka Engineer in Arabic and Women Studies ... lol ... am just kidding ...
 
Nziku na wenzako wenye kuamini kwamba , madhali cheo fulani ni cha utawala, basi kila mtu anaweza hiyo kazi sikubaliani nayo, na ule mfano Muhimbili, ni Kwamba Anna Abdallah alipokuwa waziri ndio alipokuja na hiyo hoja, hivyo utaona kwamba ulikuwa uamuzi wa kisiasa zaidi ya uamuzi wa kiutawala au professional one. kwa mfano kwewnye Business administration, accounts, marketing na econimics, ni masomo yanayo endana, au kuingiliana kwa namna moja au nyingine, je itakuwa halali Mtu wa economics kumfanya Director of Finance au Mtu wa marketing awe DFA, na hata utakapo lazimisha bado kutakuwa na matatizo aidha ya kuto kukubalika au ya kitaaluma, ndipo mtu ataingizwa mkenge , anaanza kusema, by the way mimi sikusomea hiko, au fulani ndio kaniingiza mkenge. Na kumbuka kuna wakati David Jimmy Ngonya, alikuwa meneja utawala head office ya Bima, akapewa transfer Singida kama Branch Manager , kwa hiyo akawa anashughulikia Mambo yote, matokea yake alikula Pesa, na alipo ulizwa akasema, yeye ni mtu wa utawala, ulitegemea nini yeye kuwa branch manager? au leo hii unichukue Mimi kwa sababu nimesomea utawala ni kali ongoze Jeshi la polisi au JWTZ. Hivyo tukubaliane kwamba Uongozi unahitaji vitu vingi, sio elimu ya utawala tu, technical expertise kwenye field husika huongeza ladha kwa kitu unacho fanya. na ndio maana leo hii tunawapigia kelele wanasiasa wetu wanapo jiingiza katika vitu vinavyo hitaji taaluma, au wanapo jifanya wanajua saana kuliko wanataaluma, kisa wamechaguliwa na wananchi kufanya hivyo.

Mkuu wangu August na wengine wanaoamini kama wewe kuna kitu mnamiss. Mkuu mimi sijasema kwamba mtu aliye soma utawala anaweza kushika cheo cha utawala sehemu yeyote.

Nilichokiandika na ninachokiamini ni kwamba Idara yenye sections kadhaa au taluma kadhaa hakuna u-monopoly wa section moja kutoa Mkuu wa idara upo hapo?

Nimeeleza kwa undani kuhusu sections za idara ya afya na ni nani anaweza kuwa Mkuu wa Idara.

Nilikwenda mbali zaidi kueleza Idara ya Kilimo yenye section za mifugo, mazao, uhandisi kilimo (agromechanics) na ushirika. Yaani kuna maafisa kilimo, madaktari wa mifugo, wahandisi kilimo na maafisa ushirika. Pia nimeeleza juu ya idara ya mipango miji ambayo sections zake ni Mipango Miji, Menejimenti ya Ardhi, Uthamini, upimaji na ramani (surveyors) na misitu/mazingira. Taluma ya sections hizo zote ni tofauti na kwa mfano degree ya kila moja hapo ni miaka minne. Sasa you can't fool me kwamba ni section moja tu kati ya hizo ndiyo yenye haki ya kutoa Mkuu wa Idara na wengine watakuwa subordinates milele licha ya kwamba wanaelimu na ujuzi wa kutosha.

You are missing a point my brother. Try to rethink. Halafu pia angalia mfumo wa Halmashauri zetu ulivyo.

Anyway, to make it clear niambie ni nani anapaswa kuwa Mkuu wa Idara ya Afya? Huku ukizingatia kwamba watalaam waliopo katika idara hiyo ni madaktari, maafisa (Bw. Bibi) afya, maafisa ustawi wa jamii na sanitation engineers).
 
