Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

Huyo Vicensia ahojiwe labda na yeye alipitia masahibu ya kuombwa rushwa ya ngono.
 
Huyu Mhadhiri ni mjinga. Ngono kwa jamii kubwa kama UDSM ni kitu muafaka kabisa kosa kama zinahusianishwa na marks . Angefanya tafiti ndogo ikiwa ni kweli ngono hizo zinahusianishwa na marks halafu aanzishe action followup. Halafu ufaulu hautazami kozi moja au 2 je wanahonga wote kozi saba nane. Naona sana huyu Mama ana wivu wa kupita umri wa mvuto.
Mjomba naona ukiwa lecture kwenye shule ya wakina mama hautahitaji mshahara.
 
Ila cha ajabu haya mambo hayapo kwa wenzetu waasisi wa hizi taasisi huko mamtoni! Kule unafundishwa kama upo chekechea na usipoelewa mwalimu anajiskia vibaya sana. Dhamira yake huwa wote mu pass with flying colors ila kwetu huku mkifaulu darasa zima mhadhiri anaumia! Anataka awakomoe tu ili aonekane sijui ndio msomi sana wakati nae kapitia system hizo hizo za ufundishwaji, yani kufaulu kirahisi kwao huwa inawauma sana lazma wawaumize na complication ambazo hazina mantiki na hatimae wengine wanaishia kugongwa in the process!
Hilo tatizo lipo dunia nzima. Tofauti ni viwango tu. Hio me too movement haikuanza kwa bure.
 
Back
Top Bottom