Mhadhiri Chuo Kikuu UDOM auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe kwa wivu wa mapenzi

Hili pepo la mauaji ya "couple" limejitokeza kwa kasi ndiani ya mwezi matukio zaidi ya 3 ? why?
Takwimu zinaonyesha kutoka 2016- may 2018 wanandoa zaidi ya 341 wameuana.
Na kwa trend ya 2018 inaweza vuka miaka hiyo miwili maana Karibu kila wiki kuna tukio la kuana wanandoa moja au mawili.
Na hayo ni Yale yanayofikishwa kwenye vyombo vya sheria na kumulikwa na vyombo vya habari je ambayo hayapati nafasi ya kupenya nayo huenda yakawa ni mengi pia.

Tujitathmini, tujitafakari na tujirekebushe
 
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kuwa kiini ni sheria

1. Yule aliyeamua kusema kuwa makosa ya ugoni yawe civil badala ya crimanal ndio anayeleteleza yote haya

2. Unakuta mtu kahangaika na mke wake wamepitia katika vipindi vigumu halafu linaibuka limtu linamchota akili watu simply wanasema ni "WIVU WA MAPENZI" wivu vipi wakati ni halali ni mke halali yake?

3. Hakuna kitu ambacho kinamsababishia mwanaume provocation ya hali ya juu anapomkuta mke wake ambaye anamwamwini kuwa hawezi kumsaliti akiwa In flagrante delicto na lijamaa ambalo analijua ni la hovyo, ama ni adui yake ama ni ligonjwa lisambazaji.

4. Polisi katika criminal channel pamoja na ndio sehemu pekee ambapo mtu aliyefanyiwa unyama wa kutafuniwa mwenza wake anaamini angalau ingeweza kumpa relief anaposikia jamaa lipo ndani linanyea ndoo. Sasa anapofika polisi na kuambiwa ni madai akadai talaka ama fidia mahakamani ndio huishiwa nguvu kabisa.

5. Ninalishauri bunge ili kupunguza mauaji ya namna hii itengeneze makaosa ya jinai kwenye masuala ya ugoni. Tena ule unaothibitishwa kuwa ni In flagrante delicto uwe non bailable. Hii itapunguza hizi provocation za wanandoa
 
Kila mwanaume Kuwa na wake wawili hii haitasaidia????
 
Hata wangekuwa 20. Kuna watu lengo lao ni kukomoa tuu asa akishaungua anataka aondoke na mtaa mzima. Mwingine anaona ufahari kwamba kila mwanamke mzuri anayemwona, ama akimwona jamaa anaheshimiana na mke wake kwa makusudi anaingilia kati kuchungulia kuna nini
 
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kuwa kiini ni sheria

1. Yule aliyeamua kusema kuwa makosa ya ugoni yawe civil badala ya crimanal ndio anayeleteleza yote haya

2. Unakuta mtu kahangaika na mke wake wamepitia katika vipindi vigumu halafu linaibuka limtu linamchota akili watu simply wanasema ni "WIVU WA MAPENZI" wivu vipi wakati ni halali ni mke halali yake?

3. Hakuna kitu ambacho kinamsababishia mwanaume provocation ya hali ya juu anapomkuta mke wake ambaye anamwamwini kuwa hawezi kumsaliti akiwa In flagrante delicto na lijamaa ambalo analijua ni la hovyo, ama ni adui yake ama ni ligonjwa lisambazaji.

4. Polisi katika criminal channel pamoja na ndio sehemu pekee ambapo mtu aliyefanyiwa unyama wa kutafuniwa mwenza wake anaamini angalau ingeweza kumpa relief anaposikia jamaa lipo ndani linanyea ndoo. Sasa anapofika polisi na kuambiwa ni madai akadai talaka ama fidia mahakamani ndio huishiwa nguvu kabisa.

5. Ninalishauri bunge ili kupunguza mauaji ya namna hii itengeneze makaosa ya jinai kwenye masuala ya ugoni. Tena ule unaothibitishwa kuwa ni In flagrante delicto uwe non bailable. Hii itapunguza hizi provocation za wanandoa
Yeah uko sahihi.
Lakini kwa sababu mauaji haya chanzo siyo kimoja kuna sababu nyingi sana zinazochangia.
Lakini nafikiri ni vema taasisi inayoitwa familia ikamulikwa vizuri na Sera zetu vinginevyo tutaendelea kushuhudia taasisi hii ikiendelea kuwa katika mtanziko Mkubwa
Suala la ugoni likipewa hadhi ya criminal offence utapunguza tu lakini haitaondoa mauaji haya kwa sababu Mara nyingi hutokea bila watu kupelekana mahakamani.

Mimi nafikiri suluhisho la tatizo hili ni social siyo legal
 
MUNGU anasema ishini nao kwa akili
Hali siyo nzuri sana japo wanawake ndiyo waathirika wakubwa kuliko wanaume
IMG-20180603-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom