TANZIA Mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi, Dkt. Job Chaula afariki dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi umetangaza msiba wa Mhadhiri wake katika skuli ya Earth Sciences, Real Estate, Business and Informatics (SERBI), Dkt. Job Asheri Chaula kilichotokea leo katika hospitali kuu ya Taifa Muhimbili.

Dkt. Chaula ni mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili Jenifer Mgendi ambaye walifunga ndoa mwaka 1998 na kubarikiwa kupata watoto watatu (Jotham, Jeftah na Joan)

Dr chaula asheri.jpg

46442597-2f24-4bc0-8a30-471be80d394e.jpg
 
Aisee huyu jamaa anaondoka na wahadhiri na watumishi wote wa chuo Kikuu Ardhi. Jamaa alianza kuonesha dalili za korona akiwa hitech hospital wakakosa mashine za kumuekea coz alikuwa hawezi kupumua na presha ilimpanda gafla. Juzi wakamleta muhimbili jana at leats akaonesha dalili za kutoboa watumishi kama wote wa chuo kikuu Ardhi wakajazana kwenye ambulance ya chou chao kwenda kumuona mpaka jioni wakarudi ma ofisini kupiga kazi kama kawaida.Asubuhi Jamaa akamaliza safari yake habari ndio hizo. VC Ardhi jipange sasa kwa misiba mzee baba wewe acha watumishi wako waendelee kukomaa maofisini kama makubwa hutoyaona. CICT yote wataondoka, SERBI yote wataondoka, Management yote wataondoka nasikia pia mke wake yuko hoi kinyama.
 
Back
Top Bottom