😅😅😅kwani jamaa ameshaanza kuteua wahadhiri wa vyuo tofauti na udsm
Yule naamini kbs damu ya Magu haijampenda kbs anaishia kuuza sura runinga yao ya tbccm bhaasi...sura zitoooo😅Hivi yule wa kwetu dr.bana aliendaga wapi
Hv RC mbeya alikua mhadhiri?Tayari.Reference:RC Mbeya
Yule naamini kbs damu ya Magu haijampenda kbs anaishia kuuza sura runinga yao ya tbccm bhaasi...sura zitoooo
😆😅😅hakosoagi yule hata siku 1...hata wakat wa matokeo ya 2015 kwa kila mkoa alikia akisikia chadema inaongoza anasema muwe na subira kura bado hazijahesabiwa zote😅😅..yaan huyu hajijui magu hamfagilii wala nnBasi kipindi cha.teuzi teuzi alikuwa anajitahidi sana kutoa hoja zake kuitetea ccm lakini jamaa hata hajaangaika nae
😆😅😅hakosoagi yule hata siku 1...hata wakat wa matokeo ya 2015 kwa kila mkoa alikia akisikia chadema inaongoza anasema muwe na subira kura bado hazijahesabiwa zote😅😅..yaan huyu hajijui magu hamfagilii wala nnBasi kipindi cha.teuzi teuzi alikuwa anajitahidi sana kutoa hoja zake kuitetea ccm lakini jamaa hata hajaangaika nae
😆😅😅hakosoagi yule hata siku 1...hata wakat wa matokeo ya 2015 kwa kila mkoa alikia akisikia chadema inaongoza anasema muwe na subira kura bado hazijahesabiwa zote😅😅..yaan huyu hajijui magu hamfagilii wala nnBasi kipindi cha.teuzi teuzi alikuwa anajitahidi sana kutoa hoja zake kuitetea ccm lakini jamaa hata hajaangaika nae
Kweli mkuu niombee msamaha kwa Dr. Shika kwa kumshusha kiasi hicho.Wana tofauti mkuu....usimfananishe Dr shika na vitu vya kipumbavu....
Facts ipi anataka zaidi ya wapinzani kupigwa Risasi kubambikiwa kesi, porojo wanazo hao wahadhiri uchwara na vilaza, huko CCM wamepagawa ingawa wanazuga hawaumii lakini watanzania wanajua CCM hawapati usingizi hususani mwenyekiti ambaye ni mrundi na katibu mkuu ambaye ni mnyarwanda CCM inaongozwa na raia wa nchi jiraniAkitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Yeyote anayejiita msomi akiwa ni kada wa CCM hujitoa fahamu zote na kichwani kusalia na Elimu ya darasa la nne kama profeseli single zee Lipumba, wanaojiita wasomi huko CCM wengi ni wasomi magumashi wamenunua vyeti hawana taaluma vichwani mwao.Dr mligo sasa kachambua nn zaid ya kuweka vocabulary 2 za kawaida, anaweza akawa na PhD ya divinity huyu mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo hivyo Mungu aturehemu!Hv RC mbeya alikua mhadhiri?
Hivyo hivyo Mungu aturehemu!
Duu huu usomi huu wa ajabu sana, yaani unamkosoa mwenzako for arguments you call hazina facts ila wewe mkosoaji unakosoa on the same grounds using sweeping statements why don’t you put facts to prove him wrong with facts?Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Wewe nae unajiita msomi wa CCM? Maana inaelekea ni mbulula kuliko hata hao wasomi feki, Nani anamkomoa mwenzake? Wakati magufuli anawatuma mkampige Risasi hamkujua kama nchi itachafuliwa? Kama mnategemea misaada mbona mlimfanyia unyama wenu mpaka kusababisha awepo huko sasa, kisababishi cha yote ni wewe na magufuli kumshambulia Tundu Lisu kwa Risasi, kujinadi kwa wazungu kivipi? Kama wewe usingekuwa umempiga Risasi angekuwa huko sasa? Acha kuvuta bangi kabla hujaandika fikra zako binafsi, kaa ukijua chanzo cha yote ni wewe na viongozi wako wa CCM kama sio ushetani wenu leo Tundu Lisu asingekuwepo huko Ulaya, acheni kuandika ujinga wenu.Anachofanya Lisu ni kujaribu kumkomoa Mh. Rais kwa kuisema mabaya kwa wadau wa maendeleo ili nchi ikose misaada jambo ambalo ni la aibu sana kwani tukikosa fedha wanaoathirika ni pamoja na wananchi wa jimbo lake. Pia harakati zake hizo zinafeli kwa sababu hana hoja za msingi za kuichafua nchi . Sidhani kama ana nia kweli ya kugombea urais kwani angerudi na kufanya siasa za kujinadi kwa wananchi kuliko kujinadi kwa wazungu.