Mh Zitto tafadhali tuwekee copy ya mapendekezo ya budget ya opposition party hapa jamvini

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,081
6,198
TBC1 8pm news wameonesha kambi rasmi ya upinzani wakisoma mapendekezo ya budget, lakini kama kawaida tbc huwa wanaeleza kwa sekunde chache sana habari za chadema.

Nadhani CDM na hasa Zitto mungeweka hapa jamvini copy ya hayo mapendekezo ili wananchi tuanze kujadili. Pia mambo kama haya wekene kwenye website yenu. inajulikana kabisa kuwa TBC hawawezi kuwapa good coverage sasa kwa nini msitumue techonology kuwafikia wananchi?
 
Naungana na FJM kusisistiza kuwa CHADEMA kuna udhaifu wa kutumia communication technologies. Hata email addresses za viongozi zilizo kwenye website ya Chama nyingi hazifanyi kazi. Na kwa zile zinazofanya kazi wahusika hawa-respond unapojaribu kuwasiliana nao. Wanapaswa kui-update website mara kwa mara na kuweka links na website zingine muhimu zinazohusiana na Chama, siasa na elimu kwa wananchi/wapiga kura.
 
Kwa nini usitake Mkullo aweke yake hapa ambayo ina direct impact kwa maisha ya watanzania kwa kuwa ndiyo itakayokuwa implemented?, Nafikiri aanze Mkullo then tumtake na Zitto nae aweke ili kupata two way traffic. Otherwise tusubiri zisomwe baada ya hapo nina hakika zote zitakuwa hapa na zitachambuliwa vizuri tu. Otherwise uniambie kuwa Mnataka kuiona na CDM in advance ili kupata mazuri na kuyaweka ili kuwa-pre-empty. Kama lengo ni hilo subirini zisomwe halafu mchukue mazuri huo ndiyo uongozi. Ile dhana na CCM knows it all mnatakiwa kuiacha kwa sasa, tuangalie what is best for Tanzania bila kuangalia sura ya anayelipendekeza. Ametoa vipaumbele kupitia kwa naibu wake more details tusubiri zisomwe bungeni.
 
Ninasumbuliwa sana na umakini wa wachumi wetu!
Kwanza siamini nguvu ya uchumi wetu kuhimili vipaumbele 6-cdm/5-ccm!
Pili nahofia poor projection toka kwa wataalam wanaotumika na politician, uzalendo hakuna na ndio wanawadanganya watz na mipango lukuki kwenye maandiko implementation 25%, sikubaliani na idadi ya vipaumbele ktk kujikwamua na lindi hili la ulofa
 
Kwa nini usitake Mkullo aweke yake hapa ambayo ina direct impact kwa maisha ya watanzania kwa kuwa ndiyo itakayokuwa implemented?, Nafikiri aanze Mkullo then tumtake na Zitto nae aweke ili kupata two way traffic. Otherwise tusubiri zisomwe baada ya hapo nina hakika zote zitakuwa hapa na zitachambuliwa vizuri tu. Otherwise uniambie kuwa Mnataka kuiona na CDM in advance ili kupata mazuri na kuyaweka ili kuwa-pre-empty. Kama lengo ni hilo subirini zisomwe halafu mchukue mazuri huo ndiyo uongozi. Ile dhana na CCM knows it all mnatakiwa kuiacha kwa sasa, tuangalie what is best for Tanzania bila kuangalia sura ya anayelipendekeza. Ametoa vipaumbele kupitia kwa naibu wake more details tusubiri zisomwe bungeni.

Mimi nimemwandikia Zitto na wewe mwandikie Mkullo hakuna shida. Namwaga ugali na wewe unamwaga mboga! au vip?
 
TBC1 8pm news wameonesha kambi rasmi ya upinzani wakisoma mapendekezo ya budget, lakini kama kawaida tbc huwa wanaeleza kwa sekunde chache sana habari za chadema.

Nadhani CDM na hasa Zitto mungeweka hapa jamvini copy ya hayo mapendekezo ili wananchi tuanze kujadili. Pia mambo kama haya wekene kwenye website yenu. inajulikana kabisa kuwa TBC hawawezi kuwapa good coverage sasa kwa nini msitumue techonology kuwafikia wananchi?

Chadema! they have offered knowledge to majority, they have produced awareness , CCM will never wish for people understand what is going on! You know why! cause the prime capital of ccm is ignorance.
Go Chadema go educate the majority and they will fight for their freedom.

Now you have to impetrate them? I thought they know better than that!!!!
 
Back
Top Bottom