Jibu ni Daktari,kwa kufafanua tu ktk Curriculum za masomo ya Udaktari wa Binaadamu kuna masomo ya Public Health,Health management,Health statistics na epidemiology ambapo ndani yake wanachomekea sylabus au masomo ya utawala na kumuandaa mhusika kuwa mtawala ktk ngazi fulani na hivyo vivyo kwa Medical Assistant(Tabibu msaidizi) na kwa Assistant Medical Officer(Daktari Msaidizi)Kila mmoja anaandaliwa kwa level yake. Tabibu pamoja na utabibu anasomea na anaandaliwa kuwa Mtawala wa Health Center (Kituo cha Afya),AMO anaandaliwa pamoja na usaidizi wa udaktari ktk Tiba anandaliwa vile vile kuwa Mganga mkuu wa Tiba wa hospitali ngazi ya wilaya(Medical Officer Incharge), endapo hakuna MD Na vile vile DMO (Mganga Mkuu wa Wilaya endapo Hakuna MD) Na vile vile kutokana na hali ya kutaka kubweresha utawala wa Afya wizara iliwapeleka DMO wengi kwenda kuchukua elimu ya utawala wa afya kwa kupitia taaluma ya Public Health ambapo ndani ya mtaala huo kuna elimu ya utawala wa afya pamoja na kwamba vilevile kuna kozi za Health Management ,Health Statistics ,Health care management zinazojitegemea lakini ktk mtaala huu wanayaweka ndani ya sylabus na kumuandaa Daktari kuwa Leader,Manager,Coordinator na Mtawala ktk Fani ya Tiba ya Afya na Afya ya jamii.Hii imepelekea teuzi nyingi zinazofanyika sasa za DMO pamoja na kuwa MD bado unatakiwa uwe na MPH (Master of Public Health) ikitokea hakuna mtu mwenye sifa husika au kwasababu mbali mbali bado MD ,AMO Na DDS (Doctor of dental Surgery) na ambao vile ktk mitaala yao wanandaliwa kuwa watawala wa afya ili kushika nyadhifa za mganga mkuu wa meno wa wilaya (DDO) na wao pia kwasasa ktk hali ya wizara kubweresha huduma za utawala wa afya wanatakiwa wawe na MPH.Kama nilivyoanisha awali ikitokea Hakuna mwenye sifa ya nyongeza(additional qualification,yaani MPH na the likes) mzunguko wa nani ashike hiyo nafasi unajirudia kama nilivyoanisha awali.Kuna hata AMO Ambao walikuwa DMO ili kwenda na wakati wengine walienda kusomea MPH au DPH (Diploma of Public Health)ili wasipoteze hizo nafasi na walioamua hivyo kwa hawa AMO walijisomesha kwa kujilipia wenyewe.
 
Mkuu Mtindiowaubongo, let me make a summary.
Katika Idara ya afya kuna maafisa/wataalamu wafuatao:-
Ma-daktari, Ma- Bw./Bi. Afya, Ma- afisa ustawi wa jamii na Ma-sanitary engineer.
Katika hizo clusters kuna wakuu wa section wafuatao
1. Daktari wa Wilaya (Mkuu wa section ya Tiba)
2. Bw./ Bi./ Afisa afya wa Wilaya (Mkuu wa section ya Kinga)
3. Afisa Ustawi wa Jamii wa wilaya (Mkuu wa section ya ustawi wa jamii) na
4. District sanitation engineer (Mkuu wa sanitation section)

Kati ya hawa wakuu wa section yeyote anaweza kuwa Mkuu wa idara ya afya. Sasa kwa Shinyanga nafasi hiyo inakaimiwa na sanitation engineer.

Tatizo hapa ni kasumba yetu ya kumwita Rais ni Nyerere. Kwamba huyu jamaa, mwandishi wa habari husika, wewe nk, mnamwita Mkuu wa idara ya afya ni DMO. Hili ni tatizo kwa nchi nzima na idara zote. Ndo maana maboresho ya Serikali za mitaa yalitaka ku-harmonize hilo. sijui wamefikia wapi.

Wewe kama unataka uuhakika wasiliana na watu wa Shinyanga wakueleze vizuri kama huyo Mhandisi ni Mkuu wa section ya Tiba au mkuu wa idara. Wenyeji wa Shinyanga tunalijua hilo vizuri.

anyway, nimejitahidi sana kulieleza kwa upana na mifano mingi tu. Ni vema pia kupitia makala za Karugendo juu ya Mfumo wa Serikali za Mitaa. Otherwise, pitia ripoti za oHalmashauri mbalimbali na uwahoji wahusika.

You can't fool me that a sanitary engineer awe subordinate milele katika idara yake tena awe chini ya watu wasio na degree na yeye anadegree eti kwasababu tu kitengo chake kipo ndani ya idara ya afya yenye madaktari au Medical Officers na Assistants wao. LOL
Daktaria ndiyo mkuu wa hao wote uliowataja hapo ki wilaya kwenye Idara ya Tiba na wanapewa mafunzo ktk mitaala yao ya kiutawala wa kucoordinate wote uliowataja na hata DNO(District Nursing Officer).
 
Hivyo ndo unavyojua wewe, si lazima iwe kweli. Lakini hujasema sahihi kuhusu Idara ya tiba. Katika mfumo wa Halmashauri zetu hatuna idara ya tiba ila tuna section ya tiba. Pia Nursing siyo section ni subsection ndani ya section ya tiba. Ninavyokusoma bado upo kwenye tatizo lile lile la kutokuujua mfumo wa Halmashauri na kushindwa kutofautisha kati ya idara ya afya na section ya tiba. Unapswa kukumbuka kuwa mfumo wa hospitali ni tofauti na mfumo wa halmashauri. Halmashauri zina wataalam wengi wa fani mbalimbali. Bwana afya wa wilaya, afisa ustawi wa jamii wa wilaya na district sanitation engineer hawafanyi kazi hospitalini. Wala daktari haingii na kufanya kazi kwenye ofisi zao. TAMISEMI imeweka mfumo wa idara ili kuziunganisha fanii zinazofafa kwa karibu. Hakuna taluma superior na inferior, taluma zote zipo sawa.

Hivyo si kweli kwamba Bwana afya mwenye PhD atakuwa subordinate wa daktari mwenye AMO.
 
katika tafuta tafuta yangu nimekutana na Guideline for Reforming Hospitals at Regional and District Levels na nikaona niiweke hapa nadhani kuna watu watapenda kuipitia
 
Attachments

  • Guideline for reforming hospitals at regional and district level.pdf
    799.6 KB · Views: 51
Hivyo ndo unavyojua wewe, si lazima iwe kweli. Lakini hujasema sahihi kuhusu Idara ya tiba. Katika mfumo wa Halmashauri zetu hatuna idara ya tiba ila tuna section ya tiba. Pia Nursing siyo section ni subsection ndani ya section ya tiba. Ninavyokusoma bado upo kwenye tatizo lile lile la kutokuujua mfumo wa Halmashauri na kushindwa kutofautisha kati ya idara ya afya na section ya tiba. Unapswa kukumbuka kuwa mfumo wa hospitali ni tofauti na mfumo wa halmashauri. Halmashauri zina wataalam wengi wa fani mbalimbali. Bwana afya wa wilaya, afisa ustawi wa jamii wa wilaya na district sanitation engineer hawafanyi kazi hospitalini. Wala daktari haingii na kufanya kazi kwenye ofisi zao. TAMISEMI imeweka mfumo wa idara ili kuziunganisha fanii zinazofafa kwa karibu. Hakuna taluma superior na inferior, taluma zote zipo sawa.

Hivyo si kweli kwamba Bwana afya mwenye PhD atakuwa subordinate wa daktari mwenye AMO.
Unataka kuendeleza ubishi una standing order ya local government lete hapa tuuzime huu ubishi ,mimi sinayo kwasasa ,Msaada kwa wengine naomba mwenye uwezo wa kupata muongozo wa serikali za mitaa na halmashauri atusaidie kutuletea hapa.
Kuhusu hao mabwana afya wenye Ph.d tunao wangapi hapa bongo hata hao wenye degree ni wangapi?Nani alikuambia daktari anaingia kwenye hizo ofisi za jamaa tulichokuwa tunakisema hapa ni engineer kupewa Kukaimu Uganga Mkuu wa wilaya je standing order ndivyo ilivyo?Kwanza hata hiyo ofisi ya mganga mkuu wa wilaya si lazima iwe hospitali inaweza kuwa hukohuko kwenye ofisi za halmashauri kwasababu kazi yake ni ya utawala ndani ya hiyo section ya tiba.
 
asante kwa kuelewa, kuna idara ya afya na section ya tiba. Huko kwenye section ya tiba daktari ndiyo bossi pasipo shaka.

Otherwise naomba tupanue hoja nani anastahili kuwa Mkuu wa idara zifuatazo katika Halmashauri.
1) Fedha (Accountants, Business Management, Procurement/Supplies)
2) Utumishi (Public Administration, Human Resource Management)
3) Mipango Miji/Ardhi (Town planning, Survey, Valuation, Land Management)
4) Kilimo (Veterinary, Kilimo, Ushirika, Agro-mechanics, landuse planning)
5) Elimu (academics, Culture, adult education)
6) Ujenzi (Mechanics, Civil engineering, architecture, water supply)
7) afya (Health, Medical, social welfare, sanitation engineering)

NB: Kwenye mabano ni taaluma za watumishi waliopo ndani ya idara husika.
 
Last edited:

Nziku, Kazi kipimo cha Utu amekutaka ulete muongozo wa halmashauri wewe umekuja na pendekezo/swali ni nani awe mkuu wa kitengo kama ulivyo ainisha hapo juu.....
Sasa hapa ni kwenda mbele au tunabakia hapo hapo kutwanga maji kwenye kinu?
Ukiachia hayo nimejarabu kusoma muongozo uliowekwa na mchangiaji kabla ya Kazi ni Kipimo cha utu, kifingu 3.52? page 32 kwamba mtu anaye faa na vitu vitatu
1. uwezo wa uongozi
2. techinical expertise
3 sikumbuki.
Sasa ukifuata huo muongozo utaona environmental engineer/sanitation engineer atakuwa na mapungufu katika technical expertise ya medical , na mahali kwingine muongozo huo wa wizara mpaka halmashauri umeonyesha kwamba Daktari ndio atakuwa mkuu wa idarakurugenzi, sasa hapa tunaweza kusemea kwenye idara/ kurugenzi ya tiba na hiyo nyingine ya afya
Sasa tukirudi nyuma kwenye mada ya huyu environmental engineer tunazungumzia idara/kurugenzidirectorate ipi ya afya pekee yake au ya tiba pekee yake au zote ziko pamoja? i.e ya Afya ambayo ina ikitengo cha tiba? ambayo mwanzo ilikuwa inaongozwa na Daktari?
Sas Ukizungumzia halmashauri enzi zile walikuwa na hizo kurugenzi/idara ya afya na ya tiba, na ikiwa ni hivyo tiba ni daktari na afya atakuwa huyo jamaa wa enironment/sanitation na collection ya gabbage.
Sasa ili wewe na mimi tuchangie vizuri , ni vizuri tukaelezana vizuri huyo jamaa wa Shinyanga ana kaimu idara/kurugenzi ipi na tusijifiche kwenye maneno au lugha za idara,kitengo labda directorate, section, sub-section ndio maana nikatumia hayo maneno mawili kwa pamoja ili kuondoa mkanganyo (idara/kurugenzi)etc. au nijaribu kuweka hivi kutakuwa na kurugenzi/directorate halafu idara/section, kitengo/sub-section sasa hapa nipo tayari kurekebishwa
 
Mkuu August, naomba kujibu hoja zako.

1. Kuhusu kuleta Mwongozo:
Kwanza ieleweke kwamba mimi ninatoa mawazo yangu kama mchangiaji hapa JF. Ninachangia ninachokijua, siwakilishi Serikali wala organ fulani. Hivyo si lazima nilete Mwongozo kama jamaa alivyotaka. Ningelikuwa na huo mwongozo ningeuleta.

