Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

Mh sita anasema kwamba yeye ni mwanachama wa ccm anayetumia kichwa na siyo tumbo sita anasema yeye hapendi kumung'unya maneno pia anasema yeye hapendi ukabila anasema mtu anayeongelea ukabila akili yake ni kama ya panzi
 
"Mkiichezea misingi ya nchi misingi hiyo itawabomoa" maneno aliyoambiwa mh sita na mwalimu nyerere wakati alipokwenda kumuaga kabla mwalimu hajapelekwa uingereza
 
Anasema yeye hawezi kurubuniwa na cheo cha uwaziri kwani uwaziri huo alikuwa nao toka 1970 na kwamba yeye hawezi kuhama ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom