Mh. Zitto na viongozi wengine wa upinzani

Chikwangara

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
685
939
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.

Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB).

Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa mkopo au wamepata kiasi kisichoweza kukidhi mahitaji yao.

Muwasemee hakika mtabarikiwa kwenye shughuli zenu.

Pascal Mayalla
 
Kuna dogo amenifata kuomba kazi alimaliza form six mwaka jana akachaguliwa sauti mwanza akakosa mkopo akarudi kijijini kwao.

mwaka huu pia aliomba amekosa mkopo tena kachaguliwa tena amekosa mkopo mwaka huu.

kinachoniuma zaidi dogo yupo na division 1 form four na division 2 ya form six kinachoniuma pia kasoma shule za serikali dogo hana uzoefu wowote na kazi na anaoneka ana stress kwel miaka 19 future inaharibika nimemwambia nitapambana naye aachane na mambo ya shule hayana tija tena kwake siku afanya kazi akapata pesa atajisomesha.
 
Hela zilizotumika kwenye mapokezi ya ndege ni bora zingeelekezwa Bodi ya Mikopo kusaidia watoto wa masikini badala ya kutumika kugharamia mapokezi ya ndege,mapokezi yenye muelekeo wa kisiasa.
 
Kuna dogo amenifata kuomba kazi alimaliza form six mwaka jana akachaguliwa sauti mwanza akakosa mkopo akarudi kijijini kwao.

mwaka huu pia aliomba amekosa mkopo tena kachaguliwa tena amekosa mkopo mwaka huu.

kinachoniuma zaidi dogo yupo na division 1 form four na division 2 ya form six kinachoniuma pia kasoma shule za serikali dogo hana uzoefu wowote na kazi na anaoneka ana stress kwel miaka 19 future inaharibika nimemwambia nitapambana naye aachane na mambo ya shule hayana tija tena kwake siku afanya kazi akapata pesa atajisomesha.
Hizi syluubus za HGL, HGk pcm, PCB, haziwezi kutusaidia, tulisha shauri jinsi ya kubadili mitaaala iendane na mahitaji ya sasa lakini wenye mamlaka hawasikii
 
Kuna dogo amenifata kuomba kazi alimaliza form six mwaka jana akachaguliwa sauti mwanza akakosa mkopo akarudi kijijini kwao.

mwaka huu pia aliomba amekosa mkopo tena kachaguliwa tena amekosa mkopo mwaka huu.

kinachoniuma zaidi dogo yupo na division 1 form four na division 2 ya form six kinachoniuma pia kasoma shule za serikali dogo hana uzoefu wowote na kazi na anaoneka ana stress kwel miaka 19 future inaharibika nimemwambia nitapambana naye aachane na mambo ya shule hayana tija tena kwake siku afanya kazi akapata pesa atajisomesha.
Wakuwasemea hawapo, hawa ndugu zetu. Na hawa wabunge wa CCM hakuna hata mmoja anayeweza fungua kinywa kuongea.
 
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.

Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB).

Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa mkopo au wamepata kiasi kisichoweza kukidhi mahitaji yao.

Muwasemee hakika mtabarikiwa kwenye shughuli zenu.

Pascal Mayalla
Ngoja tumalize kwanza mambo ya muhimu... tayari tunao maprofesa wengi na hawana kazi hao wengine wakalime
 
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.

Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB).

Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa mkopo au wamepata kiasi kisichoweza kukidhi mahitaji yao.

Muwasemee hakika mtabarikiwa kwenye shughuli zenu.

Pascal Mayalla
Anaewakopesha washamzushia kuwa kafa ujeruman sasa bora wasiseme maana hata waliopewa watanyanganywa
 
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.

Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB).

Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa mkopo au wamepata kiasi kisichoweza kukidhi mahitaji yao.

Muwasemee hakika mtabarikiwa kwenye shughuli zenu.

Pascal Mayalla
Hapo kipindi Cha nyuma jamii forum lilikuwa jukwaa lenye watu makini Sana na wenye kuleta hoja zilizoshiba Ila Ongezeko la Watoto Wasiojua kujenga hoja imekuja kusababisha utoto wa kijinga Sana humu jamii forums.
Sasa wewe mleta mada nikuulize tu unalaumu watu hawajapata mkopo wangap? Je idadi ya mwisho ya wanafunzi watakaopangiwa mkopo imefika mwisho? Unazijua sifa za mwanafunzi kupata Mkopo? Unaijua idadi ya wanafunzi walioomba mkopo? Na wenye sifa ya kupata huo Mkopo? Unajua Kuna awamu ngapi za kutoa majina ya waliyopata mkopo kwa mwaka huu wa bajeti (2019/2020)?.

Mambo Mengine nikutaka kuwachafua viongozi wenu tu kwa ujinga wenu wa kutofautilia Mambo mhimu Kama haya. Unahisi hao kina Zitto Kuna kitu gani wasichokijua Kama wao ndo wanapanga na kupitisha bajeti.. Najua akili tunatofautiana Ila jitahidi usiwe unakurupuka Kama huwez kuzitumia akili zako kujenga hoja zenye mashiko.
 
Kazi ya kujua idadi nitaifanyaje kama mnatoa majina kisiri siri? Nitajuaje idadi ya batches zilizobaki kama hamjasema lolote tangu mutoe first batch? Mbona kipindi cha nyuma mambo yalikuwa wazi?
 
Kweli wewe mkuu nimeamini hujui lolote na inaonekana hata elimu ya juu hujapita ndo maana unakosa Experience ya haya Mambo.
Kuna batch yeyote imetoka na haijajulikana kweli?
Sasa Kama huwa Wanatoa majina kwa Siri watu wanajuaje kuwa wamepata mkopo Kupitia batch fulani!
Huwa unapita kwenye Website ya bodi kuona updates zake au unataka Wanabodi wawe wanakuja nyumbani kwako kukupatia baches za waliopata Mkopo.

Hoja yako Akiisoma mtu Alie na Experience na bodi ya mkopo Inatosha kabisa kujua pia level ya Elimu yako. Nimeshaga toa ushauri kwenye jukwaa hili kuwa;

Kama kitu hukijui njoo na Taarifa ulizi Usaidiwe na Wajuzi kuliko kujimwambafai kuja Taarifa Kamili iliyojaa pointless nikujiaibisha.
 
Tukiwa na shida elzenu mnataka wawasemee,,ila kwenye majanga yao tunawaona wasaliti na waongo.

Back
Top Bottom