Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Katika hali isiyo ya kawaida kuna kumekuwepo na ujanja ujanja unaotumiwa na baadhi ya mahakama na mahakimu kumpatia kosa mtuhumiwa la kutofika mahakamani ili iwe kisingizio cha kumtia ndani Mshitaki au mshitakiwa.
Hii ili hoja hii iondoke hapo ktk umbwe hilo ni vema sasa Mahakama zetu nchini zikawa na vitabu vya kusaini mshitaki na mshitakiwa hii itaondoa yale mambo yanayoitwa
Mahakama imezungumzwa juzi ww unakuja leo. Na ipo tabia ya kuwapangia tarehe tofauti ili kunganya upande unaoonekana unaelekea kupata haki.
Mh Rais wa Awam ya 5 ni kiboko cha wapindisha haki. Hapo ni pabaya.