Mhadhiri Bakari Mohammed wa Mzumbe University amjibu JK kisayansi!

Watanzania vipi tena? Umekuwa kama SANTURY ya VYNIL iliyokwama ..... Kwa nini unasema ..... kwa nini unasema ...... kwa nini unasema ......

Mchambuzi shule yake nimeikubali. Kama ni hesabu basi jamaa kweli zinashuka. Vile vitabu vya KIJANI vya hesabu naona alicheza navyo sana na akaelewa bila kukariri.........
Sasa tuone akina Makamba wakimjibu kuwa jamaa ANADANGANYA......
 
Mfanyakazi anatumia kwa siku wastani 1000/- (20000 kwa mwezi), kwa nauli, 1000/- chakula cha mchana (chips kavu ni 20000 kwa mwezi), pango la familia ya watu wanne 80000/-, bili ya umeme 20000/- kwa mwezi, bili ya maji 37500/- kwa mwezi, gunia la mkaa ni 25000/- halitoshi mwezi mzima. Kilo ya mchele ni 1400, kubana matumizi inabidi kula wali kwa siku 15 kati ya 30 za mwezi ambapo pishi la kilo moja na nusu litatosha watu 6 (jumla ni 31,000/= kwa mwezi). Mfanyakazi huyu ana watoto 3 wanaosoma shule ya sekondari, kila mmoja wao anahitaji at least 500/ kwa ajili ya nauli na maji ya kunywa kwa kutwa nzima wa siku 20 za mwezi (30000/-). Sukari na groceries nyingine ni at least Tshs 40000 kwa mwezi. Hizi basic needs jumla ni 303500/-. Bado P.A.Y.E, PPF na NHIF.

Msharara wa Tshs 315000 kiukweli hautoshi kutimiza mahitaji muhimu kwa mfanyakazi wa serikali ya Tanzania. Ndio maana wafanyakazi hawa hawawajibiki, waomba rushwa na wezi. Hawana motisha. JK hizi ni zama za ubepari mamboleo, si zama za ujamaa na kujitegemea ambapo watu walikuwa wakijitolea na kufanya kazi kwa wito.
 
Watanzania vipi tena? Umekuwa kama SANTURY ya VYNIL iliyokwama ..... Kwa nini unasema ..... kwa nini unasema ...... kwa nini unasema ......

Mchambuzi shule yake nimeikubali. Kama ni hesabu basi jamaa kweli zinashuka. Vile vitabu vya KIJANI vya hesabu naona alicheza navyo sana na akaelewa bila kukariri.........
Sasa tuone akina Makamba wakimjibu kuwa jamaa ANADANGANYA......

Makamba yupi? Mkubwa au mdogo? Anyway haijalishi ni yupi...na kama jina lao lilivyo watatufunga kamba tu hao.

Halafu kwanza mshahara wa raisi ni kiasi gani?
 
Hahahahaaa...huyu jamaa kweli kaenda shule huyu maana huu uchambuzi huu....kiboko msheli kweli kweli
Sawa kabisa, Dr. Bakari ameenda shule na anajiamini pia. Kuna wengi wameenda shule lakini wamejaa ubinafsi hawana ujasiri wa Dr. huyu. Uchambuzi wake utakiweka sana chuo kikuu cha Mzumbe kwenye chati.
 
Ukichambua maelezo ya Dr. Bakari anamwambia Kikwete yafuatayo:
1. Kiwete anawanyanyasa wafanyakazi,
2. Kikwete anatumia madaraka yake ya rais vibaya,
3. Kikwete si rais makini kushughulikia masuala ya watanzania.
4. Wafanyakazi wamechoka kunyanywaswa na raisi Kikwete, na serikali yake.
5. Dr. Bakari si mwoga wa kutetea maslahi ya wafanyakazi na kuwa haogopi vitisho vya rais
6. Elimu ya Dr. Bakari katika mahesabu si rahisi kuipata kirahis kama anavyosema Kikwete eti kuna
wengi wako mtaani hawana kazi.
7. Kikwete ni msanii- na Dr. anathibitisha hili kwa kunukuu maneno aliyotumia

Kwanza huyu rais vipi? anajichanganya mwenyewe. Alisema kuwa ataongeza ajira na wapambe wake hudai eti wameongeza ajira nyingi. Leo hii kwa maneno yake mwenyewe Kikwete anakiri uwongo katika kauli yake ya kuahidi ajira. Hajaongeza ajira
 
Kikwete anatakiwa abadilishe watu wanaomshauri na hata anaokunywa nao kahawa. Watu wanaomzunguka kama si wajinga ni waongo au wanamsanii

Hawezi kubadilisha watu hao kwani yeye mwenyewe hajali, hana soni, hayuko makini na wala hana utashi na maslahi ya taifa na watu wake. Kwake yeye cha maana ni kuwa madarakani, kutukuzwa na kufaidi manufaa yatokanayo. Hana ubora zaidi ya wamzungukao - hao ndio washkaji wake. Kwa lugha rahisi lakini isiyopendeza ni "mswahili".
 
Ndio maana kasema hahitaji kura za wafanyakazi. Kwa hiyo wanajiandaa kupata kura za wizi.
 
Tatizo ni yeye mwenyewe. Kwani yeye hana akili ya kutambua kuwa anachoshauriwa ni utumbo? Mnakumbuka Nyerere alisema nini kuhusu ushauri? Mtu anayekushauri utumbo halafu na wewe ukaukubali huku ukijua kuwa ni utumbo basi hitimisho ni kwamba wewe ni zuzu. Sasa hapa kuna mawili. Kikwete anajua kuwa anachoshauriwa ni utumbo lakini anaukubali tu au hajui kabisa kuwa anachoshauriwa ni utumbo. Hii ya pili ni hatari zaidi.
Nyerere naye pia alidanganywa mkuu,hilo liko wazi,ulizia kuhusu mashamba na jinsi watu walivyohamisha mimea pamoja na bidhaa za maduka ya kaya/ujamaa or something along those lines.....Hata hivyo hapa hatuzungumzii uongo wa ushauri,hapa certainly tunazungumzia upotoshaji wa facts,hakushauriwa uongo,alidangaywa facts....Kuna toauti hapo mkuu,ukweli ni kwamba hapa ni nyani haoni kundule maana mh rais hakuchanganya na za kwake hapa.
 
Melezo haya hayaelewiki kabisa.
 
the following JF members say thank you to DR BAKARI MOHAMED for this useful article:

Baba Ubaya (Yesterday), BelindaJacob (Yesterday), Bibi Ntilie (Yesterday), Companero (Yesterday), Dark City (Yesterday), EfraizMteman (Yesterday), Gwamahala (Yesterday), Jasusi (Yesterday), jmushi1 (Yesterday), Kibanga Ampiga MKoloni (Yesterday), Mag3 (Yesterday), Masanilo (Yesterday), Maverick (Yesterday), MC (Yesterday), Mchukia Fisadi (Yesterday), Mdau (Yesterday), Mkandara (Yesterday), mmbebabox (Yesterday), mrallen (Yesterday), Mzee Mwanakijiji (Yesterday), Nemesis (Yesterday), Nyambala (Yesterday), Rwabugiri (Yesterday), Sikonge (Yesterday), SMU (Yesterday), Watanzania (Yesterday)
 
Nyerere naye pia alidanganywa mkuu,hilo liko wazi,ulizia kuhusu mashamba na jinsi watu walivyohamisha mimea pamoja na bidhaa za maduka ya kaya/ujamaa or something along those lines.....Hata hivyo hapa hatuzungumzii uongo wa ushauri,hapa certainly tunazungumzia upotoshaji wa facts,hakushauriwa uongo,alidangaywa facts....Kuna toauti hapo mkuu,ukweli ni kwamba hapa ni nyani haoni kundule maana mh rais hakuchanganya na za kwake hapa.

Ukirudi kusoma tena bandiko langu utaona nilikuwa namjibu mtu aliyesema kuwa Kikwete anashauriwa vibaya. Kushauriwa vibaya na kudanganywa ni vitu viwili tofauti.
 
Tafadhali naomba mtu anieleweshe jinsi hisabati zifuatazo za percentage zilivyofanywa:

1. Akiba (Mifuko ya Hifadhi ya Jamii)
400,000
315,000.00 (15%)

2. Bima ya Afya
400,000
315,000.00 (3%)

Thanks!
 
Ukirudi kusoma tena bandiko langu utaona nilikuwa namjibu mtu aliyesema kuwa Kikwete anashauriwa vibaya. Kushauriwa vibaya na kudanganywa ni vitu viwili tofauti.

It dont make no difference,i stand with my post.
 
Rudia kusoma. Usipoelewa tafuta ushauri kwa daktari anayetibu magonjwa ya binadamu.

Ha ha ha! wa mifugo anaweza saidia pia!
Watanzania nini hujaelewa?pia fuata ushauri hapo juu,sema specifically nini hujaelewa baada ya kupita tena.
 
Back
Top Bottom