2. Kuhusu mwongozo wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ulioambatanishwa katika thread hii.
Mwongozo huo unahusu Hospitali na siyo Halmashauri. Unapaswa kutofautisha mfumo uliopo ndani ya Wizara ya Afya/Hospitalini na ule wa halmashauri ambao unasimamiwa na TAMISEMI. Halmashauri zina mkusanyiko wa taaluma mbalimbali zenye Wizara zake mama na zenye miongozo mbalimbali. Sasa Idara ndani ya Halmashauri zimewekwa kwa kufuata mahitaji na kushabihiana kwa shughuli za taaluma mbalimbali. Zaidi ni kwamba idara katika Halmashauri zimewekwa ili kumsaidia Mkurugenzi wa Halmashauri kutimiza majukumu yake vizuri. Nataka ujue kuwa mwongozo uliowekwa hapo juu hauna cha kufanya na mfumo wa madaraka katika Halmashauri. Hivyo mhandisi wa sanitation hana kitu cha kufanya hospitalini, yeye anakuwa Mkuu wa idara tu. Dude, even Medical doctor has nothing to do in the office of sanitation engineer. Mkuu wa idara ana-coordinate kazi za wataalamu waliopo katika idara yake, siyo kufanya technical job, kama ni technical job atafanya zile za kwenye fani yake tu.

Ngoja nikupe mfano: Land surveyor akiwa Mkuu wa idara ya Mipango Miji, hawezi kufanya kazi za town planning, wala uthamini au land management. Kwa kazi za kitaalamu atafanya zile za survey tu.

3. Kuhusu kurudisha nyuma mjadala
wewe ndo unafanya hivyo kwani haya tulisha yaongelea katika post za huko nyumba. Ukisoma post zangu zote nimejitahidi sana kuelezea suala la Mkuu wa idara.

Kumbuka nimeeleza huko nyuma kwamba nilishashika nafasi zote hizo mbili huko nyuma. Hivyo ninauzoefu wa mfumo wa madaraka katika Halmashauri. Najua mgawanyo ulivyo pamoja na majukumu ya kila mmoja.

Pia nimekwisha eleza huko nyuma kwamba ninajua kinachoendelea Shinyinga, kwamba mhandisi huyo hajakaimu nafasi ya uganga hospitalini bali nafasi ya Mkuu wa idara ya afya. Meya wa Manispaa ya Shinyanga ameeleza (post no.1) kwamba nafasi aliyoishika jamaa inatakiwa ishikwe na mtu mwenye degree. Kwakuwa section zingine (pamoja na tiba) hakuna mwenye degree basi ni haki kwa huyo jamaa kushika nafasi hiyo.

Kumbuka kwamba hoja yangu hapa ni kupinga kasumba ya kwamba profession fulani ipo ili kutawala zingine. Tatizo hili halijawa kwa idara ya afya tu bali idara zote. Ndo maana nikaeleza kwamba nilishasoma miongozo ya Local Government Reform Program, moja wapo ya malengo ilikuwa ni kupitia mfumo wa Halmashauri ili halmashauri zote ziwe na idara zinazolingana (idara 8) na majina ya wakuu wa idara. Kwasasa wanaitwa kihuni kwa mfano mkuu wa idara ya afya anaaitwa Daktari wa wilaya (hata kama ni sanitation engineer), mkuu wa idara ya kilimo anaitwa Afisa kilimo wa wilaya (hata kama ni daktari/veterinary au mhandisi/agro-mechanics), Mkuu wa idara ya Mipango miji anaitwa Afisa Mipango miji wa wilaya (hata kama ni land officer au surveyor). Mkuu wa idara ya ujenzi anaitwa Mhandisi wa wilaya (hata kama ni architect). Nikasema sijui program ya mmaboresho imefikia wapi kwani sipo Tz kwa muda mrefu sasa.

Mkuu hivyo ndivyo ilivyo kwa manispaa ya Shinyanga. Nimetoa hoja kwa yeyote anayedhani kuwa madaktari hata kama ni AMO anahaki ya kuwa Mkuu wa idara ya Afya yenye Bwana Afya mwenye degree, sanitanion engineer mwenye degree na Afisa ustawi wa jamii mwenye degree, aseme hizo idara zingine nani mwenye haki ya kuwa Mkuu wa idara.
 
sasa tufupishe hii hadithi, sasa kwa kuwa umesoma hiyo local government programme basi ingetuwekea hizo idara/kurugenzi 8 zilizopo kwenye halmashauri, na pia kuangalia nini kinafanyika hapo shinyanga. kama zipo hizo idara/kurugenzi nane na kama sivyo tuone hayo mapungufu na jinsi ya kujadili hili suala.
 
Back
Top Bottom