Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa amjibu mhadhiri wa UDOM kuhusu kelele za Tundu Lissu

Basi kipindi cha.teuzi teuzi alikuwa anajitahidi sana kutoa hoja zake kuitetea ccm lakini jamaa hata hajaangaika nae
😆😅😅hakosoagi yule hata siku 1...hata wakat wa matokeo ya 2015 kwa kila mkoa alikia akisikia chadema inaongoza anasema muwe na subira kura bado hazijahesabiwa zote😅😅..yaan huyu hajijui magu hamfagilii wala nn
 
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Facts ipi anataka zaidi ya wapinzani kupigwa Risasi kubambikiwa kesi, porojo wanazo hao wahadhiri uchwara na vilaza, huko CCM wamepagawa ingawa wanazuga hawaumii lakini watanzania wanajua CCM hawapati usingizi hususani mwenyekiti ambaye ni mrundi na katibu mkuu ambaye ni mnyarwanda CCM inaongozwa na raia wa nchi jirani
 
Dr mligo sasa kachambua nn zaid ya kuweka vocabulary 2 za kawaida, anaweza akawa na PhD ya divinity huyu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeyote anayejiita msomi akiwa ni kada wa CCM hujitoa fahamu zote na kichwani kusalia na Elimu ya darasa la nne kama profeseli single zee Lipumba, wanaojiita wasomi huko CCM wengi ni wasomi magumashi wamenunua vyeti hawana taaluma vichwani mwao.
 
Anachofanya Lisu ni kujaribu kumkomoa Mh. Rais kwa kuisema mabaya kwa wadau wa maendeleo ili nchi ikose misaada jambo ambalo ni la aibu sana kwani tukikosa fedha wanaoathirika ni pamoja na wananchi wa jimbo lake. Pia harakati zake hizo zinafeli kwa sababu hana hoja za msingi za kuichafua nchi . Sidhani kama ana nia kweli ya kugombea urais kwani angerudi na kufanya siasa za kujinadi kwa wananchi kuliko kujinadi kwa wazungu.
 
Huyu nae msomi au mfia chama? Mbona yeye hajaweka huo utafiti aliofanya? Shida sana ukiwa msomi na ukaamua kuietetea ccm. Kule kuna wafaa watu kama kibajaji na msukuma na yule jamaa wa morogoro wa sanamu la diamond hao hakuna shida ni uelewa wao ila shida inakuja unapojiita msomi.
Mwambieni teuzi atapata tu asijitoe akili kiasi hicho akimbuke kuna kesho
 
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Duu huu usomi huu wa ajabu sana, yaani unamkosoa mwenzako for arguments you call hazina facts ila wewe mkosoaji unakosoa on the same grounds using sweeping statements why don’t you put facts to prove him wrong with facts?
 
Anachofanya Lisu ni kujaribu kumkomoa Mh. Rais kwa kuisema mabaya kwa wadau wa maendeleo ili nchi ikose misaada jambo ambalo ni la aibu sana kwani tukikosa fedha wanaoathirika ni pamoja na wananchi wa jimbo lake. Pia harakati zake hizo zinafeli kwa sababu hana hoja za msingi za kuichafua nchi . Sidhani kama ana nia kweli ya kugombea urais kwani angerudi na kufanya siasa za kujinadi kwa wananchi kuliko kujinadi kwa wazungu.
Wewe nae unajiita msomi wa CCM? Maana inaelekea ni mbulula kuliko hata hao wasomi feki, Nani anamkomoa mwenzake? Wakati magufuli anawatuma mkampige Risasi hamkujua kama nchi itachafuliwa? Kama mnategemea misaada mbona mlimfanyia unyama wenu mpaka kusababisha awepo huko sasa, kisababishi cha yote ni wewe na magufuli kumshambulia Tundu Lisu kwa Risasi, kujinadi kwa wazungu kivipi? Kama wewe usingekuwa umempiga Risasi angekuwa huko sasa? Acha kuvuta bangi kabla hujaandika fikra zako binafsi, kaa ukijua chanzo cha yote ni wewe na viongozi wako wa CCM kama sio ushetani wenu leo Tundu Lisu asingekuwepo huko Ulaya, acheni kuandika ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom