Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 939
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.
Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB).
Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa mkopo au wamepata kiasi kisichoweza kukidhi mahitaji yao.
Muwasemee hakika mtabarikiwa kwenye shughuli zenu.
Pascal Mayalla